Ndugu Zangu Wanajukwaa!
Mimi si mtaalamu wa magari kabisa, nimeona Range Rover hizi nyeusi, ndefu katika misafara ya Rais Samia Suluhu Hassan hasa baada ya kuapishwa kwake.
Nimejaribu "ku-Google" (gugo huko!) na nimejifunza mambo machache. Ninaomba mnisaidie kufafanua kwa wale wenye ufahamu...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua tena Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kuwa MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR.
Uteuzi huo unaanza tarehe 06 Novemba, 2025.
Mheshimiwa Makamu wa Pili wa Rais ataapishwa...
Rais : Wandamanaji walikuwa raia wa kigeni.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali : Mange Kimambi ndo aliwachochea Watanzania mpaka wakaingia barabarani kuandamana.
Sasa kati ya hawa tumuamini yupi?
ukio lisilotarajiwa limezua gumzo nchini Mexico baada ya video kusambaa ikimuonyesha mwanamume mmoja akijaribu kumbusu Rais wa Mexico, Claudia Sheinbaum, alipokuwa akitembea katikati ya umati jijini Mexico City. Sheinbaum, ambaye ni rais wa kwanza mwanamke katika historia ya taifa hilo, alikuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Ameongoza kwa...
Asilaumiwe Rais kitakachowakomboa waTZ ni mapambano ya mafichoni dhidi ya mafisadi na viongozi wabovu siyo mitandao ya kijamii,wanaharakati au wanasiasa kwani hawa ndiyo wanaopanga kila leo kubaki madarakani.
Kufuatia Tangazo la Rais la kuitisha Bunge lililotolewa kwenye Gazeti la Serikali, Toleo Maalum Na. 11 (Special Supplement) la tarehe 4 Novemba, 2025 Tangazo Na. 647A Wabunge Wateule wote wanafahamishwa kwamba shughuli za usajili na taratibu nyingine za kiutawala zitafanyika Ofisi ya Bunge...
Mheshimiwa Rais, ninatambua mpango huu ULIKUWA na nia nzuri, nia thabiti na njema ya kuwapeleka vijana wetu jkt kwa mujibu wa SHERIA na huko wamefunzwa ukakamavu na uzalendo kwa nchi yao.
Mheshimiwa Rais natambua pia serikali inawapeleka vijana kule ikiwa ni njia mojawapo ya kujilinda na kuwa...
Kwako Rais wa JMT,
Dkt. Samia Suluhu Hassan,
Awali ya yote natanguliza shukrani kwa Mwenyezi Mungu kutujalia afya njema na kutoa pole nyingi kwa wote waliopoteza Ndugu, jamaa na marafiki kutokana na maandamano. Mwenyeji Mungu aendelee kulijalia amani ya kutosha.
Ni heshima kubwa kukufishia...
Jana nimeona Rais Samia akiondoka na magari aina ya Range Rover mara baada ya kiapo.
Wajuzi wa mambo mje mtujuze yale magari ni Range Rover aina gani na sifa zake ni zipi?
Najuwa kuwa ni mkwe wako na una msifu kuwa ana kifua kikubwa lakini uwezo wake kiakili (IQ) ni mdogo.
Mwaka jana alitumia mbinu zile zile za Magufuli za mwaka 2019 kuharibu uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Na huo uchaguzi ndiyo uliozaa No Reforms No Elections. Kama CHADEMA wangetendewa haki basi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa nyaraka za kazi kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka mara baada ya kuwasili katika Ofisi yake Ikulu Chamwino, akiwa tayari kuanza rasmi majukumu yake baada ya kuapishwa.
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwahakikishieni ya kuwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya...
Kama anathubutu kusema walio andamana ni watu kutoka nje ya nchi kwa maana hiyo kazi ya kulinda taifa imemshinda, kama watu zaidi ya millions walio andamana mikoa yote sio watanzania je wameingia kwa njia gani hapa tanzania
Pia ametumia njia gani kugundua kuwa sio watanzania na anchukua hatua...
Tangazo kwa umma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Hamza Saidi Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Bw. Hamza Saidi Johari ataapishwa kesho kutwa Jumatano tarehe 5 Novemba, 2025 saa 4:00 asubuhi Ikulu Chamwino, Dodoma.
Imetolewa na...
Mochwari zimejaa maiti za Watanzania ambao wamekufa kutokana na uchaguzi ambao wao waliamini hufai kuwa kiongozi wao.
Wanalalamika mitaani kuwa wewe na Familia ya Kikwete na wenzako Kama Angela Kiziga ndio mnanufaika na kodi za taifa hili.
Utawahudumia nini hawa Watanzania ambao ndugu zao...
1. Waziri wa Elimu anastahili kuendelea.
2. Waziri wa Maji anastahili kuendelea.
3. Waziri wa Kilimo anastahili kuendelea.
4. Waziri wa Tamisemi anastahili kuendelea.
5. Waziri wa Jinsia anastahili kuendelea.
6. Waziri wa Fedha anastahili kuendelea.
7. Waziri wa Mambo ya ndani anastahili...
Huyu rais wa Zambia aliyeingia madarakani kama mwanademokrasia wa mfano kwa nini sasa hivi amebadilika sana na kuwa mtu asiyejali tena demokrasia wala haki?!
Kuna wakati alikataa hata kwenda kwenye uapisho wa Mugabe kwa sababu uchaguzi uliibwa na haukuwa wa demokrasia ila kwa sasa anawaona...
Ndiyo, wewe hapo kwenye hiyo picha.
Wewe siyo rais.
Hujashinda uchaguzi wowote ule na unalijua hilo na kila mtu analijua hilo.
Hujapigiwa kura na watu milioni 31.
Hujapata 97.6% ya kura zilizopigwa kwa sababu hakuna kura zilizopigwa.
Hilo unalijua kabisa hata ujikaushe namna gani.
Huna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.