rais

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Paul Biya alalamikia unyanyasaji na kufuatiliwa tangu kumalizika kwa uchaguzi Cameroon

    Brenda Biya, binti wa Rais Paul Biya, amejitokeza kwenye mitandao ya kijamii akieleza kuchoshwa na kile anachokiita unyanyasaji na ufuatiliaji unaoendelea dhidi yake tangu kumalizika kwa uchaguzi wa urais. Kupitia video inayosambaa mtandaoni, Brenda alisema: “Imetangazwa kwamba Tchiroma ndiye...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mch. Morwabe kutoka Kenya atoa onyo kwa Rais Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu

    https://youtu.be/zrupDG6XOqw?si=Fm1UfLmdpaNqo-7c Anasema: 1. Watanzania mwombeeni Rais wenu Samia Suluhu Hassan na serikali yake kwa ajili ya usalama wa nchi.. 2. Kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kufungia kanisa ili lisiabudu Mungu aliye hai ni jambo la hatari sawa na kucheza na waya...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump awaonya tena Hamas

    Rais wa Marekani Donald Trump ameonya kikundi cha Hamas kwamba kama wataendelea kwenda kinyume na mkubaliano basi ataruhusu IDF irudi tena kufanya mashambulizi
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Lebanon Joseph Aoun Ataka Mahusiano ya kibalozi na Israel!!

    Rais wa Lebanon Joseph Aoun anachapisha kwenye ukurasa wake rasmi maudhui ya hotuba ya Mbunge wa Lebanon Alain Aoun (mpwa wa Rais wa zamani Michel Aoun): Wakati umefika wa kumaliza mzozo na Israeli na kuelekea kwenye utulivu na ustawi
  5. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atuma salamu za pole kufuatia kifo cha Odinga

    Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa rais wa Kenya ,familia ya Odinga na wananchi wa Kenya kufuatia kifo cha waziri mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga. Kupitia taarifa ambayo rais Samia ameiweka kwenye mitandao ya kijamii...
  6. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wenje: Rais Samia alitekeleza mapendekezo ya CHADEMA lakini bado wakasusia uchaguzi

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema Rais Samia Suluhu alitekeleza mapendekezo yaliyotolewa na CHADEMA, lakini bado chama kikasusia uchaguzi. Pia Soma GE2025 - Wenje: CHADEMA kutoshiriki uchaguzi ni hofu ya kushindwa GE2025 -...
  7. Ninja

    JamiiForums Tanzania GE2025 Imfikie Rais ayafanye ili kuondoa kinachoendelea kwa wananchi

    Mheshimiwa rais, Nakusalimu kwa unyenyekevu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Mheshimiwa rais, nafupisha sana nisikupotezee muda wako adhimu. Mheshimiwa rais, yafuatayo ni mambo niliyoyatafiti na hivyo nimeona vema kukushirikisha kwa njia hii: 1. Nchi haijakushinda kama baadhi ya...
  8. Troll JF

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Maandamano, Rais atakuwa Mange Kimambi?

    Hebu muwe serious jamani prominent figure ni nani ambaye mtamkabidhi nchi baada ya mama yetu msikivu, mwenye utu na asiye na makandokando kurudi Kizimkazi?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Madagascar avunja Bunge baada ya kukimbia nchi, Upinzani wadai si halali kisheria

    Rais Andry Rajoelina anayekabiliwa na upinzani mkali nchini Madagascar ametangaza kulivunja Bunge la Taifa mara moja Hatua hiyo imekuja muda mfupi baada ya upinzani kutangaza kuwa utaanzisha mchakato wa kumng’oa madarakani kwa madai ya “kuacha wadhifa wake na kukimbia wajibu wake wa kazi”...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Indonesia anatarajiwa kuitembelea Israel Kesho!!!

    BREAKING NEWS: Rais wa Indonesia anatarajia kuitembelea Israel kesho, vyombo vya habari vya Israel vinaripoti. Natumaini hili litatokea. Wakati wa kufanya amani. 🇮🇱🇮🇩
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majaliwa: Rais Dkt. Samia yupo tayari kufanya mambo makubwa kwa wenye ulemavu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan yupo tayari kuendelea kufanya mambo makubwa kwa watu wenye ulemavu ili kukuza ustawi wa jamii hiyo kwa kuwawezesha kushiriki katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Amesema hayo Oktoba 11, 2025 wakati wa hafla ya kupokea...
  12. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Salome Makamba asema waliotaka kushindana na Rais Samia wameishia kutekwa

    Wakuu nimekutana na hii video lakini ni kama kilichoandikwa ni tofauti na kinachozungumzwa.
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani kulihutubia Bunge la Israel Khenesst

    Spika wa bunge la Israel Knesset amemwalika rasmi rais Trump kuhutubia bunge la Knesset. "Ni heshima yangu kuu na pendeleo kubwa kualika rasmi rafiki mkubwa na mshirika wa Wayahudi katika historia ya kisasa."
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanafamilia ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipozuru katika Kijiji cha Mwitongo Butiama Mkoani Mara...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Maelfu wamuunga mkono mpinzani wa Rais Paul Biya wa Cameroon

    Maelfu ya watu wamekusanyika katika jiji la Maroua, kaskazini mwa Cameroon, kumuunga mkono mgombea wa upinzani Issa Tchiroma Bakary, siku chache kabla ya uchaguzi wa urais utakaofanyika Oktoba 12, 2025 Hii inajiri wakati Rais Paul Biya , mwenye umri wa miaka 92, anatafuta kuendeleza utawala...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania MUGABE: Mfungwa aliyekuwa Rais msomi kuliko marais wote duniani

    Inaelezwa kuwa alikuwa ndiye Rais aliyekuwa na elimu kubwa kuwazidi Marais wote duniani alikuwa ni Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Mugabe alizaliwa 21 February 1924 kule Kutama, Southern Rhodesia (Zimbabwe) miezi michache baada ya Southern Rhodesia kuwa koloni la Uingereza. Watu wake...
  17. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Rais wa Malawi aliyechaguliwa hatomaliza miaka yake mitano

    Uchaguzi wa Malawi uliofanyika na Malawi kupata Rais wa kuongoza nchi ya Malawi. Rais wa Malawi aliyechaguliwa hatomaliza miaka yake mitano ijayo ataondoshwa. Huu ni uhakika wa 100% ataondoshwa baada ya muda mfupi na serikali nzima itavunjwa huu sio utabiri ni uhakika wa 100%.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Madaktari waunga maandamano ya Gen Z Madagascar, Rais aitisha mazungumzo baada ya kupewa muda wa saa 48 na Waandamanaji kuitikisa nchi nzima

    Waandamanaji waliendelea kujitokeza mitaani nchini Madagascar Oktoba 7, 2025, siku moja baada ya Rais Andry Rajoelina kumteua waziri mkuu mpya Jenerali wa Jeshi, katika juhudi za kupunguza mzozo unaoendelea. Katika mji mkuu Antananarivo, hasira zimeenea hadi sekta ya afya, ambapo mamia ya...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Duniani kote, hakuna Rais aliyewahi kuongoza salama Jeshi lililogawanyika. Na Jeshi ni askari wa chini wenye uchungu na nchi yao na Wananchi

    Kwa wana CCM wote Kwa machawa wote Kwa Bi Samia na familia yake Ujumbe kwenu leo ni huu. Na Jeshi ni askari wa vyeo vya chini. Askari wanaojua na kuelewa vizuri maana ya Kiapo cha Kuwalinda Wananchi na kulifia Taifa.
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli watu wameuchukia utawala wa rais Samia kiasi cha kuombea mapinduzi?

    Watu wengi wanaamini kuwa yule ni Kapteni wa JWTZ. Alichokisema kwa ujumla ndio malalamiko ya watu kila siku mitaani. Ufisadi, famiilia za wanaCCM wachache kuiba na kutafuna mali za umma. Je, ni kweli watanzania wanahitaji mapinduzi ya kijeshi?
Back
Top Bottom