Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, imekuwa mstari wa mbele kutekeleza kwa vitendo dhana halisi ya demokrasia hususan katika tafsiri ya demokrasia kuwa ni nguzo ya kisiasa inayoendesha serikali ya kidemokrasia.
Amekuwa kiongozi msikivu aliyekuja na mbinu mbadala ya...
Naibu Rais, Rigathi Gachagua amesema Serikali ya Awamu ya 5 imerithi Uchumi mbaya kutoka awamu iliyopita na wanatafuta suluhu ya kudumu.
Amewataka Wananchi kuwa na subira maana Ndani ya Siku 90 hadi 100 Uchumi utaimarika.
Huanza kusaka Wahalifu kiholela na Kukurupuka kiasi kwamba huamua tu Kuua Watu ambao huenda hawana hata Kosa ila wamewakuta tu wamekaa zao Vijiweni na wanapiga Story zao.
Police wa hapa nchini Puerto Rico ambako ndiyo makazi yangu ya Kudumu GENTAMYCINE huu Mwaka wa 20 sasa kama wakiona kuna...
SHAKA ;RAIS SAMIA AMEWAUMBUA WALIOBEZA MIRADI YA KIMKAKATI.
Ataja kukamilika kabla ya wakati ujenzi wa daraja la Wami ni kielelezo cha uwezo wa serikali ya awamu ya sita
Na Mwandishi Wetu,Pwani
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema...
baada
daraja
hayati
hayati magufuli
kifo
kimkakati
maamuzi
maamuzi magumu
magufuli
magumu
miradi
miradi ya kimkakati
raisrais samia
samia
shaka
taifa
ujenzi
wote
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema kuwa hakuna atakayezuia mradi mkubwa wa bomba la mafuta Afrika mashariki, akipuuza azimio la wabunge wa Ulaya lililotaka mradi huo ucheleweshwe kutokana na lilichokiita ''ukiukwaji wa haki za binadamu''.
Kampuni ya Total Energies ya Ufaransa na shirika la...
Katika siku za Karibuni, zimetolewa kauli mbili tofauti toka kwa viongozi wakubwa kabisa Katika Serikali yetu ya CCM.
Kwanza ilitolewa kauli na Makamu wa Rais, Dkt. Philipo Mpango, akiwa jijini Mwanza kikazi, ambaye aliagiza vyombo vyote vinavyozibiti maji ya kuoshea maiti yenye dawa ya...
Rais Ruto wa Kenya amesema hatoendelea kutoa ruzuku ya unga na badala yake atasaidia wakulima wadogo na wakubwa kufanya uzalishaji ambao utapunguza bei ya bidhaa hizo.
Bei ya unga nchini Kenya ilipanda sana kutokana na vita vya Ukraine na Urusi ambapo serikali chini ya Rais Uhuru Kenyata...
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili London nchini Uingereza kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Muwakilishi wa Mfalme Charles III, Cynthia Gresham wa Uingereza pamoja na Balozi...
Sindi Mzamo, Rais wa circle of global business women (CGBW), amesema Rais wa Tanzania Samia Suluhu ni Champion wa Utalii Afrika aungwe mkono.
Aliyasema hayo jijini Johannesburg Afrika kusini wakati akihutubia Mkutano wa Wanawake katika Utalii Kusini mwa Afrika (WITSA). Alisema Rais Samia...
Baada ya rais wa Ukraine kutembelea maeneo yaliyokombolewa na kukuta makaburi ya haraiki amependekeza viongozi wa dunia wamuorodhese rais wa Urusi katika orodha ya magaidi na wanaofadhiri ugaidi
Soma hapa
Tortured, shot, killed’: Zelensky accuses Russia of genocide after Izyum mass grave...
Kiongozi huyo wa chama cha muungano cha Azimio la Umoja One Kenya, anadai kwamba hatua ya hivi karibuni ya Rais William Ruto ya kuwateua majaji sita ambao walikataliwa na mtangulizi wake Uhuru Kenyatta ililenga kudhibiti Idara ya Mahakama.
Akizungumza katika Kaunti ya Machakos siku ya Ijumaa...
Rais William Ruto ameweka wazi kuwa hana mpango wa kufanya kazi na wapinzani wake wa kisiasa ndani ya serikali akisema hatamjumuisha mwanachama yeyote wa upinzani katika utawala wake.
Mkuu huyo wa Nchi alisisitiza kwamba kundi lake la Kenya Kwanza lilikuwa limechukua udhibiti wa Mabunge yote...
Tamko la makamu wa Rais kwamba samaki, na pengine nyama zinazouzwa zinaleta kansa, kwa kweli linaleta ukakasi.
Mamlaka ya chakula, tunahitaji ukaguzi wa kina nchi nzima, na taarifa za Kila siku au mwezi au wiki zitolewe
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga amesema serikali ina mpango wa kugawa Vishikwambi vilivyotumika katika zoezi la sensa kwa walimu wote kwa lengo la kuimarisha matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji.
Akijibu maswali ya Wabunge, leo Septemba 15, 2022 Jijini...
Mnyonge mtamnyonga lakini haki yake hupewa.
Rais Magufuli kama angeaamua kucheka na nyani, kama angeaamua kutolipa Uhuru Jeshi la Polisi kwenye kudeal na waalifu, basi Tanzania ingeogopwa Duniani.
Nani asiyekumbuka Yale ya Kibiti? Nani asiyekumbuka Ujambazi ulokithiri wakati wa Uongozi wa JK...
Gthinkers wasalaam,
Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa Twitter.
Ukweli ni kwamba bei ya mafuta imeshuka sana Tanzania japo hatujaona waliokuwa wakilalamikia kupanda kwa bei wakipongeza kushuka kwa bei.
Pia Soma hii,
👇👇👇
BEI...
Kila mtahiniwa wa kidato cha nne na sita alitakiwa kulipa ada ya mtihani TZS 50,000. Baada ya kufuta ada na michango isiyo muhimu, Serikali imefuta ada ya mtihani kwa shule za Serikali ikiwa ni sehemu ya azma ya Mhe. Rais Samia Suluhu kuifanya elimu kuwa nafuu.
Serikali ya awamu ya sita kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imetenga kiasi cha TZS bilioni 50/= kwaajili ya programu ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi nchini. Pesa hizo zitakopeshwa kwa Halmashauri 55 nchini kutekeleza programu hiyo.
"Kuhusu masuala ya ardhi...
Katika tangazo lililotolewa leo Alhamisi Sept. 15, 2022, Msemaji wa Serikali, Cyrus Oguna amesema Picha ya Rais itapatikana katika ofisi za Idara ya Habari zilizopo Uchumi House ghorofa ya 5, Nairobi.
Oguna aliongeza kuwa watu binafsi katika kaunti wanaweza kununua picha za Rais kutoka ofisi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.