rais

  1. JamiiForums Tanzania Baraza la Mapinduzi ambalo Rais wa Zanzibar ni Mwenyekiti wake linaundwa na watu gani?

    Naomba kujuzwa hili Baraza la Mapinduzi ambalo Rais wa Zanzibar ni Mwenyekiti wake linaundwa na watu gani? Wajumbe wa Baraza hili wanapatikanaje, kuchaguliwa au maveterani wa mapinduzi? Nani katibu wake? Vikao vyake hufanyika mara ngapi kwa mwaka? Agenda zao huwa zipi? Hivi vyeo viwili...
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Hospitali ya Rufaa ya Chato iliyowekwa jiwe la msingi na Rais Filipe Nyusi. Kuhudumia takriban watu milioni 18 mikoa ya Kanda ya Ziwa

    Picha za Hospitali ya Rufaa ya Kanda -Chato mkoani Geita ambayo imewekwa jiwe la msingi na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita leo tarehe 11 Januari 2021.
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi awasili Tanzania, aweka jiwe la msingi hospitali ya rufaa ya kanda Burigi, Chato

    Leo Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amewasili Chato mkoani Geita kwa ziara ya siku mbili kuimarisha uhusiano ambapo atakuwa na mwenyeji wake, Rais Magufuli. ======= Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji ameshawasili uwanja wa ndege wa Chato na kulakiwa na mwenyeji wake, Rais John Magufuli 05:34...
  4. JamiiForums Tanzania Wito kwa Rais Magufuli, tuletee Muungano wa Serikali Moja

    Wajumbe, Nianze kwa kukumbushia andiko langu juu ya hatari iliyopo kwenye muundo wa muungano wetu hususan katika zama hizi za vyama vingi. https://www.jamiiforums.com/threads/je-zanzibar-inajiandaa-kujitwalia-uhuru-kamili.1770529/ Kwakua kupitia uchaguzi wa 2020 chama cha mapinduzi kimeshika...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru: Siyo kweli kwamba CCM itatumia wingi wao Bungeni kubadilisha Katiba ili kumuongezea muda Rais Magufuli kukaa madarakani!

    Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya miaka 10. Dkt. Bashiru amesema Rais Magufuli atahudumu madarakani kwa miaka 10 kwa mujibu wa katiba ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kipi bora kuwa kiongozi wa kisiasa kama Waziri au Rais au kuwa mfanyabiashara mkubwa kama Mengi au Mo?

    Hivi hapa duniani kipi ni kitu cha fahari zaidi kati ya kuwa mwanasiasa na kufikia mafanikio ya kuwa waziri au rais kabisa, na kuwa mfanyabiashara bilionea kama alivyokuwa Mengi au Mohamed Dewji (Mo)? Kuwa kiongozi wa kiasa kuna raha yake, kusafishiwa njia na ving'ora kwa pembeni ukiwa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nashukuru Rais Magufuli kuiomba China itufutie deni la Kiwanda cha Urafiki pale Ubungo!

    Kwa kweli kiwanda cha Urafiki kina hali mbaya sana na watumishi wake hawajalipwa mishahara kwa miaka kadhaa sasa. Hivyo ombi la kufutiwa deni la Dola Milioni 15 ambalo Tanzania inadaiwa likikubaliwa basi kiwanda hicho kitarudi mikononi mwa Watanzania na wafanyakazi wa Urafiki haki zao...
  8. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi apendekeza kuundwe Kamati ya kushughulikia unyanyasaji wa Kijinsia

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameshauri kuundwa kamati maalumu itakayowashirikisha wadau mbalimbali ili kulitafutia ufumbuzi tatizo la udhalilishaji wa kijinsia lililokithiri katika jamii. Dk Mwinyi ametoa ushauri huo jana katika mkutano uliojadili masuala ya udhalilishaji wa kijinsia na...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania na China zasaini mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Mwanza - Isaka

    TANZANIA NA CHINA YASAINI MKATABA WA KUJENGA RELI YA KISASA (MWANZA-ISAKA) Serikali ya Tanzania na China vimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka Hicho ni kipande cha tano, ambapo kipande cha Kwanza ni kutoka Dar mpaka Morogoro, Cha pili ni...
  10. JamiiForums Tanzania Ni ajabu! Account za FB, Instagram na Twitter za Rais Donald Trump wa U.S.A zafungwa kwa muda usiojulikana

    Sasa ni wazi kabisa Urais wa Donald Trump unaisha kwa aibu na fedheha kubwa. Kitendo cha kuhamasisha wafuasi wake jana kuvamia jengo la Bunge la Congress (Capitol Hill) ili kuzuia bunge lisifanye kazi yake kumwidhinisha Rais Mteule Joe Biden (D) na makamu wake Kamala Harris ilikuwa ni ishara ya...
  11. JamiiForums Tanzania Nanaa Akufo Addo aapishwa kuwa Rais wa Ghana

    Wakati kura za kumtafuta mwanademokrasi bora katika Bara la Afrika na mchuano mkali ukiwa kati ya Rais wa Tanzania na Rais wa Ghana, leo Rais wa Ghana ndugu Nanaa Akufo Adoo ameapishwa baada ya kushinda uchaguzi wa Rais uliofanyika mwisoni mwa mwaka jana. Mungu amjalie asimamie kiapo chake...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania ni nzuri kuliko ya Marekani, hapa Rais hawezi kuratibu maandamano ya ghasia

    Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani. Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea? Itoshe tu kusema...
  13. JamiiForums Tanzania Rais ajaye huenda akawa mwenye uoga mwingi

    Nikiangalia kwa aina ya viongozi tulio nao wakati huu, ni uwazi kuwa wengi hawajiamini katika kutekeleza majukumu yao, wamejawa na uoga mwingi tena wasio jiamini. Na kwa kuwa sasa ni Tanzania ya Kijani sina mashaka kabisa kuwa ni mwana CCM tena atakae kuwa rais wetu ajae. shida inayo nijia...
  14. JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani lamthibitisha Joe Biden kuwa Rais wa Marekani

    Baada ya kikao kilichochukua muda mrefu, hatimaye Bunge la Congress limemthibitisha Joe Biden kuwa Rais wa Marekani na Kamala Harris kuwa Makamu wa Rais kwa muhula unaotarajiwa kuanza rasmi Januari 20, 2021 kwa kura 306 dhidi ya Donald Trump aliyepata kura 232. Hatua hii inaashiria kukamilika...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi: Tanzania kupokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje

    Profesa Kabudi amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo. Ziara hiyo itakuwa na manufaa makubwa kwa nchi yetu ambayo ina mkataba wa urafiki na China uliosainiwa na Mwalimu Nyerere miaka 55 iliyopita, amesema Prof Kabudi. Chanzo: Eatv...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Touadera ashinda kwa Muhula wa Pili Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Rais Faustin-Archange Touadera ametangazwa Mshindi wa Uchaguzi wa Rais uliofanyika tarehe 27 Desemba katika Jamhuri ya Afrika ya Kati. Matokeo yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi ya nchi hiyo usiku wa kuamkia leo, yamempa Touadera asilimia 53 ya kura zilizopigwa. Mwenyekiti wa tume hiyo Mathias...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi punguza sana Cheap Publicity ambayo naona inaanza kukuzoea sasa

    Kuna Mtu wako Mmoja wa karibu mno hasa kutoka Wizara uliyokuwa ukiiongoza huku Tanzania Bara kwa muda mrefu kanidokeza ya kwamba Role Models wako wakubwa Kiuongozi na ambao unawakubali sana ni aliyekuwa Rais wa Marekani Barrack Hussein Obama na Rais Mstaafu wa Tanzania kwa Awamu ya Nne Mzee Dk...
  18. JamiiForums Tanzania Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

    Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka. Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora Japo Magufuli anaongoza...
  19. JamiiForums Tanzania JamiiForums ni bidhaa yetu, kwanini Rais haitumii?

    JamiiForums ni bidhaa ya Kitanzania iliyoundwa na watanzania kwa ajili ya watanzania. Rais wetu amekuwa akisisitiza sana Raia wetu kutumia vitu vyetu ili kukuza uchumi wetu lakini naona yeye ana account Twitter, Facebook nk lakini sioni akiwa na account yake JamiiForums ambao ni mtandao wa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Membe: Sijaumbwa kuwa Rais wala sina tamaa ya Urais, mimi sitaki nionekane kibwengo

    Aliyekuwa Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amejaribu kwa wakati kugombea Urais na sasa wakati hauko upande wake tena hivyo anawatia moyo vijana kugombea. Membe amesema yeye hana tamaa na wala hajazaliwa ili awe Rais ndio maana anabakia kuwa mshauri. Ni fisi tu ndiye mwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…