rais

  1. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu anafanya makubwa sekta ya usafiri wa anga

    Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imetenga Sh. 86.1bn/- kwa ajili ya ujenzi na marekebisho ya viwanja vya ndege mbalimbali nchi nzima. Lengo ni kuboresha sekta ya usafiri wa anga na pia kuimarisha sekta ya utalii ambayo imekuwa ikichangia kiasi kikubwa sana cha fedha...
  2. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya Rais Samia baada ya kuombwa na familia hii Manyara

    Urais ni utumishi wa Umma, shuhudia alichokifanya Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa mama na mtoto wa familia hii kutoka Mkoa wa Manyara
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, fufua kiwanda cha mbolea Tanga (Tanga Fertilizer Company)

    Mwalimu Nyerere aliona mbali sana baada ya kujua kuwa nchi hii ya Tanzania ni ya Wakulima na Wafanya kazi. Kati ya viwanda vingi alijenga ni kile cha Tanga Fertirlizer Company iliyokuwa inatengeneza mbolea ya NPK na nyingine kama sikosei. Wajanja wakakiuza na hata ukigoogle leo hakipo kwenye...
  4. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ataka wananchi wasibugudhiwe

    Katika Ziara ya kikazi inayoendelea Mkoani Njombe, Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete kutowachangisha wananchi fedha kwa nguvu badala yake watumie utaratibu mzuri.
  5. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akosa imani na Waziri Mashimba Ndaki

    Rais Samia Suluhu Hassan amenukuliwa na magazeti mengi ya leo akitoa onyo la mwisho kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kutokana na usimamizi mbovu wa Wizara yake na kudaiwa huku fedha nyingi zikidaiwa kupotelea kwenye mifuko ya watu. Naungana na Rais Samia, Mashimba ameonyesha...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Makamba kwenye nishati atakufelisha! Umeme unakatika mno!

    Kama unapenda aendelee kuwa waziri sasa unaweza kumbadilisha vizara ila kwa wizara ya nishati kusema kweli ni changamoto kubwa: Watu wanalia kila kukicha lakini wewe kuna uwezekano hupati taarifa sahihi,ila naomba ujue hali sio nzuri! Gharama za maisha zimepanda watu wa ofisi ndogondogo kama...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia mkoani Mbeya imeibua shangwe na nderemo Nyanda za Juu Kusini

    Ndugu zangu ukizungumzia suala la kilimo kwa mikoa ya nyanda za juu kusini ndio pumzi ya wananchi wote, Ndio tegemeo la wote, Ndio uti wa mgongo kwetu, Ndio shine yetu, Ndio mkombozi wetu, Ndio tumaini letu, Ndio maisha yetu, Ndio uhai wetu, hivyo Hali yoyote ikipita na kukwamisha juhudi za...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Mh Mama Samia Suluhu

    Mapokezi makubwa na ya kipekeee aliyoyapata mkoani Mbeya yameonesha namna watu walivyo na Imani na uongozi wa mama Samia, kazi kubwa na utumishi wa kutukuka unaofanywa na mh Rais imekuwa Chachu na sababu ya kupendwa kwake na watanzania wazalendo. kuchipuka kwa miradi ya maendeleo kila mkoa bila...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vijana limeni; masoko, mashamba ya uhakika yapo

    Akizungumza katika maadhimisho ya siku ya Wakulima (Nanenane) yaliyofanyika Jijini Mbeya, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amewataka vijana kujishughulisha na kilimo kwani Serikali imetenga mashamba na imeshatafuta masoko kwa ajili ya mazao yatakayozalishwa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Serikali imejipanga kwenye sekta ya kilimo

    Natumia nafasi hii, kumshukuru kwa dhati, Rais Samia Suluhu kwa nia aliyoionyesha ya kusaidia na kuwekeza zaidi katika Sekta za Uzalishaji, ulipozindua Agenda 1030, wengi walidhani hayatotokea lakini umehakikisha mambo haya yanatokea" Rais Samia Suluhu umezindua Mfumo wa Utoaji wa Ruzuku ya...
  11. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Hatimaye David Kafulila akabidhi ofisi, aendelea kusisitiza Rais Samia hakamatiki utekelezaji wa Ilani, amtaja kuvunja rekodi ya miaka 20 kwenye maji

    Mhe. David Kafulila akimkabidhi Katiba ya JMT Mkuu Mpya wa Mkoa Mh. Dkt Yahya Mawanda kama nyenzo yake ya kufanyia maamuzi Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mh. David Kafulila amesema kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amevunja rekodi ya utekelezaji wa bajeti ya maji ya miaka ishirini (20)...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Somalia: Mabomu yarushwa karibu na Ikulu ya Rais

    Vitongoji vya makaazi karibu na Ikulu ya Rais wa Somalia mjini Mogadishu vimeshambuliwa kwa mabomu leo, muda mfupi baada ya Bunge la nchi hiyo kuidhinisha Baraza la Mawaziri lenye wajumbe 75 lililoteuliwa hivi karibuni chini ya Waziri Mkuu Hamza Abdi Barre. Mamlaka zimesema hakuna majuruhi...
  13. Peter Madukwa

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Rais Samia azindua mpango wa ruzuku kukabiliana na bei ya mbolea kwa wakulima

    Rais Samia Suluhu Hassani amezindua rasmi mpango wa ruzuku ili kukabiliana na bei ya mbolea nchini ambao baada ya ruzuku hiyo, mkulima atanunua kwa bei ya chini kama inavyoonekana ktk jedwali.✊🏿 Tangu aingie madarakani, Rais Samia amefanya jitihada kadhaa kwa ajili ya kuhakikisha kuwa sekta ya...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nanenane - Mbeya: Rais Samia asema watatoa ruzuku za mbolea lakini sio kwa miaka yote

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (Nanenane)uwanja wa John Mwakangale Mkoani Mbeya leo tarehe 08 Agosti, 2022 Aliyoyasema waziri wa kilimo Hussein Bashe Waziri Bashe asema Serikali itaanza kutoa zawadi kwa...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais wa CAF, Dk.Patrice Motsepe awasili Tanzania, leo Agosti 8, 2022

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dk.Patrice Motsepe amewasili leo Jijini Arusha, Tanzania na kupokelewa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia (kulia) na Katibu Mkuu wa CAF Veron Mosengo-Omba (kushoto).
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Hersi na Mhamasishaji Manara kuwa na 'Hatiani' huu ndiyo Uwezo wa mwisho wa Kufikiri wa Mashabiki na Wanachama Wao

    "Tunaomba sababu ni kwanini katika Tamasha letu la Citizens Beauty Beauty Day hakuna hata Kiongozi Mmoja wa TFF aliyekuja. TFF inatunyanyasa mno na ina Chuki na Sisi" wamesema Wasio na Akili FC. Yaani Viongozi wa TFF waache kuwa busy na Ugeni wa CAF na Mkutano Mkuu utakaofanyika Arusha waje...
  17. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia ameongeza TZS 700B kwenye kilimo ilikulikabili tatizo la ajira kwa vijana wetu, Bajeti yafikia TZS 954B toka TZS254B

    MABILIONI YA RAIS SAMIA YAMPA IMANI SHAKA KUWAKOMBOA VIJANA KATIKA KILIMO KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema dhamira ya dhati ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuitazama kwa karibu sekta ya kilimo, ikiwemo kuongeza bajeti ya Wizara Kilimo...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

    Kumbe Nyerere hakuwa na demokrasia, alikuwa dictator mkubwa, eti huyo ndiye anakuja kuwa Mtakatifu! Sikiliza kwa makini:
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais Samia umebadilishwa?

    Tangu akiwa ziara ya Arusha alipokutana na wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa yupo mkoani Mbeya, nimegundua kama ulinzi umebadilika kiaina. Zamani tulizoea kuona jammer car katika msafara wa Rais lakini kwasasa gari lile halionekani kabisa. Pia wale jamaa zetu wenye silaha...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiongozi mwenye maono sana

    Ndugu zangu Jana katika ziara ya Mh Rais wetu inayo endelea huko mkoani Mbeya tumemsikia Rais wetu akisema kuwa serikali unakwenda kujenga vyumba vya madarasa Zaidi ya elfu nane. Kwa ajiri ya wanafunzi wa kidato Cha kwanza hapo mwakani mwezi wa kwanza. Ndugu zangu huko nyuma tulizoea kuona...
Back
Top Bottom