Rais wa Guinea, Alpha Condé,amekubali hatua ya chama chake kumteua kugombae muhula tata wa tatu madarakani.
Bw. Condé, ambaye mwanazo alichaguliwa 2010,alishinikiza marekebisho ya katiba kupitia kura ya maoni iliyomwezesha kugombea muhula wa tatu.
Kura hiyo ya maoni ilisusiwa na upinzani...