Huyu ndiye Rais aliyepaswa kuongezewa muda

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Kama Tulikuwa Na Lengo La kuongeza Muda wa Rasi kukaa madarakani Tungemuongezea Huyu Mzee, Ni Moja kati Ya Watu Wanaojali Utu

1613781981033.png

Mpaka muda huu angehakikisha ma kundi maalum yameshapata chanjo bora ya covid na si bora chanjo.
 
Huyu mzee wetu nakumbuka mlikashifu Sana kufikia hatua katibu mkuu wa Sasa wa chadema kutamka bungeni kuwa ni Dhaifu.

Napata mashaka Sana na maamuzi yenu.

Mara zote hampo sahihi.

Hata sasa hampo sahihi.

Muda utaleta majibu kuhusiana na haya mnayoyafanya sasa.
 
Hilo liko wazi JK alikuwa dhaifu sana kwenye kuwashughulikia wasaidizi wake walio kubuhu kwa Ufisadi. Na hii ndiyo turufu iliyotumiwa na Chadema kujipatia umaarufu wa kipekee. Maana waliweka kila kitu wazi. Na ukichukulia kulikuwa kuna demokrasia walau yenye uwazi, hakika Watanzania wengi tulikerwa sana na hao wapigaji.

Ila ukija kwenye mambo mengine, hakika this man was Great! Mfano sisi Wafanyakazi tulipandishwa madaraja yetu kila baada ya miaka 3, annual incriment kila mwezi wa 7, alituongezea mishahara mara kadhaa tulipo mdai/muomba! Aliajiri maelfu ya wahitimu wa vyuo kila mwaka! Na wakati huo huo alijenga miundo mbinu mbalimbali, ukiwemo usambazaji wa umeme vijijini, barabara za lami, madaraja, nk.

Siyo huyu wa sasa! Anatapanya tu fedha kwa mamiradi yake yasiyo eleweka huku wafanyakazi tukitaabika. Kutoka kupandishwa madaraja kila baada ya miaka 3 enzi za JK! Hadi sasa tuna miaka 6 na hatujui hatma yetu!! Kuna watu hawana tofauti na mashetani.😔
 
Kwa maelezo yako udhaifu mnaosema ni kwa uhuru ambao kikwete aliwapa mkauabuse kwa kumwita dhaifu.

Sasa mnalialia kwakua ile nafasi ya kutukana tena kwa Uhuru kwa kuita watu dhaifu haipo tena na wizi wizi haupo tena. Yaani kiufupi mligeuza mapato ya serikali kama yenu.

Naamini kabisa kwa jinsi mlivyo Magufuli akistaafu lazima mumsifie , ushahidi upo hakuna mstaafu ambaye hajapata kusifiwa. Muda utaongea kwa hilo.
 
Siwezi kumsifia kwa kipi alichofanya Cha maajabu, kwa kumkomboa mwananchi wa kawaida?, Zaidi ya maisha kuwa magumu.
 
Kwa maelezo yako udhaifu mnaosema ni kwa uhuru ambao kikwete aliwapa mkauabuse kwa kumwita dhaifu.

Sasa mnalialia kwakua ile nafasi ya kutukana tena kwa Uhuru kwa kuita watu dhaifu haipo tena na wizi wizi haupo tena. Yaani kiufupi mligeuza mapato ya serikali kama yenu.

Naamini kabisa kwa jinsi mlivyo Magufuli akistaafu lazima mumsifie , ushahidi upo hakuna mstaafu ambaye hajapata kusifiwa. Muda utaongea kwa hilo.
Mbona hata huyu malaika wako anatukanwa tu! Au umesahau namna Tundu Lissu alivyo mnyoosha mwaka jana? Na kama ni wizi, uliisha lini?

Mbona hii awamu yake ndiyo watu wake wa karibu wanaiba tu!! Huko Chato tu anakotoka yeye, tayari wajanja wameshapiga bilioni 3 na ushee! Kuna ile tirion 1.5 ambayo iliyeyukia kusiko julikana! Wakurugenzi kibao tu wanapiga hela kama hawana akili vile! Unafuu uko wapi sasa!

Halafu unasema eti akistaafu tutamsifia! Tutamsifia kwa lipi hasa! Kuchezea hela za Watanzania kwa kuanzisha miradi ya kipuuzi? Kwa kutonipa stahiki zangu kama mfanyakazi kwa miaka sita?

Kafie mbali huko na hiyo takataka yako.
 
Kama Tulikuwa Na Lengo La kuongeza Muda wa Rasi kukaa madarakani Tungemuongezea Huyu Mzee, Ni Moja kati Ya Watu Wanaojali Utu

View attachment 1706913
Mpaka muda huu angehakikisha ma kundi maalum yameshapata chanjo bora ya covid na si bora chanjo.
Hahaha leo mnamkumbuka dhaifu..........hawa ndo wabongo sasa. Enzi zile kila siku mlikua mnakesha mkimponda, leo mnamkumbuka kweli baniani mbaya kiatu chake dawa
 
Mbona hata huyu malaika wako anaukanwa tu! Au umesahau namna Tundu Lissu alivyo mnyoosha mwaka jana? Na kama ni wizi, uliisha lini?

Mbona hii awamu yake ndiyo wasukuma wenzake wanaiba tu!! Huko Chato tu anakotoka yeye, tayari wajanja wameshapiga bilioni 3 na ushee! Kuna zile tirion 1.5 zilizo muondoa CAG Assad, Wakurugenzi kibao wanapiga tu hela! Unafuu uko wapi sasa!

Halafu unasema eti akistaafu tutamsifia! Tutamsifia kwa lipi hasa! Kuchezea hela za Watanzania kwa kuanzisha miradi ya kipuuzi? Kwa kutonipa stahiki zangu kama mfanyakazi kwa miaka sita?

Kafie mbali huko na hiyo takataka yako.
Shida ni kwamba kabana wengine mmeshindwa kuiba ndo maana mnalialia..........na nyie mngeruhusiwa kuiba mngekausha tu
 
Mimi ni mfanyakazi. Kanibana wapi? Ninacho taka kutoka kwa mwajiri ni kutimiza wajibu wake. Nafanya kazi kwa bidii kwa manufaa ya Taifa, lakini natakiwa pia kupewa stahiki zangu kwa mujibu wa sheria na kanuni za kiutumishi.

Kwa bahati mbaya sana na kwa kutokana na uelewa wake mdogo, huyu malaika wenu ameamua kutudhulumu stahiki zetu. Mwambieni atupandishe madaraja yetu! Ni mwaka wa sita huu anatufanyia uhuni. Tumechoka! Na asipo fanya hivyo, ufanisi wa kazi utaendelea kushuka kadiri siku zinavyo kwenda.
 
Hukohuko kwa wafanyakazi hasa serikalini, wengi utendaji ulikua 0 watu walijisahau kama vile ofisi ni za kwao binafsi ufanisi ushukaje tena wakati enzi hizo mnapata marupurupu ndo ufanisi ulikua bogus kabisa bora hata sasa ila kama vipi unaona kwa sasa pagumu acha kazi jiajiri hako kadogo unachopata kuna madogo mitaani wanasaka upenyo wapate kama unachopata wewe mshakusanya mitaji achieni tu nafasi wengine kama mnaona hapasomeki
 
Back
Top Bottom