rais

  1. T

    RC sio msemaji wa Ikulu wala sio mkuu wa usalama wa Rais

    Naomba niseme kama raia wa Tanzania nakijana ambaye natafuta ili familia yangu ile nakunywa nimeumia yalio mkuta Idrisa Sultan. Kijana ambaye aliweka picha yakichwa chake kwenye kiti cha rais aki wish tarehe yakuzaliwa mkuu yeye wangebadilishana akale cake pale ikulu. Baada yakuwepo cake nyingi...
  2. Rais Magufuli aagiza Tsh. Bilioni 40 zitumike kulipa madeni ya Wakulima wa Korosho baada ya Serikali kununu Korosho hizo

    Rais Magufuli ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango kutoa Tsh. Bilioni 40 ili kumalizia madeni yote ya Wakulima wa Korosho yaliyobaki baada ya Serikali kununua korosho hao katika msimu wa mwaka 2018/19 Ametoa maagizo hayo leo alipokutana na viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za...
  3. Rais Magufuli aongoza kikao cha viongozi wanaohusika na zao la korosho

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika kikao cha viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 1, 2019. Chanzo: Umoja Tv
  4. Nadhani hili nalo likiigwa na Rais Magufuli litapendeza na litakuwa na Ufanisi mkubwa katika Kukomesha Upuuzi nchini

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amekaririwa akizitaka Mahakama zihakikishe wauaji wananyongwa ili kumaliza uhalifu nchini humo. Museveni ambaye amekuwa akitoa kauli hiyo katika mikutano ya hadhara, hivi karibuni ameahidi kukabiliana na Mahakama ili kuhakikisha wauaji wananyongwa ======...
  5. Msanii Idris Sultan afika Kituo cha Polisi Central, ahojiwa aenda, kukaguliwa nyumbani kwake. Aachiwa kwa dhamana

    Msanii Idris Sultan amefika Kituo cha Kikuu cha Polisi (Central) muda wa saa 5 asubuhi kuitikia wito wa Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda Anaendelea kushikiliwa kituoni kwa mahojiano, Inadaiwa anahojiwa kwa mujibu wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, kifungu cha 15 na 16 UPDATE: Polisi wameelekea...
  6. Hii inadhihirisha kuongezeka kwa nidhamu ya watumishi wa umma kwa Rais - kutekeleza waliyoagizwa

    Ameandika John Mrema kupitia twitter: Tumezungumza na vyombo vya Habari mchana huu kuonyesha mapungufu ambayo yamejitokeza kuhusu zoezi la kuchukua fomu za kugombea ambayo yamejikita kwenye wasimamizi kufunga ofisi, kunyimwa fomu za maadili fomu kuchukuliwa na 'maruhani' kabla vituo...
  7. J

    Tutampima Jafo kwenye usimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama atatosha kuwa Rais wetu 2025

    Wamesikika baadhi ya wavuvi pale Pwani ya Mbweni wakati wakimpongeza mwenzao aliyechukua fomu kugombea Uenyekiti wa Mtaa kwa tiketi ya CUF Kumbe uchaguzi huu una mambo mengi aisee. Maendeleo hayana vyama!
  8. Nyusi ameshinda uchaguzi wa Urais nchini Msumbiji

    Tume ya uchaguzi ya Msumbiji imemtangaza Rais Filipe Nyusi kuwa mshindi wa uchaguzi wa Urais kwa asilimia 73 ya kura na chama chake cha FRELIMO kitakuwa na asilimia 74 ya viti vya Bunge, Chama Kikuu cha Upinzani cha RENAMO kimeyakataa matokeo hayo, kikidai uchaguzi ulikuwa umegubikwa na...
  9. J

    Kheri ya Kuzaliwa kwako Mheshimiwa Rais John Magufuli.

    Leo Oktoba 29 Mheshimiwa Rais wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli amezaliwa. Mengi aliyoyafanya na anayozidi kuyafanya hakika anastahili Pongezi za kila namna. Wengi wanatamani kumapatia Zawadi lakini hawawezi ila zaidi ni kumtakia kila a kheri na kumuombea dua njema kwa Mungu ili aendelee...
  10. Heri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli

    Wadau, President Magufuli is now 60 years old. Happy birthday to our great leader Dr. John Pombe Magufuli. May you live long
  11. Kitabu Kipya: Historia na Kumbukumbu za Rais Mkapa kutoka Nov 12, 2019

    Taarifa rasmi inasema kua Kitabu Kipya cha Historia na Kumbukumbu za Rais Mkapa kutoka Nov 12, 2019. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolea na Uongozi Institute, Katika kitabu hicho, pamoja na mambo mengine, Rais Mkapa atazungumzia historia yake toka utoto na Nyakati za Urais wake wa awamu ya 3
  12. Huyu kiongozi mpya wa ISIS anafanana sana na Mlinzi

    Mzuka wanajamvi! Dah yaani jamaa copyright na boss mpya wa ISIS aliyerithi nafasi ya marehemu Al Baghdad. Boss mpya wa ISIS Abdullah Qardash Quyraish ama professor jina lake la utani ni katili kuliko Al Baghdad mwenyewe.
  13. J

    Askofu Kakobe: Rais Magufuli ni mchapakazi, watu wa namna hii ni wachache sana, sisi tumepata neema

    Askofu Kakobe amesema anabarikiwa sana na kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu na kwamba Rais Magufuli ni mchapa kazi kweli kweli. Kakobe amesema watu wenye hulka ya kufanya kazi kwa uzalendo uliotukuka aina ya Dr Magufuli ni wachache sana barani Afrika na sisi kama taifa hii ni neema. Askofu Kakobe...
  14. Rais wa Zanzibar ataka sheria ziandikwe kwa lugha ya Kiswahili ili wananchi wajue haki zao

    NA RAJAB MKASABA, IKULU RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ameitaka Jumuiya ya Majaji na Mahakimu ya Nchi za Afrika Mashariki (EAMJA) kuhakikisha sheria zinatafsiriwa kutoka lugha ya Kiingereza kwenda lugha ya Kiswahili. Alisema hatua hiyo...
  15. S

    Kwanini mnaibeza kauli ya Rais ya jana

    Jana Ndege nyingine iliwasili nchini na hafla fupi ikafanyika kama ilivyo kawaida na Serikali ya awamu ya tano kujipongeza kwa hatua hiyo,Tuliwaona pia wanaccm wakifurahia Serikali iliyochini yao ikiongeza Ndege nyingine Mimi ni mwanachi wa kawaida SIJAFUNGAMANA na upande wowote baada ya...
  16. Tuzungumze suala la kumuongezea Rais muda au sheria?

    Na Elius Ndabila ewndabila@yahoo.com Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na hoja ambayo imeshikiwa bango na baadhi ya Watanzania wakiomba Mh RAIS Dkt John Magufuli aongezewe muda wa kuliongoza taifa hili. Hoja hii mwanzo ilianza kama utani na Mh Juma Nkamia Mbunge wa Chemba. Ninaweza kusema...
  17. Waziri Mkuu amwakilisha Rais Magufuli katika Mkutano wa 18 wa NAM

    Waziri Kassim Majaliwa leo Oktoba 26, 2019 anatarajiwa kumwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika Mkutano wa 18 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa nchi zisizofungamana na upande wowote (NAM) kutoka Afrika na kwingineko duniani utakaofanyika Baku, Azerbaijan. Mkutano huo unalenga kujadili...
  18. Usichokijua kuhusu ndege mpya iliyopokelewa leo na Rais Magufuli

    Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 26 ameongoza Watanzania kupokea ndege ya pili aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, katika Uwanja wa Ndege wa Mwl. Julius Nyerere, Dar es Salaam. Ndege hii mpya imesajiliwa kwa usajili namba 5H-TCJ na imepewa 'Brand Name' ya RUBONDO ISLAND, visiwa vilivyopo...
  19. J

    Mjapan: Kwa kasi hii ya maendeleo Rais Magufuli alistahili kuishi Japan maana anaamini katika kazi siyo siasa

    Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan. Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema. Mjapani ameniuliza kama...
  20. J

    Mjapan: Kwa kasi hii ya maendeleo Rais Magufuli alistahili kuishi Japan maana anaamini katika kazi siyo siasa

    Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan. Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema. Mjapani ameniuliza kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…