rais

  1. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kufanyia kazi hoja za Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) Bandarini

    Mamlaka ya Bandari (TPA) imefanya upembuzi wa mifumo yake ili kushughulikia hoja za Mdhibiti wa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/21 ya kuwa mifumo inasomana na hivyo kudhibiti upotevu wa mapato. Vilevile, imebainisha kuwa kipindi cha kuanzia Julai 2021 hadi Juni 2022...
  2. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kitakachotokea baada ya Rais Mteule wa Kenya kutangazwa leo

    1. Mwenyekiti wa Tume wa Huru ya Uchaguzi, IEBC anatakiwa kumkabidhi Rais Mteule Cheti (Mshindi wa Urais lazima ajitokeze kupokea Cheti) 2. Mwenyekiti lazima awasilishe kwa maandishi taarifa ya Matokeo kwa Jaji Mkuu na Rais aliyepo Madarakani, (Uhuru Kenyatta) 3. Kama itatokea Pingamizi la...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza askari wenye vitambi kurejeshwa mafunzoni

    Kauli hii kabambe imetolewa na Mh Rais Samia Suluhu Hassan huko Tanga, wakati akifunga mafunzo ya awali ya askari wa Uhamiaji kwenye Chuo cha Boma Kichaka Miba Mkoani humo . Mh Rais amesema kwamba ili kurejesha Ukakamavu kwa Askari wa Uhamiaji inapaswa wote wenye vitambi kurejeshwa kuhenya ili...
  4. Ben74

    JamiiForums Tanzania Jicho langu katika ziara ya Rais Nyanda za Juu Kusini

  5. msani

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Hussein Mwinyi

    Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi, nakuandikia hapa kwa sababu nahisi ndio sehemu pekee ujumbe unaweza kukufikia. Sisi wafanyabiashara mara nyingi huwa tunakopa fedha benki ili kuendesha biashara zetu, na sisi kama wengine tumekuwa tunakopa mara nyingi na kufanya valuation ya mali zetu kama...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Utafiti umebaini kuna matumizi mabaya ya fedha Idara ya Uhamiaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifunga Mafunzo ya Awali ya Askari wa Uhamiaji Kozi na. 1/2022, katika Chuo cha Uhamiaji Boma Kichakamiba leo tarehe 15 Agosti, 2022 Mkoani Tanga. MKUU WA MKOA TANGA – OMARY TABWETA MGUMBA Mrundikano wa wafungwa kutoka nje wasio na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia karibu Tanga na wasaidie Wanatanga kero zifuatazo

    Rais Samia nakusalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninayokila sababu ya kukuambia karibu Tanga lakini uwe makini maana viongozi waliopo bado hawajajua unacho kitaka. Ninasema hivo kwasababu zifuatazo 1: Hela asilimia 10 kwaajili ya wanawake,vijana na walemavu Tanga ni hadithi ya...
  8. MSAGA SUMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Wajackoyah: Nina Imani nitatangazwa kuwa Rais

    Wajackoyah: We're Confident We'll Win Presidential Election Roots Party presidential candidate Prof. George Wajackoyah during his manifesto launch at KICC. PHOTO | COURTESY Preliminary results intimate that Kenya Kwanza frontman William Ruto and his Azimio counterpart Raila Odinga hold a...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa, Rais Samia angekuwa na uchungu na wananchi asingekubali tozo na maisha kuwa ghali namna hii

    Vyakula vimepanda bei. Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali Maisha yamekuwa ghali. Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini. Sasa unaleta porojo! 👇
  10. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kulamba Asali, Mbowe alaani utitiri wa magari, msafara wa Rais hauendani na kubana matumizi

    Adai ni matumizi mabaya ya pesa za umma. Mwigulu Nchemba auchuna. Mbowe ahoji utitiri wa magari msafara wa Rais ======= Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema utitiri wa magari katika msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan hauendani na dhana ya serikali ya kubana matumizi. Amesema...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tumpe Faraja Rais Samia kwa namna anavyofanya kazi bila kupumzika wala kukaa kwa ajili yetu Watanzania

    Ndugu zangu Mh Rais mama Samia suluhu Hassani Ni mwanadamu mwenye damu na moyo na mwili wa nyama Kama Tulivyo sisi wengine. Nikawaida kuona hata watumishi wa umma ikikaribia wikend wanafurahi ili wapate muda wa kupumzisha akili na hata kupata muda wa kukaa na Familia zao, kutokanaa na kazi za...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Tanga; Rais Samia ingilia mgogoro wa ardhi shamba la kilapula (Geiglizy farm)

    Enzi za magufuli alitoa ardhi kwa wanaomiliki ardhi katika shamba tajwa. Aliosema kuwa hata eka 5 wapewe bure. Leo hii Mkurugenzi wa Muheza anawatoza wananchi kulipia ardhi kinyume na tamko la Maguuli. Kuna dhuluma kubwa, tunaomba uingilie kati.
  13. Poppy Hatonn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga ni chaguo la Mbinguni. Chebukatii amtangaze kuwa Rais

    Nilikuwa Kenya wakati ule, kulikuwa na kampeni na mimi nilikuwa Nairobi, nadhani just for a day and a night. Kulikuwa na some complaints kuhusu Raila, complaints in the media,na mimi nilikuwa very dejected,natafakari hayo mambo as I was falling asleep. Nilikuwa katika guest house. Nikaamka...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kuzindua chuo cha Jeshi Tanga 14/08/2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara mkoani Tanga, siku ya Jumapili Agosti 14 Mwaka huu. Katika ziara yake mkoani Tanga Rais Samia Suluhu anatarajiwa kuzindua Chuo cha Jeshi la uhamiaji cha Taifa pamoja na kufunga mafunzo ya askari 818 wa Jeshi...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania KINANA: Urais wa Samia sio wa Kikatiba, amepatikana kwa Uchaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM),Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ameweka wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hasasan ni Rais kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na amepatikana kwa mchakato wa uchaguzi mkuu kwa kupigiwa kura na wananchi. Kinana ametoa ufafanuzi huo...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia

    Pongezi nyingi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia suluhu Hassan kwa ziara aliyoifanya katika Mikoa mitatu,ziara iliyohusisha Mkoa wa Mbeya,Njombe na Iringa kwa mfululizo bila kupumzika. Ni ziara muhimu iliyoleta matumaini zaidi kwa Watanzania. kwa kufungua fursa zaidi...
  17. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka: Wanaotaka Urais 2025 wasahau, ni Rais Samia bara ni Rais Mwinyi visiwani mpaka 2030

    Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema hakuna shaka Rais Samia Suluhu Hassan ataendelea kuwavusha watanzania hadi 2030 kutoka na uwezo mkubwa uliounesha katika uongozi na utendaji uliotukuka. Akizungumza katika kongamano maalum la kumpongeza Rais Samia huko Unguja leo hii, Shaka...
  18. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini tunakupongeza Rais Samia, ziara ya Rais kama hii haijawahi tokea toka uhuru

    Rais Samia akiwa Iringa Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ziara ya Rais Mama Samia Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini imevunja rekodi. Sikumbuki Rais aliyezungukia mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa tena kiwilaya na kuimaliza. Kwetu Mbeya Rais kaenda Chunya, Mbeya vijijini, Rungwe na Kyela. Marais...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio bei za mbolea ambazo wakulima watanunulia kuanzia Agosti 15, 2022 baada ya bilioni 150

    Utashangaa kiukweli hii inaonyesha ni Kwa namna gani serikali inawasikiliza watu wake hasa katika kuhakikisha inawapunguzia makali wakulima kutokana na hali ya kupanda kwa bei za mbolea katika soko la dunia si Tanzania pekee bali ni ulimwenguni kote. Zipo sababu kadhaa zilizosababisha bei...
  20. kevylameck

    JamiiForums Tanzania SIKU YA VIJANA: Rais Samia na Elimu na Ujuzi kwa vijana

    Na Kevin Lameck Dunia inapoadhimisha siku ya Vijana hii leo, yapo baadhi ya mambo yaliyofanywa na kutekelezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye kuwakwamua dhidi ya changamoto mbalimbali zinazowakwaza Vijana. Changamoto kubwa inayotajwa nchini Tanzania miongoni mwa Vijana wake...
Back
Top Bottom