rais

  1. JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais unalipa mishahara bure Kuna watu hawafanyi kazi

    Mheshimiwa Rais naomba nikushauri Jambo! Kutokana na keki ya taifa kuwa ndogo na kugawanwa kwa watu wachache tukianza na watumishi wa umma, majeshi, nk Ninapendekeza iundwe sheria watanzania tuwe tuna access ya kufanya kazi miaka 15 tu baada ya hapo mtu anachukua pension yake anaondoka. Hili...
  2. JamiiForums Tanzania Corona Virus: Rais Magufuli ahutubia Taifa - Machi 22, 2020 - Wagonjwa Tanzania wafikia 12

    Wakuu, Kwa taarifa nilizo nazo, ni kuwa muda si mrefu Rais Magufuli atalihutubia Taifa. Kama hii itatokea, itakuwa mara ya kwanza tangu aingie madarakani kuhutubia Taifa. Tutarajie nini? Stay tuned... ======= LIVE: VIDEO: Rais Magufuli anasema; => Baada ya kuibuka Ugonjwa wa Corona...
  3. JamiiForums Tanzania Upumbavu ni hali ya kutotumia fikra vizuri na kufanya maamuzi mabaya. Je, Rais kuwaeleze ukweli watendaji wake ni wapumbavu anakosea?

    Kabla ya kuanza kumhukumu mtu ni lazima kwanza mtu uwe unajihakikishia je huyu mtu amefanya kosa kweli? Na kama amefanya kosa kweli ndio unapaswa kutoa hukumu yako. Akiwa hajafurahishwa na utendaji wa Wahandisi wasomi na tena viongozi wa vitengo muhimu Rais JPM alitumia neno upumbavu kuonyesha...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali isipofanya haya inataka kuua raia wake kwa coronavirus

    Mambo mawili tuu 1. Inatakiwa kuhakikisha ina coronavirus Test kits za kutosha mijini na vijini 2. Inatakiwa kuhahakisha kuna stock za kutosha za Masks . Added.. 3. Inatakiwa kuhakikisha wananchi wapo salama kwa kuzua maambukizi kutoka maeneo ambayo tayari yameadhirika.. lockdown. 4...
  5. JamiiForums Tanzania Maofisa wa Afya South Sudan wakimpima afya mkwe wa Malkia Elizabeth airport

    Sophie Wessex alimuakilisha Malkia South Sudan mwezi huu. Maofisa wa afya walimpima afya mara tu aliposhuka kwenye ndege. Sophie was in fact pictured being tested for the coronavirus on arrival, with the Queen's ambassador to South Sudan Chris Trott writing on Twitter: "Very pleased to...
  6. JamiiForums Tanzania Zitto: Mahakama Kuu imetoa hukumu kuwa Rais wa Tanzania anaweza kushtakiwa kwa makosa ya uvunjaji wa Katiba

    Ameandika Zitto Kabwe: "Mahakama Kuu imetoa hukumu kuwa Rais wa Tanzania anaweza kushtakiwa kwa makosa ya uvunjaji wa Katiba. Jaji Lameck Mlacha ametoa hukumu hiyo katika hukumu ndogo kwenye shauri nililofungua kumshtaki Rais @MagufuliJP kwa kumvua uCAG Prof. Assad. Shauri la msingi...
  7. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani awakasirisha Wachina kwa kauli ya kunyanyapaa

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Geng Shuang amesikitishwa na kauli iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani alipoita Corona virus "Chinese virus". Kauli hiyo haijawafurahisha kabisa Wachina kwani inaonesha unyanyapaa. ====== Donald Trump has referred to the coronavirus as “the...
  8. JamiiForums Tanzania Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

    Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea. Nimehesabu Magari yamefika 53. Zote ni V8. Noma sana.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kulipiwa Mh Msigwa na Rais Magufuli: Je, Protocal inaweza kuamua thamani ya milioni 40,000,000 za Chadema kuwa chini ya mil. 38,000,000 za Mh Rais?

    Hilo ni swali kama mada inavyohusika. Huwa tunaambiwa muda una thamani kuliko pesa. Pesa unaweza kuzipata ukijali muda. Lakini muda ukikupita huupati tena. Tuangazie kidogo nguvu ya Protocali na muda kuhusu sakata lililoibuka la kulipiwa Mh Msigwa na Rais Magufuli. Mtakumbuka kila upande...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Eng. Mfugale amemkwaza Rais?

    Wakuu, Leo wakati mkuu wa nchi anakagua pale Ubungo interchange, ni dhahiri kabisa mkuu kuna kitu kimemuudhi, yule hisia zake hazifichiki, nadhani kuna kitu Mfugale amemkwaza Mh Rais. Mimi binafsi sikupenda Mfugale alipokuwa anatoa maelezo kwa kutumia lile lifimbo lake la kutembelea kila mara...
  11. JamiiForums Tanzania Hofu ya Corona: Rais Magufuli asitisha mbio za Mwenge 2020. Fedha kupelekwa ktk maandalizi ya kupambana na Corona

    Habari zenu wakuu, Kutokana na kusambaa kwa virus vya Coron, Rais wa Jamhuri ya Muungano amepiga marufuku mbio za Mwenge kwa mwaka huu ili kuzuia mikusanyiko isiyo rasmi Very nice for our caring president ,long live baba --- Rais amesema Mbio za Mwenge zinakusanya watu wengi sana na katika...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Furaha ya kutoka jela: Nyerere alimpokelea Nelson Mandela Ikulu wakati akiwa ameshastaafu na Rais Mwinyi akiwa safarini

    Najikumbusha tu namna watu mbalimbali wanavyowapokea wapendwa wao wanapotoka jela. Nelson Mandela alipotoka jela alipozuru Tanzania alipokelewa kwa furaha na Rais mstaafu mwalimu Nyerere pale Ikulu ya Magogoni. Na ninakumbuka Rais wa wakati huo mzee wetu Mwinyi alikuwa safarini. Furaha ya...
  13. JamiiForums Tanzania Rais wa Iran alaani shambulio lililofanywa na Marekani

    Iraq has condemned overnight US air strikes on Friday, with its military saying they killed six people and describing them as violation of sovereignty and a targeted aggression against the nation's regular armed forces. President Barham Salih said such "repeated violations" could cause Iraq to...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Bravo Rais Magufuli, umedhihirisha uhuru wa Mahakama nchini

    Kitendo cha Mheshimiwa RAIS kumlipia faini Mchungaji Msigwa ili atoke gerezani, kimedhihirisha Uhuru wa mahakama nchini Tanzania. Mheshimiwa Rais ambaye ndiye humteua mwendesha Mashtaka(DPP), Majaji na kuwaapisha mawakili angeweza tu kuagiza Mchungaji Msigwa a) Afutiwe mashtaka au b) Aachiwe...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mpaka sasa Tanzania (Bara&Visiwani) hatuna mgonjwa wa Corona. Nawasihi watanzania kuchukua hadhari

    Rais Magufuli ameishukuru serikali ya Germany kwa msaada walioutoa kujenga karakana hiyo ya kisasa. Pia Rais Magufuli amempa balozi barua maalumu ya shukrani kwa counvillor Mikael wa Germany. Kadharika Rais Magufuli ametumia fursa hiyo kuwataka watanzania wajihadhari na ugonjwa huo hatari. Rais...
  16. JamiiForums Tanzania Kilio changu kikufikie Makamu wa Rais Samia Suluhu

    Mh Makamu wa Rais pole sana na majukumu.Mimi ni mwananchi w Kijiji cha mpugizi, kata ya Mwaru, Wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida.Kwanza tunakushukuru sana mama yetu kwa ulipoamua kuja ziarani mkoa wa Singida mwaka jana. Wewe binafsi ulitiahidi wananchi wa Kijiji cha Mpugizi kua utatusaidia...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ajibu hoja za Marekani, Asijifiche kwenye hoja za uzalendo, Kwanza sio Mzalendo

    Marekani haijamtuma mtu kuua watu kufunga watu na kuteka watu hapana, Marekani haijatuma mtu kuwashambulia watu kwa risasi hapana, Marekani haijamtuma kuzima vyombo vya habari na kuzuia siasa kwa wapinzani kwa miaka 5 hapana, Kama serikali haijawatuma hao watu kwanini hafanyi upelelezi kuleta...
  18. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mahakama kuu yamfutia Rais Ramaphosa mashtaka ya utakatishaji fedha na kudanganya Bunge

    Mahakama Kuu ya Afrika Kusini imefuta mashataka yote yaliyokuwa yakimkabili Rais wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa aliyeshtakiwa na Mpelelezi wa Masuala ya Rushwa, Busisiwe Mkhwebane. Alimshtaki Rais huyo kwa kulidanganya Bunge kuhusu matumizi ya fedha hizo. Pia alitaka Rais achunguzwe kwa tuhuma...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli aongoza kikao cha baraza la mawaziri

    Rais Magufuli leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu jijini Dsm. Source TBC
  20. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashangalia goli la Yanga, nimeipenda hii

    Rais Magufuli bwana nimemuona anashangilia bao la Yanga hata kama yeye ni Simba na kavaa jezi ya Yanga nimeipanda hayo ndio mambo tunataka kuliunganisha taifa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…