Ninataka kumpigia kura mheshimiwa Rias wetu. Lakini, nahitaji majibu ya kina kwa haya maswali yangu;
1. Miili ya ndugu zetu iliyokuwa ikiokotwa ufukweni mwa bahari. Ili jambo ni jipya. Watanzania hatukuwahi kuona wenzetu wakiuawa kama kuku. Hawa watu walikosa nini mpaka kuondolewa haki yao ya...