Rais, tengua hii amri ya Makonda kuhusu unywaji pombe, inatesa wakazi wa Dar

Whitesmith

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Messages
351
Points
500

Whitesmith

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2017
351 500
Ni mara ya pili sasa nakuja DSM bado nakutana na amri tata ya Mkuu wa Mkoa wa DSM ya katazo la unywaji wa hadi saa kumi jioni.

Kwakweli wenye kufaidi hili katazo ni Polisi kwani wamekuwa wakitesa wananchi hasa siku ya Ijumaa kwani wakikuchukua usipotoa laki mmoja utakaa hadi Jumatatu.Kwakweli tumekuwa wakimbizi.

Swali kutoka kitaa: Je, hoteli kubwa za DSM(Kilimanjaro Hotel) wanauza kuanzia saa ngapi? Hivyo kwanini sisi wafanyabiashara wa chini tupangiwe muda?
 
Myahudi93

Member
Joined
Nov 8, 2019
Messages
12
Points
75

Myahudi93

Member
Joined Nov 8, 2019
12 75
Ni mara ya pili sasa nakuja DSM bado nakutana na amri tata ya Mkuu wa Mkoa wa DSM ya katazo la unywaji wa hadi saa kumi jioni.

Kwakweli wenye kufaidi hili katazo ni Polisi kwani wamekuwa wakitesa wananchi hasa siku ya Ijumaa kwani wakikuchukua usipotoa laki mmoja utakaa hadi Jumatatu.Kwakweli tumekuwa wakimbizi.

Swali kutoka kitaa: Je, hoteli kubwa za DSM(Kilimanjaro Hotel) wanauza kuanzia saa ngapi? Hivyo kwanini sisi wafanyabiashara wa chini tupangiwe muda?
Kalewa sifa DBA
 
ROGATH MCHAU

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Messages
271
Points
500

ROGATH MCHAU

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2017
271 500
Ni mara ya pili sasa nakuja DSM bado nakutana na amri tata ya Mkuu wa Mkoa wa DSM ya katazo la unywaji wa hadi saa kumi jioni.

Kwakweli wenye kufaidi hili katazo ni Polisi kwani wamekuwa wakitesa wananchi hasa siku ya Ijumaa kwani wakikuchukua usipotoa laki mmoja utakaa hadi Jumatatu.Kwakweli tumekuwa wakimbizi.

Swali kutoka kitaa: Je, hoteli kubwa za DSM(Kilimanjaro Hotel) wanauza kuanzia saa ngapi? Hivyo kwanini sisi wafanyabiashara wa chini tupangiwe muda?
HAPO KWENYE HOTEL ZA KITALII NAFIKIRI HATA KODI YAO NI KUBWA ZAIDI TOFAUTI NA HIZO BAR ZA KAWAIDA.
 
Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
22,211
Points
2,000

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
22,211 2,000
Pale mshamba anaposhika hatamu. Wakati majiji ulimwenguni hayalali yeye analazimisha bar zifunguliwe saa kumi. Halafu anawaza eti dar liwe jiji la kitalii huku huduma anaziwekea limitation.
Dar kila mtu pia ana muda wake wa kufanya kazi/biashara na kula bata. Why saa kumi wakati kodi wanazitaka???
 
Forum statistics

Threads 1,390,616
Members 528,218
Posts 34,056,400
Top