rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Sekiete Selemani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Bw. Sekiete Yahaya Selemani, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuanzia tarehe 16 Aprili, 2023. IKUMBUKWE KUWA: Mwanzoni mwa mwaka Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima 'alimshtaki' Mkurugenzi huyo kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia atarajiwa kuwa mgeni rasmi Mei Mosi 2023

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi yatakayofanyika kitaifa mkoani Morogoro. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (Tucta) imesema maadhimisho hayo yatakayofanyika katika Uwanja wa Jamhuri mkoani...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea ujumbe maalum wa Rais wa DRC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi, uliowasilishwa na Mjumbe Maalum Profesa Serge Tshibangu Ikulu Chamwino-Dodoma Aprili 17, 2023. Wanajamvi naamini hii ni “move” nzuri...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Juhudi za Rais Samia zimesaidia kukuza mchango wa sekta ya madini kwenye pato la taifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aliitaka wizara ya madini kuhakikisha wanafanya kazi kubwa kuongeza mchango wa sekta hiyo kwenye pato la Taifa kutoka kutoka 6.7% mwaka 2020 hadi kufikia 10% mwaka 2025. Hadi sasa sekta hiyo inachyangia 9.7 ya pato la taifa...
  5. JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA haipo kumbeba Rais Samia, atabebwa na chama chake

    Dodoma/ Dar. Kufuatia kauli ya mbunge wa Makambako, Deo Sanga ya kuitaka Chadema kutosimamisha mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema watasimamisha wagombea ngazi zote kwa kuwa bado wanapambana na CCM. Mbali na ombi la Chadema...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia elewa wapiga kura wa nchi hii wanahitaji nini kwa sasa

    Nimesoma kitabu cha "Will Propaganda Work in Modern World?" Mwandishi pamoja na mambo yote anasema, "moja ya sifa chanya na bora kwa kiongozi makini ni kujua watu wake wanahitaji nini kwa wakati gani na kwa sababu gani naye huenda na matakwa yao ili kukidhi na kukata kiu yao. Anasema kiongozi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania James Dotto Ngosha 2025 gombea ubunge Chato. Rais Samia atakuteua uwe Waziri wa Fedha

    Alipokuwa katibu wa hadhina mapato yalisimamiwa vyema kwenda consolidated fund. Wewe unaweza kazi kuliko Mwigulu Nchemba. Gombea ubunge Chato ili 2025 upate uwaziri wa pesa.
  8. JamiiForums Tanzania Rais samia aahirisha tena sherehe za muungano, aagiza mikoa ifanye shughuli za maendeleo siku hiyo

    Wakati maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yakisubiriwa hapo Aprili 26 mwaka huu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameahirisha sherehe za gwaride na badala ameelekeza kufanyika kwa shughuli za maendeleo katika ngazi za mikoa. Hii ni...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Mama Janeth Magufuli, picha bora ya wiki

    Katika majukwaa ya kisiasa Tanzania wiki hii pengine picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli wakati wakitoka kwenye Futari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Aprili. 2023 inaweza kuwa picha bora zaidi ya wiki. Mbali...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mariam Ditopile aungana na wana Chamwino kwa Iftar, wamuombea dua Rais Samia

    DITOPILE AUNGANA NA WANA CHAMWINO KWA IFTAR, WAMUOMBEA DUA RAIS SAMIA Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile ameungana na Waumini Mbalimbali Kata ya Dabalo Jimbo la Chamwino Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma katika Iftari na Dua...
  11. JamiiForums Tanzania Siku moja kabla ya mechi, Viongozi wajuu wa Simba na Yanga wakutanishwa Ikulu na Rais Samia, Aprili 15, 2023

    Wapinzania wa jadi Simba na Yanga wakutana kwenye Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam, wa kwanza kulia ni Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Salim Abdallah (Try again) wa pili kutoka kulia pamoja na Mfadhili na Mdhamini wa Yanga, Ghalib Said Mohamed wa pili kutoka kushoto...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia afuturisha Viongozi na Makundi mbalimbali leo Aprili 15, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Kufutarisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim...
  13. JamiiForums Tanzania Wana Dodoma mkiachana na Machinga Complex, ni kipi kingine Rais Samia Kawafanyia?

    Nimekuapo Dodoma hapa Kwa wiki mbili, Wiki Moja nikiitumia kufanya yalonileta, Wiki Moja nikiitumia Kutembezwa tembezwa na Bidada Mmoja wa hapa JF( ubarikiwe Bidada ). Itoshe tu kusema, katika watanzania Milion 61 , Watanzania wa Mkoa wa Dodoma, ni Watanzania ambao wanatakiwa Kila mwaka...
  14. JamiiForums Tanzania Kikosi cha RSF Sudan chaiteka Ikulu ya Rais

    Katika taarifa yake iliyotolewa Jumamosi, RSF imesema imechukua pia udhibiti wa viwanja vingine viwili vya ndege, kwenye mji wa kaskazini wa Merowe na mji wa El-Obeid ulioko upande wa kusini mwa nchi. Tarifa hiyo imeeleza kuwa hatua hiyo imechukuliwa katika kujibu mashambulizi yanayofanywa na...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Chisano ampongeza Rais Samia kuthamini Kiswahili

    Rais mstaafu wa Msumbiji, Joachim Chissano amesema utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, ni matokeo ya juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kuthamini, kukuza na kuendeleza Lugha ya Kiswahili nchini. Alitoa kauli hiyo akiwa mkoani Dares Salaam alipokuwa mgeni katika hafla...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia na awamu ya pili ujenzi wa sekondari za kata zote nchini

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Deogratius Ndejembi, amesema serikali imedhamiria kujenga shule za sekondari katika kata zote nchini awamu ya pili. Alisema shule hizo zitajengwa katika halmashauri zote 184 nchini na kila halmashauri itapata...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi anavunja katiba ya Tanzania?

    Kwa muda mrefu huyu rais anajitambulisha kuwa yupo kwa ajili ya kuukuza uisilamu, rais Mwinyi huko nyuma aliwahi kusema ataongea na rais wa Tanzania kuona jinsi serikali ya Zanzibar inavyoweza kuanzisha mfuko wa Hija kwa waisilamu! Huenda ulianzishwa au la, hata hivyo hilo si jambo analotakiwa...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto afuata nyayo za hayati Magufuli

  19. F

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Rais Mpendwa Samia Suluhu Hassan?

    Sio kawaida kukaa kimya bila kutokea hadharani au kuzungumza Jambo kwetu sisi wananchi wake wapendwa. Huwa anaibuka na Jambo lolote mara moja walau ndani ya siku mbili tunamwona Runingani, mitandani au kumsikia redioni. Mama nimekumiss xaaannahh Mama.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwahi kumfunga kiongozi yoyote kutokana na ubadhirifu kwenye ripoti ya CAG?

    Sifurahishwi na ubadhirifu unaoonyeshwa kwenye ripoti za CAG wala siutetei kwa namna yoyote ile Lakini nataka kusema tuache siasa na unafiki, ama hata ripoti za CAG zinaweza kuwa zinatolewa kisiasa kama tunazijadili kisiasa Kuna baadhi ya watu ambao wamekosa hoja ya kutetea siasa zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…