Mheshimiwa Rais kuna UPIGAJI MKUBWA unaenda kufanyika hapa, tunakuomba uwe mkali kama Hayati Magufuli ili fedha hizi tulipwe sasa. Walikudanganya kwamba tungelipwa kufikia Septemba 15, hadi leo hii ni SARAKASI tu zinaendelea.
Mheshimiwa Rais tunakuomba ufike Mwanza na kutoa maelekezo, fedha...
Habari za hapo Moscow Urusi, mimi niko poa kabisa hapa Buza kwa Mparange.
Lengo la kukuandikia barua hii ni kuonesha masikitiko yangu kwa kile kinacho endelea hapo Ukraine.
Mimi Mrusi wa Buza niliwaaminisha watu mtaani kwangu kuwa tunaweza kuichakaza Ukraine kwa siku 3 tu kama ulivyo tuahidi...
Mkurugenzi Mtendaji wa Simba SC, Barbara Gonzalez ametangazwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mashindano ya Vilabu vya CAF na Usimamizi wa Mfumo wa Leseni za Klabu
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameteuliwa kuwa mjumbe kwenye Kamati mbili.
Kamati hizo...
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wake wa Mawasiliano Hussein Mohamed, Rais William Ruto atatoa hotuba yake ya kwanza baada ya kuapishwa kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) leo Jumatano saa 3 usiku katika Jiji la New York, Marekani.
Katika hotuba yake ya kwanza kwa Umoja wa Mataifa, Ruto...
Habari Watanzania wenzangu,
Kuna jambo ambalo naamini viongozi wetu huwa wanalipuuza wakifika kwenye viti hivyo.
Japo Tanzania ina utajiri mwingi sana, lakini Watanzania asilimia kubwa ni fukara sana.
Hii ni kuanzia kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, viongozi wa Taasisi mbalimbali, Majaji, Bunge...
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema anaamini kuwa mwenzake wa Urusi anatafuta njia ya kukomesha vita alivyoanzisha Ukraine, na kwamba "hatua muhimu" itachukuliwa.
Alisema mtazamo wake kutokana na mazungumzo ya hivi majuzi na Vladimir Putin ni kwamba alitaka "kumaliza mzozo huu haraka...
Serikali ya Rais Samia Suluhu iliwekeza kiasi cha TZS 157.8bn/- mnamo mwaka 2021 kwa lengo la kuboresha uwezo wa bandari ya Mtwara ikiwamo kuongeza kina cha bahari ili iweze kupokea meli zinazoweza kubeba shehena kubwa zaidi za mizigo.
Baada ya ujenzi huo kukamilika mapema mwaka huu, bandari...
Mwigulu Nchemba ana ushetani mwingi sana. Hana utu hata kidogo,ana kiburi na mjivuni sana. Suala la kuwakata watu pesa zao zikiwa bank na wanapotoa huu watu wameuchukulia kama ni Unyang'anyi wa Serikali yako kwa wananchi maskini.
Yaani mmeshindwa kukusanya kodi sasa mnachukua kwenye accounts za...
Rais wa Poland Andrzej Duda ameonya mataifa ya Afrika kuwa makini na kile alichokiita sera ya kifalme ya Urusi kutokana na kuongezeka kwa ushawishi wake katika masuala ya usalama na nishati
Amedai kuwa Urusi ilikuwa ikitumia Kundi la Wagner (kampuni ya usalama ya kibinafsi) kama "chombo chake...
Profesa wa Sayansi ya Siasa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mohamed Bakari amekitahadharisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuwa makini na kikosi kazi, kwani kinaweza kuwa njia ya kuchelewesha maridhiano.
“CHADEMA wako sahihi kususia kikosi kazi kwa sababu hakina uhalali wa kisheria...
Kufuatia sintofahamu iliyotokea huko UK ambapo Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameonekana kwenye basi lililoandaliwa kuingiza viongozi wa mataifa mbalimbali kwenye eneo la kuaga mwili wa malikia Elizabeth Il.
Inawezekana tukapiga kelele sana ingawa tukashindwa kuwa na sababu thabiti...
Wanajamvi habarini? Nisiwachoshe sana ngoje nitoe madini kidogo kuhusu itifaki ilitomika kuwabeba vichwa vya dola (Head of states ) huko kwenye msiba wa bi Elizabeth na kuwa ngumzo huko mitandaoni.
Tuanze kwanza kwa kuangalia kitu kinaitwa "order of Seniority and precedence" hii maana yake...
Nafarijika sana napomuona Rais wangu samia anajichanganya. Anafungua nchi sana aisee...
Nimemwona kwenye mwendokasi la huko England akienda msibani kwa Malkia Elizabeth. Afadhali Malkia kafa kipindi hiki. Ingekuwa miaka miwili ago.
Magufuli namjua asingeenda. Hivyo nchi isingefunguka...
Rais wa Marekani, Joe Biden amesisitiza kuwa taifa lake litailinda Taiwan dhidi ya mashambulizi yoyote yatakayofanywa na China.
Hiyo ni mara ya tatu Rais Biden kutoa kauli inayoendana na kuilinda Taiwan ambapo mwanzoni mwa Septemba 2022 Marekani ilipitisha mpango wa kuiuzia Taiwan silaha za...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewasili Jijini New York nchini Marekani ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa (UNGA).
Makamu wa Rais...
Wananchi wameamua kupaza sauti kulalamikia kupanda kwa gharama za maisha kutokana na kuwepo kwa mkubwa wa bei za bidhaa mbalimbali na kumuomba Rais Samia aingilie kati kuwanusuru.
Aibu!
Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.
Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
african leaders
afrika
baada
basi
biden
comments
daladala
kupanda
kwao
london
lumumba
mabasi
magufuli
marais
mataifa
mheshimiwa
mitandaoni
moja
msiba
ndugu
ndugu zangu
nyerere
pamoja
raisrais biden
rais samia
samia
serikali
suala
ufafanuzi
uhakika
uingereza
viongozi
wawakilishi
wazungu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.