rais

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia anarudisha Fomu ya Uchaguzi Mkuu muda huu Agosti 27, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Z2GEtzscmaY https://www.youtube.com/watch?v=2cTVOqAW2xg Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akirudisha fomu ya Uchaguzi Mkuu Tanzania katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Tanzania (INEC) Dodoma, leo tarehe 27 Agosti, 2025.
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyowaapisha Viongozi wateule, Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Agosti 26, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=b3GTpUdBkQs Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma, tarehe 26 Agosti, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Khamis Mgeja ashauri hukumu ya Malisa aliyofungua kupinga Rais Samia kugombea iwe fundisho kwa CCM

    SIKU chache baada ya Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma kuifuta kesi ya Kikatiba ya Kupinga uteuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kugombea urais Oktoba 29 2025, mmoja wa makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ameibuka na kutaka kesi hiyo iwe fundisho kwa wana CCM wengine. Kada huyo wa CCM, Khamis Mgeja...
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu wanawezaje kushitakiwa/kuwajibishwa?

    Akizungumza Jumapili Agosti 24, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole alipendekeza kuwepo kwa sheria ya kuwawajibisha viongozi kwa matendo wanayofanya wawapo madarakani. Je, sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu viongozi wa juu akiwamo Rais wa Jamhuri ya Muungano, Makamu wa...
  5. kaputula

    JamiiForums Tanzania Wanasema kuna mtu alipeleka maneno ya uongo eti Ummy kasikika anamsengenya Mama

    Kwa asili wanawake wanasengenya na ni wambea haijalishi ni rais. Ukimsengenya rais au akipelekewa umbea kwa rais basi kama ni mteule wake ujue ndio mwisho wako. Nimesema hivyo maana kuna mtendaji mzuri kama Ummy Mwalimu ametemwa uwaziri na sasa amepigwa pin asigombee ubunge. Sio Tanga mjini tu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tuitaadhari nchi yetu na udini, baadhi ya maaskofu wanaonesha hasira kwa kukosa Rais au Mstaafu wa upande wao, wanaeneza mgawanyiko na chuki nchini

    Hoja hii hailengi kuamsha chuki dhidi ya imani yoyote, bali kutahadharisha kuhusu hatari ya kuingiza udini kwenye siasa. Tanzania ni ya wote bila kujali dini, dhehebu, kabila au historia. Kwa miaka mingi walikuwa na "access pass" ya moja kwa moja hadi juu kabisa ya mamlaka. Walizoea kumuona...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Nyerere: Tunapoongea kuhusu Tanzania na uhuru wake

    Inavyoonekana ni kwamba washirika wakubwa wa Mwalimu Nyerere katika harakati za kudai uhuru wa nchi hii walikuwa watu waliovaa balaghashia. Huenda hii ndiyo sababu ya Mwalimu Nyerere kuzoea kuvaa kofia aina hiyo muda mwingi. Pia haishangazi kuona Mwalimu Nyerere kuamua Kiswahili kiwe lugha ya...
  8. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Doyo: Nikiwa Rais nitalipwa milioni 6 kwa mwezi, wabunge watalipwa milioni 4 tu

    “Nikiwa Rais wa Nchi hii watu watakimbia fomu za Ubunge maana nitwalipa mshahara mdogo wa Milioni 4 Kwa Mwezi, na mimi kaka Rais nitalipwa Milioni 6” Doyo Hassan Doyo - Mgombea Urais - NLD
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Makamu wa Rais wa JICA

    Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amefanya mazungumzo na Bw. Ando Naoki, Makamu wa Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) pembezoni mwa Mkutano wa Tisa wa TICAD uliofanyika jijini Yokohama. Mheshimiwa Waziri Kombo...
  10. Ahmed Omar_

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Rais Hussein Mwinyi amesaliti maridhiano na umoja wa kitaifa Zanzibar?

    https://www.youtube.com/watch?v=MCNhPjrsMLA&t=87s
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Maaskofu wa TEC kuomba NOVENA na Rais kukimbilia kikao cha Maimam ni kuligawa Taifa kidini

    Umoja wetu ni TUNU ya Taifa letu. Maaskofu na Watanzania wana hoja katika swala zima la kudai haki. Badala ya Rais na serikali yake kuwasikiliza ili kulinda Umoja wetu yeye ameamua kutugawa kwa kukimbilia kuongea na Maimam. Je anataka tufarakane kidini? Je maimam wanaunga mkono watu kutekwa...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anasemaje kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa Mtandao?

    Tumemsikia rais Samia akionya kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa nje. Kauli hii ni pana na kubwa mno katika diplomasia ya kisiasa. Rais Samia anajibu gani kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa Wanamtandao? Tunawaona Tunawajua Hawajifichi. Atupe majibu maana...
  13. fact only

    JamiiForums Tanzania Njoo na hoja nani unaona anamzidi Rais Samia

    Habari Wakuu. Kwasasa kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu nani/namna/hali/uelekeo wa nchi yetu ya Tanzania. Mimi Fact Only nauliza kwa uzuri kabisa ni nani Watanzania mnaamini/mnaona akipewa nchi hii anaweza kuiongoza vyema kumzidi Mh Rais Samia. Sio kwa majaribio bali kuiongoza nchi hii...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Kongamano la Amani, leo Agosti 24, 2025

    https://www.youtube.com/live/YJTPFaK3cVM?si=iZMZR7wQq3I2HsEA
  15. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Je hapa ccm haijamwaga OIL? AU MPAKA ABADILISHWE RAIS NDO KUMWAGA OIL?POLEPOLE NIJIBU.

    Ccm imebadili Katibu mkuu, imebadili Katibu MWENYEZI, imebadili Makamu Mwenyekiti Bara Je Bado haijamwaga oili mpaka ABADILISHWE Samia ndo.kumwagwa kwa oil kumefanyika Sawa sawa? Pole pole nijibu
  16. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Kama January Makamba amekatwa na Freid Lowassa maana yake 2030 Ridhiwani Kikwete ndo anaweza kuwa Rais

    Kitendo cha kumkata Freid Lowassa ndo njia Rais ya kumuingiza RK jengo jeupe . Kiufupi 2030 Rais ni RK.
  17. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Rais Kim Jung Un amewatunuku askari waliorudi salama na kutoa pole kwa familia za waliofia kwenye vita jimbo la Kursk-Urusi

    Rais Kim Jung Un amewatunuku askari waliorudi salama na kutoa pole kwa familia za waliofia kwenye vita jimbo la Kursk Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, amewapongeza na kuwatunuku askari wa Korea Kaskazini waliorejea salama kutoka vitani katika mkoa wa Kursk, Urusi, ambapo walishiriki...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameipandisha hadhi Halmashauri ya Bagamoyo kuwa mji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, 𝐌𝐡𝐞. 𝐌𝐨𝐡𝐚𝐦𝐞𝐝 𝐌𝐜𝐡𝐞𝐧𝐠𝐞𝐫𝐰𝐚, akiwa katika ziara yake Wilayani Bagamoyo, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 𝐌𝐡𝐞. 𝐒𝐚𝐦𝐢𝐚 𝐒𝐮𝐥𝐮𝐡𝐮 𝐇𝐚𝐬𝐬𝐚𝐧, ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na kuwa Halmashauri ya Mji wa...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa rais Samia asisubiri hadi alazimike kufanya maridhiano ya mapya na vyama vya upinzan juu ya madai ya msingi kuhusu uchaguzi mkuu.

    Hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa tete huku watu wengi zaidi wakiendelea kukosa imani na mchakato wa uchaguzi kila kukicha. Kiufupi Polepole ambaye ni kada wa ndani wa CCM emeendelea kuwafungua macho watanzania huku shauku ya kumsikiliza ikizidi kukua kila pahali. Komredi Polepole...
  20. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Tuseme ndio umekuwa rais, na unataka kuwa fair square!, ni hatua gani utazifanya kuboost uchumi wa wananchi wa kawaida angalau hata kwa asilimia 35%

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Back
Top Bottom