rais

  1. Freddie Matuja

    JamiiForums Tanzania Achunguzi ufanywe kwa Rais Magufuli au kwa Serikali ya awamu ya tano?

    Waslaam wakubwa Naomba nianze na swali la msingi ambalo limekuwa sehemu ya mjadala. JSerikali ya awamu ya Tano ni nini au ni nani? Swali la serikali ni nini? bila shaka huu ni mfumo wa utawala wa pamoja, mfumo wa kitaasisi ambapo kiongozi akishirikiana na wenzake wengi kuunda serikali. Awamu...
  2. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ahitimisha ziara yake Misri leo na anarejea na Air Tanzania

    Nimeangalia muda huu live coverage mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan amehitimisha ziara yake nchini Misri. Kilichonifurahisha kumbe this time mama amekwenda na air Tanzania, angalau hii mindege ifanye kazi zilizokusudiwa badala ya kupaki tu pale kipawa. Ni hayo tu.
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ziara ya siku 3 Nchini Misri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 10 Novemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo nchini Misri kwa Ziara ya Kiserikali ya siku tatu. Ziara hiyo ya Kiserikali ya siku tatu inafuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Abdel Fattah Al Sisi...
  4. Hamduni

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Misri ni kete muhimu kwenye Diplomasia ya Uchumi Tanzania

    MISRI NI KETE MUHIMU KWENYE DIPLOMASIA YA UCHUMI TANZANIA Uhuru Na Umoja Ukitaka kwenda upesi nenda peke yako, lakini ukitaka kwenda mbali nenda na wenzako, msemo huu wa wahenga ndiyo unaoongoza falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan katika mahusiano na mataifa mengine duniani. Ziara ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye hamasa ya Tsh 1.4 Bilioni ya Serikali ya Rais Samia kwa Taifa Stars yafanikisha waende tu kutalii na Bombardier Madagascar wikiendi hii

    Tanzania ndio kwaheri World Cup 2022 atakaye songa mbele kwenye hili kundi ataamuliwa Kinshasa siku ya jumapili kati ya Congo DR na Benin. Atakayeshinda mechi hiyo ndio ataenda kwenye playoff na wakitoka sare Benin itafuzu kwenda playoff. Mechi ya Tanzania na Madagascar itakuwa ya kukamilisha...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi azindua kiwanda cha Zanzibar Handmade Cosmetics

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi Akikata Utepe Kuzindua Kiwanda cha Zanziba Handmade Cosmetics. Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi aliongozana na mke wake 1st Lady Mariam Mwinyi Pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, Zanzibar. Rais wa...
  7. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kwa nia njema kabisa, Rais Samia mfute kazi Waziri Makamba

    Samia,una habari Nchi ipo gizani? Hivi unatambua umeme ni bidhaa adhimu mno Tanzania kote kwa sasa? Una habari unapo kuwa kule batani ambapo sasa ndipo ulipopapenda wenzako huku wanajipigia tu pesa kwa kuainisha vi projects fulani fulani? Natambua utakuwa nje ya Nchi zaidi katika Utawala wako...
  8. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Stars iliyolipwa posho zote na Rais Samia imefungwa, Tujipange zaidi

    Cousin yangu anayechezea timu ya Taifa, alinieleza kwamba juzi baada ya kutembelewa na Waziri Mkuu, walilipwa posho zao zote ikiwemo malimbikizo ya nyuma. Posho ambazo walikuwa hawajalipwa zilikuwa zinashusha Morali kwenye kambi, lakini Waziri Mkuu aliyeagizwa na Rais Samia Suluhu kuitembelea...
  9. Stroke

    JamiiForums Tanzania Hakuna Taifa lililoendelea kwa ziara za Rais Nje ya Nchi

    Naunga mkono jitihada za kuifungua nchi, ila sikubaliani na approach inayotumika katika kufanya hivyo. Ni kweli tunahitaji wawekezaji , ni kweli tunahitaji ajira lakini namna tunavyowatafuta na kushirikiana nao sioni hiyo faida inayosemekena itapatikana. Tunaweka mazingira mazuri ya uwekezaji...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi "Rais kafanya" au "Serikali imefanya"?

    Maneno haya yanamaana sawa kimantiki " Rais kafanya X " " Serikali imefanya Y " au " " Tumefanya Z " tumia lolote utakuwa sahihi tu. Kunabaadhi ya wenzetu wameishiwa hoja hasa huku mitandaoni kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakipinga kwa nguvu zote kutumika kwa sentesi " Rais X kafanya...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TANZIA FW de Klerk, rais wa zamani wa Afrika Kusini na mzungu wa mwisho kuiongoza nchi hiyo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85

    FW de Klerk, rais wa zamani wa Afrika Kusini na mzungu wa mwisho kuiongoza nchi hiyo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85. Bw de Klerk, ambaye pia alikuwa mhusika mkuu katika kipindi cha mpito cha taifa kuelekea demokrasia, alikuwa amepatikana na saratani mwaka huu, kulinagana na...
  12. Mohamed Ismail

    JamiiForums Tanzania Mama Yetu, Rais wetu

    Anaandika: Mohamed Ismail Rwabukoba Mbona hasemi, mbona haongei au wanataka tuamini huo nao ni ukorofi? La hasha huo siyo ukorofi bali samaki ana mengi ya kuzungumza ila akifungua kinywa chake itabaki ni historia. Ilishasemwa ya Ngoswe tumuachie Ngoswe mwenyewe. Mama anaupiga mwingi ni maneno...
  13. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefuta Tozo

    Bunge limepokea muswada kutoka kwa Rais Samia Suluhu unaopendekeza kufutwa kwa Sheria ya Tozo ya Kodi ya Mazao iliyokuwa ikitoza kodi ya zuio ya 2% mwananchi akiuza mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi. Tozo hiyo ikiondolewa, fedha zitarudi mifukoni mwa wananchi. Hongera na Asante Rais Samia kwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni ghali kuliko nje

    Gharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu, Kipindi flani niliwahi kuhesabu magari ya msafara wa Rais wa JMT sina kumbukumbu sahihi ila yalizidi magari 40 mengi yakiwa...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Ijue nchi ya Misri

    Jiografia Misri imepakana na Bahari ya Mediteranea, Israel, Eneo la mamlaka ya Palestina, ghuba ya Suez, ghuba ya Aqaba, Bahari ya Shamu, Sudan na Libya. Umbo la nchi hufanana na trapeza. Tabianchi ni yabisi sana na maeneo makubwa ni jangwa, pamoja na oasisi na maeneo ya savana ya miiba. Karibu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenye ziara yako huko Misri kuwa makini na ishu ya maji ya ziwa victoria

    Siku zote Misri imekuwa ikidai kuwa ina haki na maji ya mto na nile na chanzo chake kuliko nchi nyingine yoyote ya ukanda wa mto nile. Misri imekuwa ikirejea mkataba wa kikoloni unaoipa Misri share kubwa ya Maji hayo kwa kudai kuwa nchi ambazo mto nile na vyanzo vyake vipo havipaswi kutumia...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Tathmini yangu fupi ya utendaji wa Marais wetu; Inaonesha Mkapa alikuwa Rais wa daraja la juu sana

    Nimejaribu kufikiria namna marais wetu wanavyoshughulikia mambo mbalimbali, kila mmoja kwa wakati na kwa namna yake ndipo napata kuelewa kwamba yule makonde alikuwa bonge la genius. Mkapa aliamini sana katika taasisi hivyo kila changamoto anayoiona alifikiria kuunda taasisi na ndio maana...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Bilioni 11 za Rais Samia zamtetemesha RC Shinyanga, afanya maamuzi magumu

    TZS Bilioni 11 za Rais Samia Suluhu zamtetemesha RC Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema, afanya maamuzi magumu Kishapu, " Hakuna kama Samia " Mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema amefanya maamuzi magumu ya kumsimamisha kazi afisa manunuzi mzembe wa Wilaya ya Kishapu Ili kupisha...
  19. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na busara ya kujua nini cha kuahidi kwa wakati gani

    Napenda namna ambavyo Rais Samia hakurupuki kwenye majibu. Mara kadhaa ameombwa vitu hadharani, hakujibu kwa mhemko kama wafanyavyo wanasiasa wasiojielewa. Mfano, watu wa Chato wamewahi kuweka ombi lao la Mkoa mara mbili hadharani. Askofu Shoo wa KKKT aliomba barabara na vitu vingine. na zipo...
  20. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewezaje kufanya haya yaliyowashinda Marais wote?

    Nipo jijini mwanza kiukweli mji unapendeza. Nimepita maeneo karibia yote makoroboi, nyasaka, nyamhongolo, buhongwa. Dah! Siamini machinga wote wamehama tena wenyewe kwa mikono Yao, wamebomoa wenyewe bila vurugu zozote. Mama Samia amewezaje ilihali watangulizi wake wote walishindwa na...
Back
Top Bottom