Kuhusu hospital ya wilaya ya Ubungo, ni propaganda au Rais kapotoshwa na RC?

chuuma

JF-Expert Member
May 19, 2015
363
557
Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli,leo nimekusikia ukimjibu Makonda kuwa Unatupatia watu wa Ubungo pesa za Kiasi cha Tsh Billioni 1.5 za Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya baada ya yeye binafsi Kukuomba.

Mheshimiwa nakukumbusha wewe na Wasaidizi wako wote kuwa Mwaka huu 2019 Mwezi wa 2 Tarehe 28 Baraza la Manispaa Ubungo lilipitisha Kiasi cha Tsh billioni 84 kuwa bajeti yake ya 2019/2020.

Katika Bajeti hiyo Sisi Manispaa tulitenga kiasi cha Tsh Millioni 250 kwa ajili ya Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya,na tukaiomba serikali kupitia Ruzuku za Miradi ya Maendeleo mnazotushushia mtuletee kiasi cha Tsh Billioni 1.5

July 2019 Bunge likapitisha Bajeti ya TAMISEMI ikiwemo maombi ya pesa zote mbili ,ile ya Wilaya na zile za mapato ya Halmashauri.

Na July hiyohiyo wakati tunafunga Mkutano Mwisho wa Mwaka 2018/2019 katika Baraza la Madiwani nikakushukuru wewe Binafsi na Serikali kuu kutushushia kiasi cha Billioni 3 Pesa za Ujenzi wa Makao Makuu ya Halmashauri,Billioni 1 ya Ujenzi wa kituo cha Afya Kimara Mwisho, na hizo billioni 1.5 za Ujenzi wa Hospitali ya wilaya.

Ila kosa lake Mkuu wa Mkoa nililelile ulilosema wakati Ufunguzi wa Kiwanda Cha Mabomba,ulisema anajishughulisha na Mambo yasiyo ya Msingi na ajui Miradi yoyote katika Mkoa wake,

leo si unaona kakuomba tena kitu kilekile ulichokuwa tayari umeshakifanyia kazi na kukipatia Ufumbuzi,!!

Akiendelea hivyo kuna Siku atakuomba Pesa za Ujenzi wa Flyover Ubungo,Asijue kuwa Mradi upo asilimia 50.

MWISHO
Sisi Viongozi wa Upinzani,Mwanzo tulikuwa tunashiriki Vizuri Mikutano yako tukiamini ni kwa Maslahi ya Taifa,

ila kwa Sasa hatuji tena katika Mikutano yako,ambayo tunajua Mkuu wa Mkoa atashiriki,kwa Sababu amekuwa akitumia Mikutao yako kutudhalilisha Viongozi wenzie mbele yako

Na wewe tunasikitika ujawahi kumkemea hata Mara Moja, kiasi tunafikiria wakati mwingine anatumwa kufanya hivyo au Viongozi wetu Mnafurahia Udhalilishaji huo kwa viongozi wenzie,
Nasisi hatuji kuepusha Shari Mkuu!!

Boniface Jacob
Mstahiki Meya Ubungo
 
Attachments

  • IMG-20191026-WA0068.jpg
    IMG-20191026-WA0068.jpg
    70.8 KB · Views: 3
Paulo Makonda aka Albert Bashite unamdhalilisha sana Rais, lakini kwa vile umemfunga kwa nguvu za Giza basi haoni wala hasikii tena juu ya upumbavu wowote ufanyao.
Sasa kumbe mambo yamesha zungumzwa baraza LA madiwani, bajeti imeshapita na serikali kuu kupitia bunge imepitisha fedha za mradi huo, sii ni kumdhihaki Rais mbele ya watu wenye akili?
Na nyie washauri wa Rais fedheha za namna hiyo mnaziona bado hamu muonyi Rais kuwa hili zigo la Dar ni furushi la uchafu kubeba kichwani ni kujichafua? Au na nyie nguvu hizo za Giza zimewaathiri hivyo tumkodie Rais kampuni kama Net Group Solution kuwa washauri wa Rais?
Makonda acha kumpoteza maboya Rais, ujue unaikosea nchi yote.
Tumia muda wako kusoma makabrasha ya mkoa wako acha kuishi kishambenga kama kina Steve Nyerere au Le mutuz.
 
wapinzani viongozi mnatakiwa kujitafakari kuhusu nafasi yenu ktk jamii ya taifa hili. dharau mnazopokea mkiwa kwenye majukwaa ya shughuli za kitaifa hata yatima au mtoto wa kambo huhurumiwa.
 
Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli,leo nimekusikia ukimjibu Makonda kuwa Unatupatia watu wa Ubungo pesa za Kiasi cha Tsh Billioni 1.5 za Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya baada ya yeye binafsi Kukuomba.

Mheshimiwa nakukumbusha wewe na Wasaidizi wako wote kuwa Mwaka huu 2019 Mwezi wa 2 Tarehe 28 Baraza la Manispaa Ubungo lilipitisha Kiasi cha Tsh billioni 84 kuwa bajeti yake ya 2019/2020.

Katika Bajeti hiyo Sisi Manispaa tulitenga kiasi cha Tsh Millioni 250 kwa ajili ya Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya,na tukaiomba serikali kupitia Ruzuku za Miradi ya Maendeleo mnazotushushia mtuletee kiasi cha Tsh Billioni 1.5

July 2019 Bunge likapitisha Bajeti ya TAMISEMI ikiwemo maombi ya pesa zote mbili ,ile ya Wilaya na zile za mapato ya Halmashauri.

Na July hiyohiyo wakati tunafunga Mkutano Mwisho wa Mwaka 2018/2019 katika Baraza la Madiwani nikakushukuru wewe Binafsi na Serikali kuu kutushushia kiasi cha Billioni 3 Pesa za Ujenzi wa Makao Makuu ya Halmashauri,Billioni 1 ya Ujenzi wa kituo cha Afya Kimara Mwisho, na hizo billioni 1.5 za Ujenzi wa Hospitali ya wilaya.

Ila kosa lake Mkuu wa Mkoa nililelile ulilosema wakati Ufunguzi wa Kiwanda Cha Mabomba,ulisema anajishughulisha na Mambo yasiyo ya Msingi na ajui Miradi yoyote katika Mkoa wake,

leo si unaona kakuomba tena kitu kilekile ulichokuwa tayari umeshakifanyia kazi na kukipatia Ufumbuzi,!!

Akiendelea hivyo kuna Siku atakuomba Pesa za Ujenzi wa Flyover Ubungo,Asijue kuwa Mradi upo asilimia 50.

MWISHO
Sisi Viongozi wa Upinzani,Mwanzo tulikuwa tunashiriki Vizuri Mikutano yako tukiamini ni kwa Maslahi ya Taifa,

ila kwa Sasa hatuji tena katika Mikutano yako,ambayo tunajua Mkuu wa Mkoa atashiriki,kwa Sababu amekuwa akitumia Mikutao yako kutudhalilisha Viongozi wenzie mbele yako

Na wewe tunasikitika ujawahi kumkemea hata Mara Moja, kiasi tunafikiria wakati mwingine anatumwa kufanya hivyo au Viongozi wetu Mnafurahia Udhalilishaji huo kwa viongozi wenzie,
Nasisi hatuji kuepusha Shari Mkuu!!

Boniface Jacob
Mstahiki Meya Ubungo
Kwani Kuna ubaya gani uliotokea?
Kwani Kuna faida gani kwa Taifa wewe kuhudhuria kwenye matukio ya kitaifa?
Kwani hiyo pesa bil1.5 ikitolewa ili ujenzi uanze Mara moja Kuna shida gani?
Kwani watu kuitwa wezi Ni kosa?

Mbona Kuna viongozi wetu Wakubwa walisema kuwa Rais wao Anaumwa na yupo mahututi na maisha yakaendelea!

Mh. Meya unaheshima kubwa Sana katika manispaa yako jifunze kutafakari Mambo kabla hujayatoa kwa watu kulialia kwa vitu vidogo vidogo Kama hivi nikumuonyesha Adui madhaifu uliyonayo.
 
Meya Jacob umefanya vizuri kujibu kauli ya Makonda kwa wakati. Lakini ili majibu yako yawafikie walengwa muhimu ambao ni wapiga kura wa jimbo la ubungo na Mheshimiwa Rais inakubidi kufanya kazi ya ziada kwa kuyarudia mara kwa mara bila kuchoka na kwa kutumia media sahihi. Ikumbukwe madai ya Makonda dhidi ya wapinzani ameyatoa mbele ya vyombo vingi vya habari na ninyi hamjapata nafasi ya kujibu mapigo. Hata hivyo kwakuwa sasa mnao ushahidi kwamba madai ya Makonda mbele ya Rais hayakuwa sahihi mnayo nafasi ya kugeuza propaganda zake ikawa silaha ya kupata ushindi mwakani kwa kuonyesha mnawajali wapiga kura wenu licha ya vikwazo na udhalilishwaji. Hongera Meya Jacob.
 
Hao wapinzani kina Boniface kutwa kumtukana raisi na kugomea Bajeti bungeni,

Mikutano ya Serikali hamtokei , halafu mnataka Rais awasaidie ,ili kwenye kampeni mdanganye wananchi
 
Sasa kwani Makonda kafanya kosa gani? Kumbe kakumbushia mliokuwa mnayaomba kila leo?
 
Kwani Kuna ubaya gani uliotokea?
Kwani Kuna faida gani kwa Taifa wewe kuhudhuria kwenye matukio ya kitaifa?
Kwani hiyo pesa bil1.5 ikitolewa ili ujenzi uanze Mara moja Kuna shida gani?
Kwani watu kuitwa wezi Ni kosa?

Mbona Kuna viongozi wetu Wakubwa walisema kuwa Rais wao Anaumwa na yupo mahututi na maisha yakaendelea!

Mh. Meya unaheshima kubwa Sana katika manispaa yako jifunze kutafakari Mambo kabla hujayatoa kwa watu kulialia kwa vitu vidogo vidogo Kama hivi nikumuonyesha Adui madhaifu uliyonayo.
Soma vizuri uelewe kilichoandikwa na Meya Mkuu
 
Meya Jacob umefanya vizuri kujibu kauli ya Makonda kwa wakati. Lakini ili majibu yako yawafikie walengwa muhimu ambao ni wapiga kura wa jimbo la ubungo na Mheshimiwa Rais inakubidi kufanya kazi ya ziada kwa kuyarudia mara kwa mara bila kuchoka na kwa kutumia media sahihi. Ikumbukwe madai ya Makonda dhidi ya wapinzani ameyatoa mbele ya vyombo vingi vya habari na ninyi hamjapata nafasi ya kujibu mapigo. Hata hivyo kwakuwa sasa mnao ushahidi kwamba madai ya Makonda mbele ya Rais hayakuwa sahihi mnayo nafasi ya kugeuza propaganda zake ikawa silaha ya kupata ushindi mwakani kwa kuonyesha mnawajali wapiga kura wenu licha ya vikwazo na udhalilishwaji. Hongera Meya Jacob.
Ungekuwa unahudhuria ingerahisi kwako kujibu hoja papo kwa papo. Kususa kwako ndiko Kuna wagharimu. Sasa humu anasoma nani? Kwani mzee yupo humu au wanaomoelekea
 
Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli,leo nimekusikia ukimjibu Makonda kuwa Unatupatia watu wa Ubungo pesa za Kiasi cha Tsh Billioni 1.5 za Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya baada ya yeye binafsi Kukuomba.

Mheshimiwa nakukumbusha wewe na Wasaidizi wako wote kuwa Mwaka huu 2019 Mwezi wa 2 Tarehe 28 Baraza la Manispaa Ubungo lilipitisha Kiasi cha Tsh billioni 84 kuwa bajeti yake ya 2019/2020.

Katika Bajeti hiyo Sisi Manispaa tulitenga kiasi cha Tsh Millioni 250 kwa ajili ya Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya,na tukaiomba serikali kupitia Ruzuku za Miradi ya Maendeleo mnazotushushia mtuletee kiasi cha Tsh Billioni 1.5

July 2019 Bunge likapitisha Bajeti ya TAMISEMI ikiwemo maombi ya pesa zote mbili ,ile ya Wilaya na zile za mapato ya Halmashauri.

Na July hiyohiyo wakati tunafunga Mkutano Mwisho wa Mwaka 2018/2019 katika Baraza la Madiwani nikakushukuru wewe Binafsi na Serikali kuu kutushushia kiasi cha Billioni 3 Pesa za Ujenzi wa Makao Makuu ya Halmashauri,Billioni 1 ya Ujenzi wa kituo cha Afya Kimara Mwisho, na hizo billioni 1.5 za Ujenzi wa Hospitali ya wilaya.

Ila kosa lake Mkuu wa Mkoa nililelile ulilosema wakati Ufunguzi wa Kiwanda Cha Mabomba,ulisema anajishughulisha na Mambo yasiyo ya Msingi na ajui Miradi yoyote katika Mkoa wake,

leo si unaona kakuomba tena kitu kilekile ulichokuwa tayari umeshakifanyia kazi na kukipatia Ufumbuzi,!!

Akiendelea hivyo kuna Siku atakuomba Pesa za Ujenzi wa Flyover Ubungo,Asijue kuwa Mradi upo asilimia 50.

MWISHO
Sisi Viongozi wa Upinzani,Mwanzo tulikuwa tunashiriki Vizuri Mikutano yako tukiamini ni kwa Maslahi ya Taifa,

ila kwa Sasa hatuji tena katika Mikutano yako,ambayo tunajua Mkuu wa Mkoa atashiriki,kwa Sababu amekuwa akitumia Mikutao yako kutudhalilisha Viongozi wenzie mbele yako

Na wewe tunasikitika ujawahi kumkemea hata Mara Moja, kiasi tunafikiria wakati mwingine anatumwa kufanya hivyo au Viongozi wetu Mnafurahia Udhalilishaji huo kwa viongozi wenzie,
Nasisi hatuji kuepusha Shari Mkuu!!

Boniface Jacob
Mstahiki Meya Ubungo
Dah! Sasa ndio nimeelewa. Siku zote huwa mnasema Rais Magufuli anatoa tu hela ambazo hazipitishwi na Bunge,
 
halafu mnataka Rais awasaidie ,ili kwenye kampeni mdanganye wananchi

Nyie kwanini hamtaki kujifunza, fedha za Serikali sio mali ya RAIS ni fedha inayotokana na kodi za wananchi na zinatakiwa zitumike kwa maendeleo yao. Kazi ya kugawa fedha za maendeleo sio kazi ya EXECUTIVE ni kazi ya Bunge!! JIWE KUJIFANYA anagawa fedha kiholela ni kukosa nidhamu ya usimamizi wa fedha za umma.
 
Meya Jacob umefanya vizuri kujibu kauli ya Makonda kwa wakati. Lakini ili majibu yako yawafikie walengwa muhimu ambao ni wapiga kura wa jimbo la ubungo na Mheshimiwa Rais inakubidi kufanya kazi ya ziada kwa kuyarudia mara kwa mara bila kuchoka na kwa kutumia media sahihi. Ikumbukwe madai ya Makonda dhidi ya wapinzani ameyatoa mbele ya vyombo vingi vya habari na ninyi hamjapata nafasi ya kujibu mapigo. Hata hivyo kwakuwa sasa mnao ushahidi kwamba madai ya Makonda mbele ya Rais hayakuwa sahihi mnayo nafasi ya kugeuza propaganda zake ikawa silaha ya kupata ushindi mwakani kwa kuonyesha mnawajali wapiga kura wenu licha ya vikwazo na udhalilishwaji. Hongera Meya Jacob.
jiwe naye pia msahaulifu kitu ya february mwaka huu si juzi tu?
 
Hao wapinzani kina Boniface kutwa kumtukana raisi na kugomea Bajeti bungeni,

Mikutano ya Serikali hamtokei , halafu mnataka Rais awasaidie ,ili kwenye kampeni mdanganye wananchi

Shwain
Hivi umeelewa lakini kinachozungumzwa hapa? Naona kama upo nje ya topic kabisa!!! Halafu siku hizi hakuna mikutano ya serikali mkuu!!!! Zamani kwenye dhifa za kitaifa ulikuwa huwezi ona mi sare ya chama, lakini siku hizi kila kitu ni siasa, warudishe bungeni muswaada ili turudi mfumo wa chama kimoja tu, ili ieleweke kuliko huu unafiki unaoendelea!!!
 
Sijui kama ulitafakari kabla hujaandika.
Kwani Kuna ubaya gani uliotokea?
Kwani Kuna faida gani kwa Taifa wewe kuhudhuria kwenye matukio ya kitaifa?
Kwani hiyo pesa bil1.5 ikitolewa ili ujenzi uanze Mara moja Kuna shida gani?
Kwani watu kuitwa wezi Ni kosa?

Mbona Kuna viongozi wetu Wakubwa walisema kuwa Rais wao Anaumwa na yupo mahututi na maisha yakaendelea!

Mh. Meya unaheshima kubwa Sana katika manispaa yako jifunze kutafakari Mambo kabla hujayatoa kwa watu kulialia kwa vitu vidogo vidogo Kama hivi nikumuonyesha Adui madhaifu uliyonayo.
 
Hivi umeelewa lakini kinachozungumzwa hapa? Naona kama upo nje ya topic kabisa!!! Halafu siku hizi hakuna mikutano ya serikali mkuu!!!! Zamani kwenye dhifa za kitaifa ulikuwa huwezi ona mi sare ya chama, lakini siku hizi kila kitu ni siasa, warudishe bungeni muswaada ili turudi mfumo wa chama kimoja tu, ili ieleweke kuliko huu unafiki unaoendelea!!!
Mkuu maswala ya mavazi hayana mipaka hata wewe ungeweza vaa Yale magwanda yetu ya kikamanda na ukaa viti vya mbelembele hakuna Ambaye angekuzuia.
Ko tujifunze ku control hasira binafsi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom