Nanaa Akufo Addo aapishwa kuwa Rais wa Ghana

Snipper

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
1,336
2,157
Wakati kura za kumtafuta mwanademokrasi bora katika Bara la Afrika na mchuano mkali ukiwa kati ya Rais wa Tanzania na Rais wa Ghana, leo Rais wa Ghana ndugu Nanaa Akufo Adoo ameapishwa baada ya kushinda uchaguzi wa Rais uliofanyika mwisoni mwa mwaka jana.

Mungu amjalie asimamie kiapo chake. Tuendelee kufuatilia mtifuano kati yake na JPM maana sasa meza imeanza kupinduka kwa kura zikiongezeka upande wa Tanzania.

----
Ghana swear in Nana Akufo-Addo as President of Ghana as de 1992 Constitution demand on January 7.

Chief Justice Kwasi Anin Yeboah during a short ceremony for parliament take de president-elect through de process of wearing en oath of office.

"I go be faithful and true to de Republic of Ghana. I go at all times preserve, protect den defend de Constitution of Ghana," Nana Akufo-Addo talk during en swearing in.

Nana Akufo-Addo dey continue en second term in office after he win de December 2020 elections.

Power sharing for Ghana​

Meanwhile, some form of power sharing arrangement emerge for de Ghanaian political scene after opposition NDC win de Speakership race den successfully elect dema candidate, Alban Bagbin as new Speaker of Parliament.

After hours of deliberation for parliament, de NDC candidate Alban Bagbin beat de NPP candidate for Speaker, Mike Oquaye.
Opposition leader John Mahama after de NDC after de lose de 2020 elections reject de results which he describe as "fictional and flawed."

Later, NDC minority members of parliament march go parliament to protest de results of some constituencies like Techiman South.

Top NDC leaders like John Mahama and Haruna Iddrisu make am clear say dem no go accept anything short of a declaration of de legitimate results which dey point to an NDC Parliamentary majority.

President Akufo-Addo concede say "for de first time in de life of de 4th Republic President who dey come from one party, based on de current situations for work in all sincerity den co-operate with de Speaker of Parliament from another party."

President Akufo-Addo go lead Ghana for de next four years until Ghana go de polls again in December 2024.

Source: Nana Addo, Bawumia sworn into office for second term - BBC News Pidgin
 
kura za kumtafuta mwanademokrasi bora katika Bara la Afrika na mchuano mkali ukiwa kati ya Rais wa Tanzania na Rais wa Ghana, leo Rais wa Ghana ndugu Nanaa Akufo Adoo ameapishwa baada ya kushinda uchaguzi w
Taasisi gani inasimamia hili? Na JPM ktika demokrasi? anagombea?
 
Nani anaweza kutuwekea hapa vigezo au maeneo wanayotumia kutafuta kiongozi/ mwanademokrasia bora Afrika?
 
Nani anaweza kutuwekea hapa vigezo au maeneo wanayotumia kutafuta kiongozi/ mwanademokrasia bora Afrika?
Hawa hapa wana majibu ya swali lako
JamiiForums1090265758.jpg
 
Democrasia ni ujumla wa mambo yote hata matusi na kufokea viongozi kama watoto wadogo?

Kama ndio hiyo" basi Democrasia ni Jambo la kipuuzi mno
 
Mkuu, niliuza maana ya Democrasia!!
Demokrasia ina maana pana!Ndani yake kuna:
  • Uhuru wa kushiriki/kufanya siasa
  • Uhuru wa kufanya kazi
  • Uhuru wa kuabudi
  • Uhuru wa kutoa maoni
  • Na mengine yanayoambatana na haki na uhuru wa watu katika taifa lao!

Sasa ukiona mtu akionekana mkosoaji basi anaandamwa na vyombo vya dola basi hapo demokrasia imekiukwa! Mambo ya kubambikizia kesi, kuteka, kupiga risasi au kuua makundi fulani kwenye jamiini ukiukwaji wa haki na ukandamizaji wa demokrasia!

Kiufupi nchi hii imeporomoka sana kwenye suala zima la demokrasia tokea awamu ya 5 iingie madarakani!
 
Wakati kura za kumtafuta mwanademokrasi bora katika Bara la Afrika na mchuano mkali ukiwa kati ya Rais wa Tanzania na Rais wa Ghana, leo Rais wa Ghana ndugu Nanaa Akufo Adoo ameapishwa baada ya kushinda uchaguzi wa Rais uliofanyika mwisoni mwa mwaka jana.

Mungu amjalie asimamie kiapo chake. Tuendelee kufuatilia mtifuano kati yake na JPM maana sasa meza imeanza kupinduka kwa kura zikiongezeka upande wa Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demokrasia ina maana pana!Ndani yake kuna:
  • Uhuru wa kushiriki/kufanya siasa
  • Uhuru wa kufanya kazi
  • Uhuru wa kuabudi
  • Uhuru wa kutoa maoni
  • Na mengine yanayoambatana na haki na uhuru wa watu katika taifa lao!

Sasa ukiona mtu akionekana mkosoaji basi anaandamwa na vyombo vya dola basi hapo demokrasia imekiukwa! Mambo ya kubambikizia kesi, kuteka, kupiga risasi au kuua makundi fulani kwenye jamiini ukiukwaji wa haki na ukandamizaji wa demokrasia!

Kiufupi nchi hii imeporomoka sana kwenye suala zima la demokrasia tokea awamu ya 5 iingie madarakani!
Kwa hiyo Uhuru wa kutukana viongozi si sehemu ya Democrasia?
 
Kwa hiyo Uhuru wa kutukana viongozi si sehemu ya Democrasia?
Inategemeana,maana ukisema fulani ni dikteta unaambiwa umemtukana!So matusi kwa Tanzania inategemea ni nani kaongea na kaongea wakati gani!Kuna mwingine aliwaita watanzania wanaounga mkono chama fulani ni malofa na wapumbavu,ila kwakuwa ni kiongozi kasema basi sio tusi!Ila mwananchi akiisema serikali kwa kufumbia macho mauaji,utekaji na kubambikizia kesi basi anaambiwa katukana!Ataenda kupekuliwa nyumbani,kupimwa mkojo na mwisho wa siku uhujumu uchumi unamuhusu!So matusi kwa Tz inategemea na ni nani kasema!
Hebu nitajie matusi matatu tu uliyoyasikia awamu hii 5 kutoka kwa mwananchi aliyesimama hadharani au verified user nami nitakutajia matusi matatu kutoka kwa viongozi kwenda kwa wananchi!
 
Back
Top Bottom