rais

  1. JamiiForums Tanzania Public Relations: Rais Magufuli angeweza kutoa msamaha kwa wafungwa wachache (Mtwara Pekee) ili kuenzi matendo mema, hekima na busara za mzee Mkapa

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu watanzania; Rais Magufuli angeweza kutoa msamaha kwa wafungwa wachache tu (MTWARA PEKEE) ili kuweza kuenzi matendo mema, hekima...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

    Kikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa. Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania. Pia...
  3. JamiiForums Tanzania Je, rais Magufuli kabadilishiwa Walinzi? Hizi sura sijawahi kuziona!

    Salaam wakuu, Kuna watendaji wa Ikulu tunezoea kuwaona kwenye macho yetu hasa hawa Walinzi. Kuna yule aliyesemwa kwa kuvaa nguo za CCM simuoni. Huyu Mlinzi wa rais Magufuli alikuwepo hata kabla ya rais kuwa rais, kipindi hicho alikuwa anafanya Kampeni za kuwa rais. Mbona sasa simuoni? Naombeni...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Rais Mkapa: Kwa nini Ubalozi wa UAE Tanzania haujashusha bendera nusu mlingoti?

    Serikali na Wizara ya Mambo ya Nchi za nje ulitoa mwongozo juu ya suala la kushusha nusu mlingoti bendera zote kwa Balozi zote za nie zilizopo hapa Tanzania kutokana na Msiba huy wa kitaifa tulio nao. Ubalozi wa Falme za Kiarabu hapa Tanzania bendera zake bado zio juu kabisa toka msiba wetu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

    Salaam Wakuu, Je, MwanaJF gani yupo Lupaso? Rais wetu Mpendwa yupo hapo? Naomba Aje PM nimuuize maswali Mawili. Mimi nafuatilia Mazishi ya Marehemu Mkapa kupitia Online Youtube Channel ya JamiiForums. Lakini Kilichonitia Wasiwasi na Mambo yanayoendelea pale Kanisani Lupaso. Kiti alichotakiwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pale Rais Magufuli anapomsifu Mkapa kwa demokdasia na utawala bora

    Jana wakati Rais Magufuli anasoma hotuba ya Tanzia juu ya kifo cha Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa, alizungumza mambo mengi mazito ambayo rais huyo aliyetutoka alilifanyia Taifa. Kwa kweli Mkapa ameacha alama katika nchi hii, yeye ndiye aliyesuka engine ya Tanzania ya leo tunayoiona. Yeye...
  7. JamiiForums Tanzania IGP Sirro awaonya wahuni wanaotaka kuvuruga Msiba wa Mzee Mkapa

    IGP AWAONYA WALIOPANGA KUVURUGA SHUGHULI YA MAZISHI YA MZEE MKAPA “Kama kuna watu wanataka kuiharibu hii shughuli yetu tutawashughulikia,” – Kauli ya IGP Simon Sirro akiwaonya wanaopanga kuvuruga shughuli ya mazishi ya Mzee Mkapa. Ikiumbukwe mapema ya leo Vikosi vya Ulinzi na Usalama Vilizuia...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atokwa na Chozi la huzuni: Mzee Mkapa alinilea kama mtoto wake, alikuwa ni shujaa wangu, alinionyesha upendo

    RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amejikuta akitokwa machozi hadharani baada ya shindwa kujizuia wakati akielezea mazungumzo yake ya mwisho na Rais mstaafu awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam Hilo limejitokeza leo Jumanne tarehe 28 Julai 2020...
  9. JamiiForums Tanzania Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

    Msafara wa Viongozi Wakuu wa CHADEMA, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Freeman Mbowe, wamezuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru walikokuwa wameenda kuhudhuria shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kumuaga Rais Mstaafu wa Awamu Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa. Mwenyekiti wa Chama...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa Jinsi Rais Magufuli alivyotangaza mambo ambayo Mkapa alifanya naona kila kitu cha maana leo yeye ndio alianzisha

    Nimesikiliza mambo ambayo Rais Magufuli anayasema kuhusu Mkapa binafsi naona Mkapa ni shujaa mkubwa mno wa Taifa hili maana alianzisha mambo muhimu mno mpaka sasa na sisi ambao wengi hatujui tulijua hayo yalianzishwa na Mwl. Nyerere au Mzee Mwinyi kumbe ni Mkapa, pia naona yale maubabe aliyokuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aubadilisha jina uwanja wa Taifa, Rasmi kuitwa "Mkapa stadium"

    Rais Magufuli amesema "Mzee Mkapa aliujenga uwanja mkubwa wa michezo. Wengi wanataka uitwe Mkapa Stadium. Alikuwa hapendi vitu viitwe kwa jina lake, lakini hawezi kuniadhibu amelala. Natamka rasmi uitwe Mkapa Stadium'
  12. JamiiForums Tanzania Kifo cha Rais Mkapa: Burundi yatangaza siku 3 za maombolezo kuanzia leo. Waziri Mkuu wake afika kuhudhuria msiba

    Serikali ya Burundi imetangaza siku 3 za maombolezo kufuatia kifo cha Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa. Kwa siku zote tatu Bendera zitapepea nusu mlingoti ikiwa ni kuanzia leo, jumatatu.
  13. JamiiForums Tanzania Mo Dewji aanzisha petition ya kumuomba Rais Magufuli kubadili jina la Uwanja wa Taifa kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Anaandika Mo Dewji:-Leo nimeamua kuanzisha petition (maombi) kwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli kubadili jina la Uwanja wa Taifa kuwa: Uwanja wa Benjamin William Mkapa. Amesema Itakuwa ni heshima kubwa kama uwanja wetu pendwa utaitwa jina la Uwanja wa...
  14. JamiiForums Tanzania Membe: Rais Mkapa alithamini sana matumizi ya akili kubwa katika uongozi

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe amesema kuwa Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamini Mkapa, alikuwa Kiongozi wa dunia, mshauri wa masuala ya Uchaguzi na kinara katika kulisaidia bara la Afrika kutatua migogoro bila kuchoka Amesema siku zote Mkapa alikuwa anathamini akili...
  15. JamiiForums Tanzania Ole wenu mnaopanga kuvuruga Msiba wa Rais Benjamin W. Mkapa, Kesho Kichapo hadi mtachakaa

    Tukiwa katika Majonzi kuna watu wanataka kuvuruga msiba kwa lengo la Kutafuta umaarufu wa Kiasiasa msibani si mahali pake naomba Wakuu wa Vituo vya Staki Shari, Buguruni na Tazara msimamie hili hatuko tayari kuona mambo ya Kihuni yakijitokeza katika Taifa letu lenye tunu ya amani. Kwa Vijana...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu amewaahidi nini wazungu endapo akiwa Rais, mbona wanamtetea sana?

    Nimefikiri na kujiuliza sana kwanini baadhi ya marafiki wa kizungu wanaonekana waziwazi kumtetea sana Lissu. Je, huyu Lissu amewaahidi kitu gani atakachowapa kutoka nchini kwetu ikiwa atachaguliwa na Watanzania katika uchaguzi wa mwaka huu kuwa Rais wa Tanzania, japo kiuhalisia Lissu kamwe...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli tuko katika Majonzi makubwa, lakini Kocha wa Yanga ametutukana Watanzania wote. Akamatwe upesi

    Hii haivumiliki na GENTAMYCINE nasema tena kuwa hii haivumiliki na namuomba Waziri wa Michezo aamuru Jeshi la Polisi nchini Tanzania chini yake IGP upesi sana wamsake (wamtafute) popote pale alipo Kocha wa Yanga SC Raia Ubelgiji Luc Eymael kwa ‘ Matamshi ‘ ya Kuidhalilisha Tanzania na hadi Sisi...
  18. JamiiForums Tanzania Maelezo haya ya leo yanaendana na maelezo ya Rais mstaafu Kikwete

    Haya, leo mzizi wa uzushi umekatwa. Sababu ya kifo cha Rais mstaafu Mkapa imetajwa: ni mshituko wa moyo. Licha ya hivyo, hicho sicho kilichompeleka hospitali. Kilichompeleka hospitali ilikuwa ni kutojisikia kwake vizuri, ambapo baadaye ilikuja kugundulika kuwa ni malaria, kwa mujibu wa taarifa...
  19. JamiiForums Tanzania Simulizi Binafsi: Ninavyomkumbuka Rais wa Awamu ya Tatu Mzee Benjamin Mkapa

    UTANGULIZI: Kwa neema ya Mungu nimefanikiwa kuishi kwenye uongozi wa marais wote 5 wa nchi yetu hadi sasa nikiwa tayari na uwezo wa kuelewa kinachoendelea duniani (kwa sehemu). Kwa kuwa nina shahuku (enthusiasm) kubwa na uongozi na dhana nzima ya kutumikia watu (ambayo siasa ni sehemu yake)...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Nyalandu: Nilikuwa msaidizi wa mama Mkapa kwahiyo nilisafiri sana huko duniani na Rais Mkapa!

    Mtia nia ya Urais kwa tiketi ya CHADEMA mh Lazaro Nyalandu amesema wakati wa utawala wa Rais Mkapa yeye alikuwa msaidizi wa Mama Anna Mkapa hivyo amesafiri sana huko Duniani na mzee Mkapa. Nyalandu amesema hayo wakati akiweka saini kitabu cha maombolezo msiba wa mzee Mkapa. Chanzo: ITV habari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…