rais

  1. Championship

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Dkt. Mpango na Majaliwa hawalipi kodi wala tozo yoyote hapa nchini

    Rais, Makamu na Waziri Mkuu (among others) hawalipi kodi yoyote kwenye mishahara yao, akaunti zao benki hazina makato na hata laini zao za simu hazina tozo yoyote. Bado natafuta tafsiri sahihi ya uhujumu uchumi. Nitaendelea kusoma Ili nielewe.
  2. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu: Dunia nzima inamkubali Mwigulu Nchemba isipokuwa CHADEMA tu, atakuwa Rais wa Benki ya Dunia

    Akiwa Tabora kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amewataka wananchi wapuuze taarifa zinazoenezwa kuhusu tozo, amedai tathmini ya kina ilifanyika kabla ya kuja na tozo hizo na walijiridhisha kuwa zinahimilika. Pia amewataka wananchi wapuuze uzushi wa kuwa waziri wa fedha...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apeleka bil 20 kukuza uvuvi ziwa Victoria

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya shilingi bilioni 20 kwa ajili ya kuwezesha na kukuza shughuli za ufugaji wa Samaki kwa njia ya vizimba miongoni mwa vijana ili wanufaike na uchumi wa buluu uliopo kwenye ukanda wa Ziwa Viktoria. Naibu Waziri wa...
  4. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Rais wa Nchi anaitwa Nyapara! CHADEMA ni vyema muwadhibiti hawa vijana wenu akiwemo Mdude

    Rejea kichwa tajwa hapo juu Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani. Lakini wakuiondoa ni Akiwemo Mdude? Chadema jifunzeni. Hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu Mkanyeni huyu. Kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa, anaweza kupotezwa vibaya sana Huyu ndio...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anayo kiu ya kuipeleka mbele Tanzania kimaendeleo, tumpe muda tutafurahi na kushangilia

    Ndugu zangu ukimsikiliza mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza, ukimuangalia namna anavyotenda utagundua kuwa amedhamiria na anayo kiu ya kuipekeka mbele nchi hii kimaendeleo. Mh. Rais anayo kiu ya kuona kuwa, hakuna mama mjamzito anasafiri umbali mrefu kufuata kituo cha afya au...
  6. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ninani anamshauri Rais kuhusu Hali ya uchumi wetu? Miradi inayoanzishwa inaendana na uhalisia wa uchumi wetu? Wataalam wa uchumi mpo wapi?

    Huko twita mtifuano unaoendelea ni kuhusu tozo...tozo za miamala ya simu ,na tozo katika taasisi za kifedha. Huku mtaani mnyukano uliopo ni kupanda Kwa gharama za maisha,na Hali mbaya ya chakura nchini. Kule Kwa...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa saidieni kumpa Rais Samia taarifa sahihi

    Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ninaomba usalama wa Taifa kuanzia ngazi ya wilaya, mkoa na Taifa mpeni Rais taarifa sahihi ili afanye maamuzi sahihi. Kama nyinyi mnampa taarifa sahihi ila yeye hachukui hatua? hilo ni swala jingine. Kwenye hili swala la sensa na makazi ya mwaka...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Licha ya Rais kujitahidi kuchapa kazi lakini bado Wananchi hawamuelewi!

    Sabato Njema! Tangu Rais arithi kiti cha Urais mwaka Jana hajapumzika wala sijasikia Kama alipata likizo. Anachapa kazi, Leo yupo huku kesho yupo Kule. Anachapa kazi. Lakini licha ya jitihada zake zote katika kulitumikia taifa hili bado Wananchi hawamuelewi. Hii inasababishwa na nini? Kuna...
  9. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye asema bei ya internet imeshuka wakati wa Rais Samia ukilinganisha na Machi 2021

    Kutoka ukurasa wa Twitter Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mawasiliano Mh. Nape Nnauye amefafanua mafanikio ya serikali katika kushusha gharama za intaneti kwa watanzania. Kupitia ukurasa huo amesema "Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana...
  10. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ebu wambie Mawaziri Makamba, Nape, Mwigulu na Dotto ya kuwa wao ni Mawaziri sio Marais watarajiwa. Hii misafara hawana hadhi hiyo

    Kwanza nianze kwa kupongeza Wakurugenzi na watendaji wa mtandao pendwa wa JamiiForums. Pili naomba nikili yawazi yakuwa maboresho yaliyofanywa na JF Kuna wanaJF wengi tumekuwa nje ya nje ya online off, kkwa sababu ya maboresho haya. Niende kwenye mada, hivi majuzi Mimi nilikuwa,miongoni mwa...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Prof. Mwandosya ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya EWURA

  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi kwa kuzaliwa

    Ndugu zangu Nazani mmewahi kusikia Kuna swali linaulizwa iwapo kiongozi Bora anazaliwa au anatengenezwa, Ndugu zangu ukimfuatilia mh Rais mama Samia suluhu Hassani Tangia wakati ule wa bunge maalumu la katiba namna alivyookuwa anasimamia bunge lile lililokuwa limesheheni vichwa vya kila aina...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tozo Mpya: Kwa tabia za Watanzania, Rais Samia kazia hapohapo

    Kwa namna nikienda kwenye maduka ninavyoona Wafanyabiashara wanafanya mauzo bila kutoa risiti na Wananchi wananunua bidhaa bila kudai risiti napenda kusisitiza, Mama yangu Samia kazia hapo hapo. Nchi inahitaji kodi ili huduma za maendeleo ziweze kutolewa na kama wananchi hawako tayari...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rais wa Liberia awasimamisha Kazi maafisa 3 wa Serikali baada ya Kuwekewa Vikwazo na Marekani kwa ufisadi

    Rais George Weah amewasimamisha kazi maafisa watatu baada ya serikali ya Marekani kutangaza kuwawekea vikwazo kwa madai ya Rushwa na Ufisadi wa mali za Umma Maafisa hao ni pamoja na Nathaniel McGill, Waziri wa nchi na Mkuu wa wafanyakazi wa Rais, anashutumiwa kwa kutishia wapinzani wa kisiasa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yakataa ofa ya Korea Kusini ya kuacha nyuklia ili ipewe misaada ya kiuchumi, yamwambia rais huyo afunge mdomo wake

    North Korea imemwambia rais wa South Korea afunge domo lake kufuatia rais huyo kuiomba North Korea iache silaha zake za nyuklia kisha South Korea itaipatia misaada kedekede ya uchumi. Majibu hayo kuntu yametolewa na dada yake Kim Jong-Un aitwaye Kim Yo Jong ambapo pia akaongezea kuwa South Korea...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia ametoa fursa za mikopo kwa Vijana, wanawake na walemavu wote hata kwa wale wa kambi za Upinzani

    Katibu wa Nec Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka akiwa katika mwendelezo wa ziara zake kanda ya Magharibi amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari akisema " Chama cha Mapinduzi hakitatazama Itikadi katika kuwanufaisha vijana, wanawake na wenye ulemavu kutoka katika fursa mbalimbali...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Juhudi hizi za Rais Samia katika kilimo ni neema kwetu

    Je wajua? 60% ya watanzania wameajiriwa katika sekta ya kilimo. UMWAGILIAJI Kuanzia msimu ujao wa kilimo, Serikali chini ya Rais Samia kuwajengea Wakulima wa zao la chai wa mikoa yote mabwawa makubwa ili waanze kulima zao hilo kwa njia ya umwagiliaji ili kuongeza tija na uzalishaji.Tanzania ina...
  18. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Serikali: Agosti 23, 2022 ni siku ya mapumziko

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameridhia Agosti 23, 2022 kuwa siku ya mapumziko. Lengo ni kufanikisha zoezi la sensa linalotarajiwa kuanza siku hiyo kwa kuwapokea makarani wa sensa na kutoa maelezo sahihi. Hivi karibuni Kamisaa...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Upinzani kuwasilisha ombi la kutokuwa na imani na Rais Ramaphosa

    Vyama vya Upinzani nchini humo vimesema kuwa vitawasilisha ombi la kutokuwa na imani na Rais Cyril Ramaphosa kutokana na tuhuma za Utekaji Nyara na Utakatishaji Fedha. Madai hayo yametolewa na Mkuu wa zamani wa Ujasusi Arthur Fraser, ambaye amedai kuwa Rais alificha takriban Tsh. Bilioni 9.3...
  20. MURUSI

    JamiiForums Tanzania Zambia: Rais Hakainde Hichilema awataka Watumishi wa Serikali wanaotaka VX wajinunulie kwa pesa zao

    Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewataka Watumishi wa Serikali wanaotaka wapewe magari ya kifahari aina ya Toyota Land Cruiser VX kwa ajili ya kuyatumia kwenye kazi wasahau hilo na kama wanaona yana umuhimu sana basi wajinunulie wao lakini sio kwa pesa za Serikali. Hichilema amehoji “Kwanini...
Back
Top Bottom