rais

  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia fukuza waziri mambo ya ndani, naibu wake na Igp kwa mauji yaliyofanyika Serengeti.Fanya kama alivyofanya Nyerere

  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa Marathon! Rais Ruto na Raila Odinga wampongeza Eliud Kipchoge

    Mshindi mara mbili wa Olimpiki, Mkenya Eliud Kipchoge, ameshinda kwa kuvunja rekodi yake mwenyewe na kuweka rekodi mpya ya dunia katika mbio za Berlin marathon Jumapili. Akivuka mstari ndani ya saa mbili tu, dakika moja na sekunde tisa aliwahi kwa sekunde 30 kutoka kwenye rekodi yake ya awali...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa Marathon! Rais Ruto na Raila Odinga wampongeza Eliud Kipchoge

    Bingwa wa mbio za Marathon za Olimpiki mara mbili Eliud Kipchoge ameshinda mbio za Berlin Marathon kwa kuweka rekodi mpya. Kipchoge alishinda mbio hizo kwa kukimbia saa 2:01:09 katika mbio za maili 26.2. Ameshinda rekodi yake ya Dunia kwa tofauti ya sekunde 30 dhidi ya Mark Korir aliyeibuka wa...
  4. Chura

    JamiiForums Tanzania Nani atakasimishwa madaraka ya Urais endapo Rais atakuwa kasafiri?

    Wasalamu wana bodi wajuvi, wajuaji, wastaarabu bila kuwashau wale wa lolote sawa. Leo ntatoa desa kidogo kuhusu mtiririko wa ukasimisishwaji madaraka ya Urais(presidential line of succession au hierarchy of presidency) kwa JMT. Mataifa ya wenzetu kama US wao kutokana na muvi zao na kuwa wawazi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi Kama Rais Samia Wenye Mioyo ya uvumilivu Hawazaliwi kila Siku Na hawapatikani kila nchi, Watanzania Tuna kila Sababu ya kushukuru kumpata

    Ndugu zangu huo ndio ukweli ulio wazi, Mtu kuwa kiongozi hakubadilishi Tabia yake ya Asili, Kama mtu alizaliwa Ni katili Basi fahamu ya kuwa akipata madaraka atakuwa katili zaidi ya awali kwa kuwa tu Anayo Amri ya kuamrisha lolote kufanyika, lakini pia Kama mtu alizaliwa na moyo wa upendo na...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais wa ndondi afuta pambano la Mandonga

    Rais wa Ndondi Tanzania, amefuta pambano la Karim Mandonga na Salim Ally kutoka Tanga. Pambano lilikuwa la round nne ambalo walipambana hadi mwisho. Hata hivyo Rais amefuta pambano hilo baada ya referee kutochezesha pambano kwa usawa, ikiwemo kutomuhesabia Mandonga alipoangushwa.
  7. S

    JamiiForums Tanzania CCM wanaipenda sana hii kauli ambayo Rais Hichilema ameipinga

    Mara kibao CCM na wapiga mapambi wamekuwa wakisema "Rais anaangushwa na wateule/wasaidizi wake". Hii kauli Hichilema anaipinga vikali. Anasema uzwazwa wa wateule/wasidizi ndiyo unaakisi uwezo wa aliyewateua.
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Kenya itapeleka Wanajeshi kulinda Amani Jamhuri ya Congo

    Ruto amesema kwasababu Umoja wa Mataifa umetuma vikosi vyake kusaidia katika upatanishi wa amani na kupambana na waasi wa M23, kwa upande wa Kenya ikiwa ni sehemu ya EAC pia itajitolea kusaidia taifa hilo la Afrika ya Kati. Alibainisha kuwa kila nchi ndani ya EAC, ambayo DRC ni sehemu yake kwa...
  9. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Rais wa China Xi Jinping?

    Xi Jinping huenda kaondolewa kwenye wadhifa wa Mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi chini ya kivuli cha mapinduzi ya Kijeshi. Inasemekana kuwa Xi kapinduliwa kijeshi. Vikosi maalum vya PLA vimekusanyika katika uwanja wa ndege wa Jeshi wa Shenyang chini ya amri ya Li Qiaoming. Xi Hakuwepo katika...
  10. MUTUYAMUNGU

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia kuhusu panya road

    Rais hao panya road wakikamatwa wasiuliwe bali wapelekwe Chunya gereza la Ngwala wakalime na kujifunza mambo mbalimbali yatakaowasaidia katika maisha yao. Gereza la Ngwala halina fence yoyote na wafungwa wanaishi kindugu na kufanya shughuli mbalimbali za uzalishaji. Kwanini gereza halina...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais wa China awekwa katika kizuizi cha nyumbani

    Hizi taarifa sio rasmi sana ila zimezagaa sana huko duniani na kwa sasa kuna taarifa kuwa jiji la Beijing limefungwa, haruhusiwi mtu kuingia wala kutoka na kuna msafara mkubwa wa magari ya kijeshi unaonekana kwenda Beijing.
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

    Habari! Miaka 5 hivi imepita tulikuwa tukikemea mambo fulani mtandaoni. Kitendo cha serikali yenye zaidi ya vyombo sita vya usalama na haki kujichukulia sheria mkononi. Serikali ifuate procedure katika kila zoezi, kama sheria itamtia mtu hatia na kuhukumiwa kuuawa auawe, kama itamfunga jela...
  13. Keynez

    JamiiForums Tanzania Hakuna sababu ya Rais Samia kukaa Msumbiji kwa siku 4

    Habari zenu marafiki na maadui zangu, Cheo cha Urais Tanzania siku zote kimekuwa ni cheo cha 'Rais Mtendaji' na siyo 'Ceremonial President' (msaada wa tafsiri ya Kiswahili). Hata Marais kama Kikwete na Mwinyi ambao kidogo walichukua mlengo wa kuacha mambo yajiendeshe tofauti na Marais wengine...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mageuzi 10 ndani ya Serikali ya Rais Samia yanayo badili sura ya Tanzania Kimataifa

    Historia inaonyesha kuwa orodha ya viongozi mashuhuri Duniani imejawa na watu wanaopenda kufanya mageuzi chanya yenye kuleta mabadiliko. Rais Samia naye ameonyesha kwa vitendo kuwa aina ya kiongozi mwenye kariba hiyo. Haya ni baadhi ya mageuzi yanayotekelezwa kwa weledi mkubwa; 1. Mageuzi...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

    Salaam Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani? Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu. Kiprotocal hii...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Mwakilishi pekee kutoka Afrika aliyekataa kupanda basi ni Rais Sahile Work Zewde wa Ethiopia

    The only African representative who refused to be packed in a bus was the President Sahile Work Zewde of Ethiopia 🇪🇹. She was asked to go by the bus. She said "I won't go like this, I need the same level of respect as others. This has many implication. I have my own Embassy's cars for the...
  17. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Mwaka mmoja tu wa Rais Samia mauzo ya bidhaa na huduma nje yameongezeka kwa US$ 2.8bl Sawa na Shilingi trilioni 6

    Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan, Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Zambia: Rais Hichilema amenuia kuondoa Sheria inayozuia kumtusi Rais

    Rais Hakainde Hichilema ameahidi kushinikiza kutupiliwa mbali kwa Sheria tata inayoharamisha kumtusi Rais, hata hivyo amesema Sheria iliyopo itaendelea kutumika hadi maboresho yatakapofanyika Ahadi hiyo ni kufuatia malalamiko ya Watetezi wa #HakiZaBinadamu ambapo takriban watu 12 wakiwemo...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni msikivu sana kwa Watanzania ndio maana anaendelea kupendwa na kukubalika kwake na Wananchi

    Ndugu Zangu huo ndio uhalisia wa mambo Wenyewe, Ukiona Namna Nchi ilivyo Tulia kwa Sasa na namna mh Rais Samia anavyoungwa mkono na Watanzania wa vyama vyote, Tambua ya kuwa ni sababu ya Tabia ya Rais Samia kuwa msikivu na kumsikiliza kila mtu mwenye dukuduku au kero au mawazo mbadala au...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aliyetutamanisha na Hotuba yake nzuri alipoapishwa ndiyo huyu anayelalamika hali mbaya Kenya?

    GENTAMYCINE ni Mtu ambaye huwa kwa 95% siziamini Hotuba za Marais pale wakiwa Wanaapishwa kwakuwa kwa Uzoefu wangu huwa ni Hotuba ya Asali Tamu kwa Kuiona ila Kimatumizi huwa ni Chungu na Mbaya kwa Mlaji / Walaji. Nimemsikiliza na Kumtizama Rais wa Kenya Ruto katika Mkutano wake wa IGAD na...
Back
Top Bottom