rais

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri sasa tunakwenda kwenye kampeni za ama tupige kura au lah sio Rais na Wabunge tena

    Kwa hali ya mambo ilipofikia uchaguzi wa mwaka huu ni KUPIGA KURA AU KUBAKI NAYO ndio kampeni kubwa ya mwaka huu. Sio kampeni za Rais na Wabunge tena. Naikumbusha Dola kuwa kama nchi tumeshatumia rasilimali nyingi sana kujenga uwezo na mifumo ya uchaguzi tusikubali hasara ya kurudi nyuma na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole asema kuna mtu alitumwa kupiga simu kulazimisha wanaomtaka awe Rais 2020, walishindwa. Ni nani huyo?

    Polepole anasema kwa uchaguzi 2020 kundi la mtandao lilikuwa na mgombea wao, walikuwa wanamtaka Shamsi Nyahoza. Wakati kamati kuu wote walisema hawana mgombea, siku ya jioni kuna mtu alikuwa anapiga simu, binti, alikuwa anapiga simu akitaka mgombea wa zanzibar aliyemtaka yeye na aliyemtuma...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kelele zote hizi Bado Mh Rais, sisi raia tunatekwa?hivi utatwambia Nini kwenye kampeni?

    Mh Rais Leo Kuna habari mitandaoni Kuna kijana kutoka mkoa wa geita mwimba nyimbo za injili ametekwa baada ya kutoa nyimbo iliyowauzi nyinyi watawala Je Mh Rais Hawa watanzania unao IKULU?
  4. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia ameomba CHAN iwachukulie hatua Kenya kwa kununua tiketi uwanja wa mkapa

  5. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania KURA HURU: Mgombea yupi ungetamani awe Rais wa Tanzania 2025 - 2035

    ANGALIZO: Kura hizi ni Huru na hazihusishi Mchakato wa Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 nchini Tanzania. Hivyo Wagombea wanaowekwa hapa wengine hawajatangaza nia wazi kuwa watashiriki na wengine wapo katika mchakato. Wewe kama mchangiaji huru piga Kura yako kuchagua Rais unayemtaka.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Majasusi wa Urusi wamkabidhi beji maalumu Rais Traore , huku wakitoa mienendo mibaya ya Marais karibu Asilimia 90 WA afrika hawafai kubebwa na Urusi.

    Ripoti za Siri zimevuja Cremlin kumewaka Moto, majasusi wanadai Marais wengi WA afrika ni vibaraka wanaotumiwa kuiba rasilimali za nchi zao kwa manufaa ya magharibi. Majasusi wanasema viongozi wengi WA afrika Wana uraia Pacha hasa WA ulaya , Oman, Dubai, America, na wengi wanamiliki majumba...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Polepole: Mamlaka ya Juu( Rais) ilipiga simu Moja tu, Rostam akapewa Mgodi wa Makaa ya Mawe

    Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?. Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'. Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO Ama...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania RC Mhe. Mwanamvua Mrindoko: Hii ndio Picha ya Rais Samia Mkoa wa Katavi

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Hoza Mrindoko amesema kuwa Mkoa umefanikiwa kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa barabara kuu na za ndani (km 526.85), madaraja mawili ya Kavuu na Msadya, shule mpya 129, shule maalumu mbili, vyuo vya VETA viwili, miradi ya maji 28...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania RC Mwanamvua Hoza Mrindoko: Kipindi cha Rais Samia Katavi tunazalisha maziwa Lita milioni 23 kutoka Lita milioni 19 za 2021

    Sekta Kipengele / Mradi Kiasi / Idadi Mafanikio / Maelezo Mifugo Milipuko ya magonjwa ya wanyama 72% (2021) → 15% (2025) Kupungua kwa milipuko ya magonjwa Mifugo Viwanda vya vyakula vya mifugo Viwanda 2 Kuweka mazingira wezeshi ya uchakataji na kuanzisha viwanda vya maziwa (MSS...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania RC KATAVI: Rais Samia amekarabati Reli ya MG kutoka Tabora -Katavi kilometa 210 kwa shilingi bilioni 379.40

    ==Ndugu Wananchi, katika kipindi cha miaka mitano, sekta ya usafiri wa anga na reli katika Mkoa wa Katavi imeimarika ambapo Mkoa ulipokea Shilingi 1,444,617,687.63 (Bilioni 1.444) kwa ajili ya ujenzi wa jengo la utawala na abiria la kipekee ambalo tayari limekamilika na linatumika, huku huduma...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Samia aiwasha KATAVI

    Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mrindoko, amesema Mkoa umeunganishwa na Gridi ya Taifa ya Umeme na umewashwa umeme katika Wilaya za Mlele, Nsimbo, na Tanganyika, mradi ukiwa na gharama ya Shilingi 116 Bilioni, ukiwahusisha ujenzi wa njia ya 132KV kutoka Tabora hadi Katavi...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Nini kimewapumbaza Watanzania hadi wakaamini kwamba Rais Samia atasikiliza maoni, ushauri na malalamiko yao!?

    Katika kipindi hiki cha utawala wa Samia, ushauri kwake umekuwa mwingi mno na matarajio kwa wananchi yamekuwa makubwa sana. Wengi wamekuwa wakiamini atabadilika: mara “Mama rekebisha hili,” mara “Mama sikiliza hili,” mara “Usiwategemee washauri wako wanakupotosha,” mara “Mama, jichunguze vizuri...
  13. PLOII

    JamiiForums Tanzania Rais wetu kipenzi hujachelewa, rekebisha eneo hili maana hakuna aliyetoka salama

    Habari za Jioni Wadau, Niende kwenye Mada. Binafsi leo naandika thread hii nikiwa na huzuni sana tena sana. Najiuliza maswali mengi kwa hali ilivyo hapa Nchini. Rais alipopata nafasi ya kuongoza nilipata amani na matarajio kuwa ni wakati wa Watanzania kuishi kwa furaha kwenye nchi yao. Hii...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel Itamar Ben Gvir Asema Rais wa Syria Al Jolan auwawe!

    Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel Itamar Ben Gvir atoa wito wa kuangamizwa kwa Rais wa Syria, Ahmad al-Sharaa, akimwita mpiganaji wa jihadi: "Yeyote anayeua, kukata masharubu, kudhalilisha, na kubaka hapaswi kujadiliana naye, suluhisho pekee na al-Jolani ni kumuangamiza bila huruma yoyote...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Huenda Rais Samia akashinda uchaguzi kwa asilimia 97%. Watanzania walishachoka na Upinzani wa mchongo

    Nyie mnaojiita wapinzania chukueni hizi dondoo zitawasaidia sana. 1. LAZIMA MFAHAMU KWA KINA WATANZANIA SIO WAJINGA 2. MTAMBUE KABISA WATANZANIA SIO MBUMBUMBU KAMA MNAVYODHANI 3. MKUBALI KUWA WATANZANIA WALISHAWAKATAA KITAMBO 4. USHAURI WANGU, TAFUTENI KAZI ZA KUFANYA KAZI SIO LAZIMA SIASA TU...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Rais ni taasisi, tuheshimu ofisi ya urais

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, sio lazima apendwe na kila mtu — hiyo ni kawaida katika uongozi. Lakini ni LAZIMA aheshimiwe na kila raia bila kujali tofauti za kisiasa, kiimani au mitazamo ya kijamii. Kuongezeka kwa lugha za matusi, kejeli na dhihaka dhidi ya...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Je Hadi Sasa Mungu hajamtumia mtumishi wake yeyote kuongea na Rais au anakubaliana na Ushwari wa kitaifa?

    Rais ni mtumishi wa Mungu anayetumika katika kitengo cha kutawala watu kiserikali. Kwa mujibu wa ISAYA 49, watumishi wa Mungu wa KIROHO ni walezi wa wafalme na mamalikia na marais. Kama Kuna chochote kisichofaa, ili kuepusha MADHARA ya baadae atatumwa mtumishi hata kutoka nje ya nchi ili kumpa...
  18. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa rais Samia kwa Wananchi wa Kisesa

    1. Luhaga Mpina atapewa kazi maalumu (kazi hiyo ni kuwahadaa watu kupitia ACT Wazalendo) 2. Luhaga mpina atakuwa mbunge wataifa (baada ya uchaguzi amepanga kumpa nafasi 1 kati ya zile 10 za rais bungeni) Mwisho wa igizo.
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nani anaongoza nchi wakati huu wa Uchaguzi ukizingatia kuwa Rais naye anagombea?

    Nimeuliza swali hili baada ya kumuona waziri mkuu Majaliwa kwenye shughuli kadha wa kadha za serikali kama vile kukagua Mwendokasi na SGR huku akiambatana na Rais wa Burundi. Wakati fulani ilikuwa inasemwa kuwa wakati wa uchaguzi nchi huwa inakuwa chini ya Jaji Mkuu lakini baadae kukawa na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wananchi wa Tabora wakataa kupokea mwenge ulionakshiwa na picha ya Rais Samia

    Huko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais Hii inaleta maana gani kwa Wananchi kuanza kukataa jambo la kitaifa, sababu tu linafungamanishwa na siasa za ccm? Ni kwamba, Rais hakubaliki sasa...! Ama wanataka kuona...
Back
Top Bottom