rais

  1. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuchochea uwekezaji na kukuza uchumi wa Tanzania

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuchochea uwekezaji na kukuza uchumi wa Tanzania. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumanne Novemba 16, 2021) wakati akifungua kongamano la biashara na uwekezaji kati ya...
  2. msovero

    JamiiForums Tanzania PART 1: Hawa hapa watu wanaomchukia na kuchukia utawala wa Rais Samia

    Katika siasa ni kawaida kabisa kila Rais anayeingia madarakani kukubalika ama kutokukubalika na makundi mbali mbali ya watu. Kadhalika, Rais anapokuwepo madarakani huwa na mema yake na madhaifu yake pia, na huu ndio msingi wa kukubalika au kutokubalika kwake kwa wananchi anaowaongoza kulingana...
  3. BigBro

    JamiiForums Tanzania Samia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania

  4. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi)

    Rais Samia amesema Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi). Ameeleza hayo katika Ufunguzi wa Kikao cha Mkuu wa Majeshi kinachofanyika Ngome ya Lugalo Ameeleza, "Kwa hulka ya Ugaidi, Mtu yeyote bila kujali Rangi, Dini, Umri, Itikadi, Kipato au Uraia anaweza kuwa mhanga wa...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Watu wa itifaki hapo Ikulu naombeni mpeni Rais wetu mapumziko sasa

    Rais wetu tunampenda sana, na kwa muda mfupi amechapa kazi sana tena iliyotukuka. Ila kama ilivyoada kwa binadamu wote, ukifanya sana kazi kuna wakati unachoka na mwili unahitaji mapumziko ya kutosha. Kuna video inasambaa kuke twitter imepostiwa kwa Maria Sarungi Ikimuonesha Rais Samia...
  6. K

    JamiiForums Tanzania General Venance Mabeyo kakosea kusimama kulia kwa Rais Samia. Mwanajeshi senior anakaa kulia kwa junior

    Hakuna siku ya furaha kama leo ambapo kwa mara ya kwanza Amiri Jeshi Mkuu wetu, Samia Suluhu amevaa magwanda ya jeshi. Binafsi kwangu nimefurahi kumuona mama na magwanda yake. Hongera mama yetu Rais Samia. Zipo porojo za wasiofahamu wanahoji kwa nini kavaa wakati Kikwete, Mkapa na Mwinyi...
  7. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Marufuku kumhusisha Rais Samia na Mahakama, hana mamlaka nayo

    Waswahili walimenya kwamba mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Huu ndiyo ukweli wenyewe kwamba Mama anajitahidi tu kusimamia kua katika utawala wake haki inatendeka. Ikitokea wewe umetuhumiwa kufanya tukio flani hiyo ni juu yako wewe, serikali inachosimamia ni kusisitiza haki itendeke...
  8. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kukuza uchumi kwa kasi kuliko kipindi cha miaka mitano iliyopita

    Kutokana na mkopo wa masharti nafuu uliotolewa na IMF wa trillion 1.3, Rasi Samia anakwenda kukusanya Kodi ya moja kwa moja waastani wa billion 234 kama VAT (18%) hadi billion 390 kama tender zitasambazwa kea Makampuni makubwa ambao watalipia corporate tax ya 30% lakini pia billion 910...
  9. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kumpangia Rais Samia someni hapa

    Nawaona kakikundi fulani wana underestimate uwezo wa Rais. Kila mara Rais akiteua wanakuja kusema JPM alimtumbua, je ni watu wangapi JPM aliwatumbua na baadae kuwarudisha ni watu wangapi ambao walilalamikiwa kuwa hawafai na kwa upendeleo wa moja kwa moja JPM aliwaacha. Rais Samia ana haki ya...
  10. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania Baraza la Madiwani Ikungi lapitisha azimio maalum la kumpongeza Rais Samia Suluhu

    Baraza la madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Singida lenye majimbo ya Singida Mashariki na Singida Magharibi na kata 26 lililohudhuriwa na DC Jerry Muro limeketi kwa mafanikio Baraza hili limepitisha "Azimio Maalumu " la kumpongeza Rais Samia baada ya kupokea Bilioni 2.6 za kujenga...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini Tanzania itapata Rais, Makamu na Waziri Mkuu wenye mtizamo na mawazo ya kibiashara?

    Tanzania inashindwa kuendelea kwa sababu ya kuweka madarakani viongozi wenye damu ya Utumishi wa umma na kushindwa kuweka mchanganyiko wa Watumishi wa umma na wafanyabiashara. Ntatoa mfano kwa awamu zote sita zilizowahi kuwepo kwenye utawala Historia ya Mwalimu alikuwa Mtumishi wa Umma kwenda...
  12. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt Mpango anasafiri kwenda Singapore leo Novemba 14

    Makamu wa Rais Dkt. @dr_philip_isdor_mpango leo 🗓Nov 14,2021 anatarajia kuondoka Nchini kuelekea Sentosa Island Nchini 🇸🇬Singapore kushiriki mkutano wa Jukwaa la Majadiliano ya Kiuchumi (Bloomberg New Economy Forum 2021 ), Wenye lengo la kujadili masuala mbalimbali ikiwemo muelekeo mpya wa...
  13. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Kuhusu umeme: Kalemani alimdanganya Rais Samia

    Gazeti la Mwananchi la Machi 16,2021, lilikuwa na habari kwamba Samia Suluhu Hassan, ambaye wakati huo alikuwa Makamu wa Rais, amesema kwamba tatizo la kukatika kwa umeme litafikia mwisho siku hiyo. Ukienda kusoma taarifa hiyo, utaona Rais Samia (akiwa Makamu wa Rais0 alisema kwamba amezungumza...
  14. Emanuel Eckson

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama - Arusha

    Kamanda wa Polisi mkoani humo, ACP Justine Masejo amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani kitaifa yatakayofanyika mkoani humo kuanzia tarehe 23.11.2021 katika Uwanja wa Shekh Amri Abeid Karume. Kamanda Masejo...
  15. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaweza kwenda Ivory Coast mwezi ujao

    Benki ya Maendeleo ya Afrika imemualika Rais Samia Suluhu kuhudhuria Jukwaa la Wawekezaji Afrika litakalotoa fursa ya kuwakutanisha na wawekezaji na kusaidia upatikanaji wa mitaji. Mualiko huo umetolewa leo na Rais wa Benki hiyo, Dkt Adesina Akinumwi alipozungumza na Rais Samia kwa njia ya simu...
  16. Mario Kempes

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia alimuondoa Meja Jenerali Mbuge kama Mkuu wa JKT?

    Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT. Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Balozi Tsere ataka Rais Samia kukaa na Wapinzani kama Kikwete ili kujadili Katiba Mpya

    Balozi mstaafu, Patrick Tsere amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kukutana na kufanya mazungumzo na wadau wanaotaka Katiba mpya ili kupata mwafaka wa kitaifa. Kauli ya Tsere, aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania nchini Malawi imekuja wakati kukiwa na harakati mbalimbali za madai ya Katiba, huku...
  18. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Charles Dunbar Rais wa 17 wa Liberia aliyeshinda Uchaguzi kwa udanganyifu wa viwango vya Juu katika historia

    Charles Dunbar Burgess King alikuwa rais wa 17 wa nchini Liberia aliyeshinda kwa kura za udanganyifu zaidi pia alikuwa mshiriki wa mkutano wa kwanza wa Pan- Africanism mwaka 1919 mambo ya muhimu yaliyojadiliwa katika mkutano huo yalikuwa ni mapambano ya waafrika dhidi ya utumwa na ukoloni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Umuhimu na Mantiki ya Rais kusindikizwa na kupokelewa na lundo la Waandamizi akisafiri na akirejea kutoka nje ya nchi

    Na je, tunapoelekea Kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru wetu Tanzania utaratibu huu bado una Tija ya Kimaendeleo Kwetu au ni Utaratibu wa Kikoloni ambao kwa sasa unatufanya tuendelee kuonekana Mazuzu Kimataifa? KEROZENE nasubiri tu Michango yenu.
  20. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Bosi wa benki ya dunia kuja kuonana na Rais Samia

    Bosi wa Benki ya Dunia (Managing Director of Development and Partenership), Raia wa Indonesia, Maria Pangestu, anatarajiwa kuja #Tanzania wiki ijayo. Ni katika jitihada za Rais Samia Suluhu kutuimarisha kidiplomasia. Rais Samia anafanya kazi nzuri sana katika eneo la Diplomasia ambalo bila...
Back
Top Bottom