rais

  1. Nitamwamini na kumuunga mkono Rais Samia atakapotatua suala la fao la kujitoa

    Habari! Sasa ni awamu ya 6 kwa mujibu wa Rais mwenyewe na serikali yake. Rais Samia Suluhu nitakuunga mkono kama utaondoa dhuluma hii kwa vijana. Kumnyima kijana asichukue fedha yake kwenye mfuko wa kijamii mara baada ya ajira yake kukoma ni dhulma isiyovumilika. Hebu vuta picha kijana...
  2. Je, Rais akisema 'Mkeka wa Ma DC ' upo tayari kutoka ' Ufanisi ' wa Kiutendaji kwa waliopo Ofisini unaongezeka au unashuka?

    Hivi Mchezaji aliyeko Uwanjani tena katika Mechi ngumu na anajitahidi akiona Kocha Mkuu kamuamsha Mchezaji wa namba anayocheza Yeye anaimarika Kiuchezaji au Kisaikolojia ndiyo anaathirika na kujikuta anaharibu kabisa na Kuigharimu Timu? Maoni yenu yatasomwa nae Muunguja.
  3. M

    Uwepo wa kina Mdee Bungeni kikwazo cha Rais kuonana na CHADEMA?

    Huenda uwepo wa wanachama waliofukuzwa chadema almaarufu covid-19 ni mojawapo wa sababu za Rais Samia Suluhu Hassan, kuchelewa kutimiza ahadi yake ya kukutana na chadema. Kwa utambulisho wa Nusrat Hanje jana jijini Mwanza kama mbunge wa chadema hii inaashiria mama anawatambua hao covid-19...
  4. Rais, Majaji na wote wasiokatwa kodi kwenye mishahara yao ni muda muafaka nao waanze kulipa kodi

    Kama kulipa kodi ni uzalendo, basi rais wa nchi ndiye anayepaswa kuwa mzalendo namba moja. Kama Tanzania ni nchi ya Usawa, basi haiyumkiniki wawepo watu katika nchi hii wawe ni wavuja jasho, wanaokamuliwa kodi kwenye mishahara yao lakini kuna jingine la watanzania haohao mfano rais na Majaji...
  5. B

    CAG fanya ukaguzi maalum kwa waliotumbuliwa ili kuona hasara Taifa iliyopata na ushauri mbinu kukabiliana na utumbuaji usio na tija

    Hakuna Jambo linalodhorotesha Utumishi wa umma nchini Kama hii style yakutumbuana kila siku. Viongozi wa nchi wameacha kutafuta suluhu ya matatizo ya wananchi badala yake wamejikita kutumbua kila siku na bila hoja ya msingi. Clip ikirushwa mtandaoni tayari mtu amefukuzwa kazi bila kujali uhusika...
  6. Rais Samia ameanzia Mwanza Kujenga Hekalu letu: Tayari kamaliza msingi, kuta na linta, bado kuezeka

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Mwanza anatafakari kuhusu Ramani ya Kimkakati (Strategy Map) iliyo muhtasari wa ukurasa mmoja wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa 2021/22 hadi 2025/26 (uk. 70) Tangu serikali ya wamu ya sita, chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, ilipoanza kazi nimekuwa najiuliza...
  7. Mh. Rais umekuja umetuona sisi vijana na tumepata nafasi ya kukusikia. Likumbuke hili jambo Ukiwa mezani pako Tafadhali

    Sisi vijana kwa kweli tumefurahi sana. Sana safari hii tumepata Rais Jembe hasa. Yaani ameshaonana na makundi yote ndani ya muda mchache sana. Ashaonana na wazee (na tunashukuru mzee wetu mwinyi ulimpa zawadi ya gari) ukaonana na wanawake, umeonana na vijana nadhani bado kuonana na wanaume...
  8. Kumtambulisha Nusrat Hanje kama mwakilishi wa BAVICHA huko Nyamagana ni uongo wa wazi na ni kumdanganya Rais Samia

    Kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kumtambulisha Nusrat Hanje kama kiongozi wa Bavicha, na kwamba ule ndio uwakilishi wa vijana wa Chadema kwenye Mkutano wa Rais na Vijana huko Nyamagana Mwanza ni kumpiga changa la macho Mh Rais .BAVICHA haikuhudhuria mkutano huo na wala haikutuma mwakilishi...
  9. P

    Tangu saa 3 Asubuhi hadi sasa ni taarifa za Wakuu wa Mikoa, Mawaziri na Wabunge. Tukio linakinzana na uhalisia wa Rais kuongea na Vijana

    Katika taarifa zilizotolewa na viongozi mbalimbali was serikali kuwa Mhe Rais ataongea na vijana. Cha ajabu tangu saa 3 Asubuhi hadi sasa saa 6:25 ni taarifa za Wakuu wa mikoa wa kanda na taarifa za Mawaziri na HOYE NYINGI. Mbona tukio linakinzana na uhalisia wa RAIS KUONGEA NA VIJANA. 4hrs ni...
  10. Hivi kuna kuwa na 'database' ya watu wanaostahili kuteuliwa na Rais?

    Ukiangalia teuzi za rais ni kama kuna list ya watu ambayo huwa tayari imeandaliwa kwaajili ya kuteuliwa. Yaani teuzi zinawazungukia wale wale. Unakuta mtu akikosa ubunge au uwaziri atapata uRC, DC, DAS, DED au ukatibu mkuu. Mwingine unakuta alishapita vyeo vingi sasa kesha anza maisha mapya...
  11. MATAGA wadhibitiwe, wanamkwamisha Rais Samia Suluhu

    Naingia kwenye mada moja kwa moja nisiwachoshe. Baada ya mwendazake kufanikiwa kuiharibu hii nchi kwa kubaka Uchaguzi Mkuu wa 2020, sasa CCM inaongoza nchi nzima kuanzia Balozi hadi Rais. Mwendazake aliwahi kusema kwamba CHADEMA ndio wanamkwamisha kuwaletea wananchi maendeleo, hivyo akaamua hata...
  12. Rais wa Kenya akifariki akiwa madarakani Katiba inasemaje? Utulivu Utakuwepo?

    Kila siku nimekuwa nikijaribu kutafakari hali iliyotokea Tanzania au Malawi au Zambia au DRC au Rwanda au Burundi au Msumbiji ya viongozi wakuu wa nchi kufa wakiwa madarakani. Kwa nchi hizo nilizo zitaja, muitikio su matokeo yalikuwa tofauti tofauti. Nchi nyingine ulikuwa mwanzo wa vurugu na...
  13. Nyamagana, Mwanza: Bendera ya CHADEMA yaonekana kwenye mkutano wa Rais Samia

    Kwa mara ya kwanza since 2016 leo nimeona bendera ya CHADEMA inapeperushwa sehemu ambayo Rais anahutubia, heko Mama samia, juhudi zako za kuirudisha demokrasia iliyominywa kwa kipindi hicho zinaonekana. Hii ina maana kwamba wateule hawana hofu na unafiki tena kwa mamlaka ya uteuzi (Enzi za...
  14. S

    Rais Samia: BoT wajiandae kuruhusu Crypto-Currency

    Rais Samia Suluhu Hassan hataki Sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia Sarafu za Kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT Tawi la Mwanza. Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia Sarafu za Kimtandao:- mfano...
  15. Hakuna Kiongozi bora kama Rais wa TFF Wallace Karia, hivyo apewe Minne yake tena au atawale hata Milele TFF

    Amefanya Mambo mengi mazuri hasa katika kuleta Mandeleo ya Soka Tanzania Katika Wagombea wote waliochukua Fomu Karia ni bora na anafaa kuliko wengine. Tena ikiwezekana na Katiba ikiruhusu Wallace Karia aongoze Milele tu TFF kwani kafanya makubwa. Ukiona Mtu anakubaliwa na GENTAMYCINE jua ni...
  16. S

    Rais Samia aachane na mtindo wa kuhutubia njiani; hauna tija na ni hatari kwa usalama wake

    Mwendazake ndiyo muasisi wa mtindo huu usiofaa wa kuhutubia njiani (naona Rais Samia naye anaufanya Mwanza). Rais anapaswa kutoa hotuba kaatika eneo lililoandaliwa vema kiulinzi na kiusalama siyo kusimama majiani. Kusimama na kuhutubia njiani ni hatari kwa usalama wa rais (rejea tukio la hivi...
  17. Sijawahi kuona mkutano wa Rais na wahudhuriaji wa jinsia moja tu

    Tangu uhuru Marais wote kabla ya mama Samia walikuwa wanaume, lakini sijawahi kusikia Rais kaitisha mkutano wa wanaume tu. Kazi yetu ni kuondoa vikwazo vya elimu, mikopo na fursa nyingine kwa wanawake lakini sio kupandikiza chuki kwa wanawake dhidi ya wanaume ambao kwa miaka mingi wamekuwa...
  18. B

    Rais Mkumbuke Nassary na Masele, Ni vigeugeu ila wanao uwezo wa kukusaidia

    Joshua Nassary pamoja na Steven Masele Ni baadhi ya vijana ambao wakitumiwa vyema wanaweza kutusaidia kusogea mbele. Mmoja alisaliti Chadema lakini mwingine alisimama Imara ila chuki binafsi na kukomoana zikamfifisha malengo yake. Tunapojadili kuijenga Tanzania lazima tuachane na chuki binafsi...
  19. Fahamu maisha ya Vladimir Putin wa Urusi

    Fahamu kwa undani maisha binafsi ya kila siku ya rais wa Urusi Vradimil Putin Kwa kawaida Putin huchelewa kuamka na kupata kifungua kinywa Akiwa ni mmoja wa viongozi wa dunia wenye nguvu na ushawishi zaidi na mwenye ulinzi mkali, Rais wa Urusi amekuwa akiishi maisha yanayoaminiwa kuwa ya...
  20. Amos Makalla: Uhalifu utabaki Historia Dar. Amwambia Rais Samia kama shughuli imepata Mwenyeji

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla amempongeza Rais Samia kwa kazi Nzuri anayoifanya ikiwemo tukio alilofanya leo kuendelea kuboresha huduma za Afya. Makalla amemuhakikishia Rais Samia, yeye kama mkuu wa Moka wa Dar na mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na Usalama kwamba Mkoa uko Salama na kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…