Dodoma/ Dar. Kufuatia kauli ya mbunge wa Makambako, Deo Sanga ya kuitaka Chadema kutosimamisha mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema watasimamisha wagombea ngazi zote kwa kuwa bado wanapambana na CCM.
Mbali na ombi la Chadema...
Nimesoma kitabu cha "Will Propaganda Work in Modern World?" Mwandishi pamoja na mambo yote anasema, "moja ya sifa chanya na bora kwa kiongozi makini ni kujua watu wake wanahitaji nini kwa wakati gani na kwa sababu gani naye huenda na matakwa yao ili kukidhi na kukata kiu yao. Anasema kiongozi...
Alipokuwa katibu wa hadhina mapato yalisimamiwa vyema kwenda consolidated fund.
Wewe unaweza kazi kuliko Mwigulu Nchemba.
Gombea ubunge Chato ili 2025 upate uwaziri wa pesa.
Wakati maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yakisubiriwa hapo Aprili 26 mwaka huu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameahirisha sherehe za gwaride na badala ameelekeza kufanyika kwa shughuli za maendeleo katika ngazi za mikoa.
Hii ni...
Katika majukwaa ya kisiasa Tanzania wiki hii pengine picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli wakati wakitoka kwenye Futari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Aprili. 2023 inaweza kuwa picha bora zaidi ya wiki.
Mbali...
DITOPILE AUNGANA NA WANA CHAMWINO KWA IFTAR, WAMUOMBEA DUA RAIS SAMIA
Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile ameungana na Waumini Mbalimbali Kata ya Dabalo Jimbo la Chamwino Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma katika Iftari na Dua...
Wapinzania wa jadi Simba na Yanga wakutana kwenye Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam, wa kwanza kulia ni Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Salim Abdallah (Try again) wa pili kutoka kulia pamoja na Mfadhili na Mdhamini wa Yanga, Ghalib Said Mohamed wa pili kutoka kushoto...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Kufutarisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim...
Nimekuapo Dodoma hapa Kwa wiki mbili, Wiki Moja nikiitumia kufanya yalonileta, Wiki Moja nikiitumia Kutembezwa tembezwa na Bidada Mmoja wa hapa JF( ubarikiwe Bidada ).
Itoshe tu kusema, katika watanzania Milion 61 , Watanzania wa Mkoa wa Dodoma, ni Watanzania ambao wanatakiwa Kila mwaka...
Katika taarifa yake iliyotolewa Jumamosi, RSF imesema imechukua pia udhibiti wa viwanja vingine viwili vya ndege, kwenye mji wa kaskazini wa Merowe na mji wa El-Obeid ulioko upande wa kusini mwa nchi.
Tarifa hiyo imeeleza kuwa hatua hiyo imechukuliwa katika kujibu mashambulizi yanayofanywa na...
Rais mstaafu wa Msumbiji, Joachim Chissano amesema utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, ni matokeo ya juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kuthamini, kukuza na kuendeleza Lugha ya Kiswahili nchini.
Alitoa kauli hiyo akiwa mkoani Dares Salaam alipokuwa mgeni katika hafla...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Deogratius Ndejembi,
amesema serikali imedhamiria kujenga shule za sekondari katika kata zote nchini awamu ya pili.
Alisema shule hizo zitajengwa katika halmashauri zote 184 nchini na kila halmashauri itapata...
Kwa muda mrefu huyu rais anajitambulisha kuwa yupo kwa ajili ya kuukuza uisilamu, rais Mwinyi huko nyuma aliwahi kusema ataongea na rais wa Tanzania kuona jinsi serikali ya Zanzibar inavyoweza kuanzisha mfuko wa Hija kwa waisilamu!
Huenda ulianzishwa au la, hata hivyo hilo si jambo analotakiwa...
Sio kawaida kukaa kimya bila kutokea hadharani au kuzungumza Jambo kwetu sisi wananchi wake wapendwa.
Huwa anaibuka na Jambo lolote mara moja walau ndani ya siku mbili tunamwona Runingani, mitandani au kumsikia redioni.
Mama nimekumiss xaaannahh Mama.
Sifurahishwi na ubadhirifu unaoonyeshwa kwenye ripoti za CAG wala siutetei kwa namna yoyote ile
Lakini nataka kusema tuache siasa na unafiki, ama hata ripoti za CAG zinaweza kuwa zinatolewa kisiasa kama tunazijadili kisiasa
Kuna baadhi ya watu ambao wamekosa hoja ya kutetea siasa zao...
Mwanzo mimi ni moja ya watu ambao sikuamini kwamba Rais wetu mpendwa atatuvusha katika utawala wake.
Lakini baada ya kuzitazama tawala zote 6 toka tupate uhuru pengine Rais Samia kwa mtazamo wangu ni Rais mwadilifu baada ya Hayati julius Nyerere.
Ndiye rais ambaye hana makelele na hotuba za...
Vitu vichache vya kipekee vinajionyesha katika bajeti ya Tanzania iliyofanyiwa ukaguzi na CAG. Kwa mfano, kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kwenye miaka ya hivi karibuni, mapato yaliyopatikana yalizidi makadirio ya bajeti.
Kwenye vitabu vyake, CAG ameonesha kwamba ingawa serikali...
Kama alivyokuwa Obama kizazi cha Kenya ndivyo alivyo Biden kizazi cha Ireland na Rishi kizazi cha India.
Rais Joe Biden ataitembelea Ireland na kuzuru maeneo ya kizazi chake.
===
US President Joe Biden will return to his roots in County Mayo on Friday on the final day of his visit to Ireland...
Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said kesho saa 05:00 asubuhi ataongea na Wanahabari kwenye ukumbi wa Wizara TACAIDS Posta.
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.