rais

  1. JamiiForums Tanzania Kuhusu Rais wetu na wenzake kupanda basi kwenye msiba wa Malkia Elizabeth II

    Wanajamvi habarini? Nisiwachoshe sana ngoje nitoe madini kidogo kuhusu itifaki ilitomika kuwabeba vichwa vya dola (Head of states ) huko kwenye msiba wa bi Elizabeth na kuwa ngumzo huko mitandaoni. Tuanze kwanza kwa kuangalia kitu kinaitwa "order of Seniority and precedence" hii maana yake...
  2. JamiiForums Tanzania Afadhali huu Msiba wa Malkia Elizabeth umemkuta Rais Samia. Dkt. Magufuli ninavyomjua asingeenda. mama kafungua nchi

    Nafarijika sana napomuona Rais wangu samia anajichanganya. Anafungua nchi sana aisee... Nimemwona kwenye mwendokasi la huko England akienda msibani kwa Malkia Elizabeth. Afadhali Malkia kafa kipindi hiki. Ingekuwa miaka miwili ago. Magufuli namjua asingeenda. Hivyo nchi isingefunguka...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Biden: Marekani itailinda Taiwan ikivamiwa na China

    Rais wa Marekani, Joe Biden amesisitiza kuwa taifa lake litailinda Taiwan dhidi ya mashambulizi yoyote yatakayofanywa na China. Hiyo ni mara ya tatu Rais Biden kutoa kauli inayoendana na kuilinda Taiwan ambapo mwanzoni mwa Septemba 2022 Marekani ilipitisha mpango wa kuiuzia Taiwan silaha za...
  4. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango awasili Marekani, Kushiriki Mkutano wa UNGA 77

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewasili Jijini New York nchini Marekani ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa (UNGA). Makamu wa Rais...
  5. JamiiForums Tanzania Kila unachoshika kimepanda bei, ngano elfu 50, simenti elfu 21, Rais Samia tusaidie

    Wananchi wameamua kupaza sauti kulalamikia kupanda kwa gharama za maisha kutokana na kuwepo kwa mkubwa wa bei za bidhaa mbalimbali na kumuomba Rais Samia aingilie kati kuwanusuru.
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II

    Aibu! Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi. Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, Mwanademokrasia bora

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, imekuwa mstari wa mbele kutekeleza kwa vitendo dhana halisi ya demokrasia hususan katika tafsiri ya demokrasia kuwa ni nguzo ya kisiasa inayoendesha serikali ya kidemokrasia. Amekuwa kiongozi msikivu aliyekuja na mbinu mbadala ya...
  8. JamiiForums Tanzania Afrika kila Rais akiingia madarakani anasema amekuta hali ya uchumi ni mbaya. Je, ni lini uchumi wetu utaimarika?

    Naibu Rais, Rigathi Gachagua amesema Serikali ya Awamu ya 5 imerithi Uchumi mbaya kutoka awamu iliyopita na wanatafuta suluhu ya kudumu. Amewataka Wananchi kuwa na subira maana Ndani ya Siku 90 hadi 100 Uchumi utaimarika.
  9. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Askari Police wa hapa Puerto Rico 'Wanavyoua' Wahalifu ili Kumridhisha Rais baada ya kutokea Tukio baya ambalo Wamelishindwa

    Huanza kusaka Wahalifu kiholela na Kukurupuka kiasi kwamba huamua tu Kuua Watu ambao huenda hawana hata Kosa ila wamewakuta tu wamekaa zao Vijiweni na wanapiga Story zao. Police wa hapa nchini Puerto Rico ambako ndiyo makazi yangu ya Kudumu GENTAMYCINE huu Mwaka wa 20 sasa kama wakiona kuna...
  10. JamiiForums Tanzania Shaka : Baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli,wale wote Waliombeza Rais Samia Ujenzi wa miradi ya kimkakati leo wanaumbuka, Wami ilikuwa 47% leo 89.2%

    SHAKA ;RAIS SAMIA AMEWAUMBUA WALIOBEZA MIRADI YA KIMKAKATI. Ataja kukamilika kabla ya wakati ujenzi wa daraja la Wami ni kielelezo cha uwezo wa serikali ya awamu ya sita Na Mwandishi Wetu,Pwani KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema...
  11. JamiiForums Tanzania Ndani ya siku chache toka aapishwe ,Rais William Ruto ataonana na Rais wa USA na mfalme Charles wa iii wa Uingereza.

    Wakati wenzetu wanapanga kuonana na watu wa maana ulimwenguni. Sisi wa kwetu wanaona sifa kupiga picha na baba yake Rihanna.
  12. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni apuuza azimio la Ulaya

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema kuwa hakuna atakayezuia mradi mkubwa wa bomba la mafuta Afrika mashariki, akipuuza azimio la wabunge wa Ulaya lililotaka mradi huo ucheleweshwe kutokana na lilichokiita ''ukiukwaji wa haki za binadamu''. Kampuni ya Total Energies ya Ufaransa na shirika la...
  13. JamiiForums Tanzania Nani kati ya Makamu wa Rais na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi analidanganya taifa kuhusu suala la Samaki?

    Katika siku za Karibuni, zimetolewa kauli mbili tofauti toka kwa viongozi wakubwa kabisa Katika Serikali yetu ya CCM. Kwanza ilitolewa kauli na Makamu wa Rais, Dkt. Philipo Mpango, akiwa jijini Mwanza kikazi, ambaye aliagiza vyombo vyote vinavyozibiti maji ya kuoshea maiti yenye dawa ya...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Serikali haitaendelea kutoa ruzuku ya unga, itawasaidia wakulima

    Rais Ruto wa Kenya amesema hatoendelea kutoa ruzuku ya unga na badala yake atasaidia wakulima wadogo na wakubwa kufanya uzalishaji ambao utapunguza bei ya bidhaa hizo. Bei ya unga nchini Kenya ilipanda sana kutokana na vita vya Ukraine na Urusi ambapo serikali chini ya Rais Uhuru Kenyata...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhudhuria mazishi ya malikia Elizabeth II

    Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili London nchini Uingereza kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Muwakilishi wa Mfalme Charles III, Cynthia Gresham wa Uingereza pamoja na Balozi...
  16. JamiiForums Tanzania Sindi Mzamo: Rais Samia ni Champion wa Utali Afrika, aungwe Mkono

    Sindi Mzamo, Rais wa circle of global business women (CGBW), amesema Rais wa Tanzania Samia Suluhu ni Champion wa Utalii Afrika aungwe mkono. Aliyasema hayo jijini Johannesburg Afrika kusini wakati akihutubia Mkutano wa Wanawake katika Utalii Kusini mwa Afrika (WITSA). Alisema Rais Samia...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Zelensky apendekeza dunia kumtambua Rais Putin kama gaidi

    Baada ya rais wa Ukraine kutembelea maeneo yaliyokombolewa na kukuta makaburi ya haraiki amependekeza viongozi wa dunia wamuorodhese rais wa Urusi katika orodha ya magaidi na wanaofadhiri ugaidi Soma hapa Tortured, shot, killed’: Zelensky accuses Russia of genocide after Izyum mass grave...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Asema uamuzi wa Rais Ruto kuwateua Majaji 6 inalenga 'Kuteka' Idara ya Mahakama

    Kiongozi huyo wa chama cha muungano cha Azimio la Umoja One Kenya, anadai kwamba hatua ya hivi karibuni ya Rais William Ruto ya kuwateua majaji sita ambao walikataliwa na mtangulizi wake Uhuru Kenyatta ililenga kudhibiti Idara ya Mahakama. Akizungumza katika Kaunti ya Machakos siku ya Ijumaa...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Hatutamteua mwanachama yeyote wa Upinzani ndani ya Serikali

    Rais William Ruto ameweka wazi kuwa hana mpango wa kufanya kazi na wapinzani wake wa kisiasa ndani ya serikali akisema hatamjumuisha mwanachama yeyote wa upinzani katika utawala wake. Mkuu huyo wa Nchi alisisitiza kwamba kundi lake la Kenya Kwanza lilikuwa limechukua udhibiti wa Mabunge yote...
  20. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya chakula(TMDA) ingieni kazini kukagua samaki na nyama nchi nzima, tena kwa uwazi, tamko ya Makamu wa Rais linatutia hofu

    Tamko la makamu wa Rais kwamba samaki, na pengine nyama zinazouzwa zinaleta kansa, kwa kweli linaleta ukakasi. Mamlaka ya chakula, tunahitaji ukaguzi wa kina nchi nzima, na taarifa za Kila siku au mwezi au wiki zitolewe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…