rais

  1. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania Rais hapaswi kufanya kazi za kawaida za Rais akiwa nje ya nchi

    Nimeona Chifu Hangaya (akiwa Glasgow, Scotland) amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa NDC. Huu ni ukiukaji wa Katiba yetu. Kwa mujibu wa Ibara ya 47(1)(c) ya Katiba yetu, Makamu wa Rais atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi. Na kwa mujibu wa Ibara ya 37(6)(b) ya...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hata kwenye Katiba inayotubana kuna viongozi wenye nafuu, sijaona mbadala wa Rais Samia

    Yes, ni kweli katiba yetu imepitwa na wakati na imebana sana uhuru wa kisiasa, Lakini katika maisha haya ya Watanzania licha ya hiyo katiba sijaona kiongozi mwenye nafuu kuzidi Raisi wetu. Hebu naomba ukumbuke tu kile kipindi cha magufuli yani katiba ilitumika ndivyo sivyo, uhuru wa kujieleza...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ahutubia mkutano wa tabia nchi, asema 30% ya pato la Taifa sio endelevu

    Leo Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amehutubia mkutano wa Tabia nchi unaofanyika Scotland, katika hotuba yake fupi na kuongelea Tanzania ilivyoathirika na mabadiliko ya tabia nchi ikiwemo kuongezeka kwa kina cha bahari na kutafuna ardhi yenye rutuba, kuyeyuka kwa barafu ya mlima Kilimanjaro pia...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Huu ni utoto na ushamba. Hizi propaganda za uongo zinamsaidia nini Rais Samia?

    Inasikitisha sana kuna machawa pro max wa kiwango cha dunia, alivyokuwa new york wali edit screens za matangazo za Times Square, cha ajabu nini hadi mu edit? Si hela ilipwe tu tangazo liruke kwenye zile screens Ali Kiba, Diamond, Zuchu matangazo ya albamu zao yasharuka sana Sasa kubwa zaidi...
  5. ABC ZA 2025

    JamiiForums Tanzania Daraja Korofi la tangu Uhuru la Fundimbaga -Tabora mita 45 kwa muda mchache liko tayari

    Rais Samia Suluhu kwa kutumia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA, Huu ni muonekano wa Daraja jipya la Fundimbaga lenye urefu wa mita 45 katika barabara ya Tabora - Fundimbaga, Daraja hili linalounganisha kata za Matemanga na Marumba Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

    === Wananzengo anayejua maana ya arrangement hii kwenye hii COP26 Glasgow Scotland iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania pembeni ya Rais Joe Biden wa Marekani, === <Mkao huu kiprotokali unamaanisha nini?>
  7. B

    JamiiForums Tanzania Heshima aliyopewa Kanali Ali Mahfoudh wa Zanzibar na Rais Samora Machel

    30 October 2021 Part 1: Bi Naila Majid Jidawi mwenye umri wa miaka 77, anasimulia kuhusu mumewe, Marehemu, Kanali Ali Mahfoudh, aliyezaliwa na kukulia Zanzibar, akapata mafunzo ya kijeshi Cuba na akawa miongoni mwa walioshiriki kuipindua serikali ya uhuru ya Zanzibar mwaka 1964, lakini...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Rais mtaafu Kikwete akitoa ushauri wa jinsi ya kuongoza nchi atatoa ushauri huu?

    Wakati wa uongozi wake aliwahi sema kuwa watu wasimuandame kuwa anasafiri sana. Alisema kuwa huko watu wanapesa sana hivyo ni muhimu atoke akahemee. So kama JK akiombwa ushauri wa kuongoza nchi bila shaka ushauri wa kutoka na kuomba kwa kila anayeonekana ana pesa utakuwa ni wa kwanza kabisa...
  9. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na mitihani migumu

    Sijui sana kuhusu awamu nyingine za uongozi, lakini nimemuona Kikwete, nimemuona Magufuli, na sasa namuona Samia. Kati ya Marais hao, siajona aliyepitia mambo mazito ndani ya muda mfupi kumzidi Samia: 1. Kuchukua uongozi kufuatia kifo cha mtangulizi wake. 2. Suala la Corona. Huu umekuwa...
  10. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Nimewaona Rais Magufuli, Prophet T.B Joshua na Profesa John Atta Mills

    NIMEWAONA RAIS MAGUFULI,PROPHET T.B JOSHUA NA PROFESA JOHN ATTA MILLS. Leo 13:15hrs 31/10/2021 Kisha nikatazama juu urefu wa ghorofa tatu nikawaona Rais Magufuli,Prophet T.b Joshua na Profesa John Atta Mills wakiwa wamevaa vazi jeupe wamevikwa wingu wakikaza mwendo kuelekea mbele,walikuwa...
  11. Superbug

    JamiiForums Tanzania Google Earth itasaidia kuishangaza dunia juu ya kazi za Rais Samia

    Mchakamchaka wa kujenga madarasa nchi nzima utaishangaza dunia kupitia Google Earth waki update image zao by January 2022. Nchi itakuwa imejaa mijengo tu nchi nzima. Huwezi amini Kuna shule naijua imepewa madarasa kumi kwa mpigo. Hakyanani mama unajua kucheza draft bila mbwembwe. Watu wengi...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

    Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa COP 26 Nchini Scotland

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuondoka Nchini Oktoba 30, 2021 kuelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za Mabadiliko ya Tabianchi (COP 26). Anatarajiwa kuhutubia siku ya pili ya Mkutano huo (Novemba 02, 2021) na pia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais avunje wizara za TAMISEMI na Utumishi ili kupunguza matumizi

    Wadau Salam kwenu Moja kwa moja kwenye mada Katika uchunguzi wangu nimebaini kuwa kuna wizara kadhaa ambazo lait kama leo hii Mh. Rais Samia angeniomba kumshauri kuzifuta kwa lengo la kupunguza ukubwa wa serikali ili kubana matumizi ya serikali yasiyokuwa na ulazima basi ningemshauri kuzifuta...
  15. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Majaliwa asema CCM kumpeleka kwa wananchi Rais Samia 2025

    Dodoma.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo. Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Oktoba 29, 2021 katika ukumbi wa St Gasper jijini Dodoma wakati akifungua mafunzo ya...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Kwa sasa Rais Samia hawazi matatizo ya wananchi anawaza uchaguzi wa 2025 tu

    “@ChademaTz , @ACTwazalendo , #CUF na sisi @nccrmageuzihq hebu tuondoe viburi vyetu tukae pamoja tuzungumze kuhusu nchi yetu, kwann tukose furaha kwenye nchi yetu? Tuoneshe mshikamano wetu katika kupigania haki katika nchi yetu”. - M/kiti Taifa Ndugu #JamesMbatia #KongamanoLaCUF “Samia Suluhu...
  17. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Tusipotoshe, ukweli ni kwamba Samia Suluhu ni Rais wa Kikatiba na si Rais wa kuchaguliwa

    Ni ujinga kunilazimisha eti Samia ni Rais wa kupigiwa kura! Samia alikuwa msaidizi wa Hayati Magufuli ambaye ndiye aliyepigiwa kura za Watanzania kuwa Rais. Lakini baada ya kifo cha Magufuli kikatiba makamu wake ndiye aliyepaswa kuwa mkuu wa Nchi. IELEWEKE,NI KWA MUJIBU WA KATIBA na si kwa...
  18. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

    UTANGULIZI: Nimiaka zaidi ya arobaini (40) sasa tangu kugunduliwa kwa uwepo wa gesi Asilia huko Likong'o-Mchinga Lindi Pembezoni mwa bahari ya Hindi yenye futi za ujazo trilioni 57.7, Gesi hii baada ya kuchimbwa na kupoozwa kwa nyuzi Joto -260`F au -162'C nakuwa gasi miminika ndio inaitwa...
  19. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, pamoja na sifa unazomwangia Jumaa Aweso, huyu siyo mwaminifu

    Waziri Aweso kila siku yuko kwenye kamera na waandishi na yaonekana rais anaamini ni mtendaji mzuri. Kwa tabia za Waziri huyu na watendaji wa wizara hii, tatizo la maji halitakwisha nchi hii. Ifikie hatua miradi yote inayotangazwa, kama haifanyi inavyotakiwa, wahusika wote wafukuzwe kazi. Aweso...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Brazil: Kamati ya Seneti yapendekeza Rais Jair Bolsonaro ashtakiwe

    Kamati ya Seneti nchini imepiga kura kupendekeza Rais Jair Bolsonaro ashtakiwe kwa namna alivyoshughulikia janga la Virusi vya Corona. Hakuna uhakika kwamba kura hiyo itapelekea afunguliwe mashtaka kwani mapendekezo ya Ripoti lazima yatathminiwe na Mwendesha Mashtaka Mkuu ambaye ni Mteule wa...
Back
Top Bottom