Kwa Hamas ndiyo basi tena hawana jipya kipigo walichokipata ndicho kilicho wasababisha wawaachie mateka wote maana kipigo hicho kilikuwa hakivumiliki hata kidogo.Tunajua huu ni mchezo siku zote hakuna mkataba na kafiri, Hamas walibet Sana kuachia mateka wote Kwa pamoja hao jamaa ni janja janja hawaaminiki, Kama waliwashambulia viongozi ambao wanajadili ceasefire iweje muwaamini? Sasa hii itakua vita ngumu kweli kweli lakini hawawezi kupata ushindi ila itakua pasua Kwa hamas kichwa kwasababu hawana leverage
Huwezi kumshinda Hamas Hata upigane miaka 20 mfululizo, na Trump kasema amewapa kila aina ya silaha lakini tunnel zote Bado zipo na zitarekebishwa upya kwaajili ya ngwe ijayo Hamas Bado wapo na Wana silaha na hazitaisha kubali ukatae Hamas huwezi kumfuta Kuna siku nilikwambia hapa hapa mateka watarudi Kwa makaratasi na vita itaisha Kwa makaratasi sio Kwa mabomu. Msamiati wa kusarenda wanao makafiri ila sio watu w imaniKwa Hamas ndiyo basi tena hawana jipya kipigo walichokipata ndicho kilicho wasababisha wawaachie mateka wote maana kipigo hicho kilikuwa hakivumiliki hata kidogo.
Hata kwa Magaidi wa Hezboullah mlikuwa mnawaramba matako hovihovi lakini sasa mmenyamaza kimya kama hamuwajuo vile!!Huwezi kumshinda Hamas Hata upigane miaka 20 mfululizo, na Trump kasema amewapa kila aina ya silaha lakini tunnel zote Bado zipo na zitarekebishwa upya kwaajili ya ngwe ijayo Hamas Bado wapo na Wana silaha na hazitaisha kubali ukatae Hamas huwezi kumfuta Kuna siku nilikwambia hapa hapa mateka watarudi Kwa makaratasi na vita itaisha Kwa makaratasi sio Kwa mabomu. Msamiati wa kusarenda wanao makafiri ila sio watu w imani
Hahaha wakiwashiwa moto mnaanza free Palestine na hapa unakiri Kuna tunnelsHuwezi kumshinda Hamas Hata upigane miaka 20 mfululizo, na Trump kasema amewapa kila aina ya silaha lakini tunnel zote Bado zipo na zitarekebishwa upya kwaajili ya ngwe ijayo Hamas Bado wapo na Wana silaha na hazitaisha kubali ukatae Hamas huwezi kumfuta Kuna siku nilikwambia hapa hapa mateka watarudi Kwa makaratasi na vita itaisha Kwa makaratasi sio Kwa mabomu. Msamiati wa kusarenda wanao makafiri ila sio watu w imani