rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa Nigeria

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Heshima kutoka kwa Jeshi la Jamhuri ya Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja nchini Nigeria tarehe 28 Mei 2023 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia ukijiepusha na hizi dhambi utaingia peponi

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Chini ya utawala uliopita tumeshuhudia matukio mengi ya ovyo yenye kulifedhehesha taifa kwa kiasi kikubwa. Ni katika utawala huo kulikuwa na matukio ya watu wengi kupotea katika mazingira ya utata, na hawajawahi...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Kenya, Ruto anashutumu Wakala wa Kodi kwa ufisadi wakati uchumi ukisuasua

    Rais wa Kenya, William Ruto amedai Watumishi wanaotumika kama Wakala wa Ukusanyaji Kodi kuwa wanajihusisha na rushwa na kushirikiana na wakwepa kodi hali inayochangia uchumi wa taifa hilo kuyumba. Amesema "Ulaghai, kuchukua hongo na ufisadi wa jumla unaendelea kutawala shughuli za KRA (Mamlaka...
  4. JamiiForums Tanzania Vikwazo 5 vinavyomsubiri Ofisini Rais Bola Tinubu wa Nigeria

    Mei 29, 2023, Taifa la #Nigeria, lenye utajiri wa Dola Bilioni 441 GDP na idadi kubwa ya Watu Barani #Afrika (Milioni 223), litashuhudia kuapishwa kwa Rais Mpya, #BolaTinubu na Makamu wake #KashimShettima Pamoja na ukubwa wa Uchumi wake, bado Nchi hiyo imekosa utulivu katika maeneo mengi...
  5. JamiiForums Tanzania Kazi inaendelea chini ya rais Samia. Mwaka 2025 hakuna mbadala wa kuendeleza kazi za taifa hili

    Mwenye macho haambiwi tazama 👇
  6. JamiiForums Tanzania Uhaba wa Dola; Wafanyabiashara wa Kariakoo wamkumbuka Hayati Rais Magufuli

    Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kwa tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo. Wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China...
  7. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2022/23

    Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2022/23 na makadirio ya mapato na matumizi
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Makete Amshukuru Rais Samia Kwa Fedha za Kuboresha Elimu na Taa za Barabarani Makete Mjini

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Makete Festo Sanga ameandika ujumbu wa kumshukuru Rais Samia kwa kujibu kwa vitendo ombi la Wana-Makete la kuboresha zaidi miundombinu ya Elimu pamoja na barabara za mji wa Makete la kuwekewa taa zinazoongeza usalama na kuwezesha kuendelea kwa shughuli...
  9. JamiiForums Tanzania Tujifunze ujasiri wa Zelensky Rais wa Ukraine

    Usipokua mtu wa kuappreciate mambo mazuri wanayoyafanya wenzako ni ngumu sana kujifunza na kufanikiwa Sisi waafrika hatu-appreciate mambo mazuri ya watu wengine ndo maana tuko vilevile, ni rahis sana kwa mwafrika kumuona mwezake amefanikiwa balaa ya ku-appreciate ataanza kumtuhumu ni...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sijapenda kabisa mama kumwondoa Meja Jenerali Mzee madarakani

    Ni majuzi tu kwa mara ya pili mfululizo rais wetu amefanya mabadiliko ya uongozi wa mikoa 3 na wilaya moja. sikufurahishwa kuondolewa kwa meja jenerali Mzee kisa tu anasimamia sheria. Vile vigingi viliwekwa kisheria mbunge anachochea wananchi kwa maslahi yake mkuu wa mkoa alikuwa firm leo...
  11. JamiiForums Tanzania Rais tunaomba CCM tuletee kijana Kheri James nafasi ya Uenezi Taifa. CHADEMA watapiga salute kwa propaganda zake!

    WanaJf, SALAAM! Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi. Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na Uenezi ilikifanya CCM tujisikie raha sana. Kwa hiyo ktk kipindi hiki ambacho vyama vya upinzani...
  12. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli pamoja na kuwa hatunae, Malawi wameandika kitabu kuenzi kazi zake

    Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongoza Kikao Cha Kwanza Cha Baraza la Mawaziri Ikulu Mpya ya Chamwino Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri tarehe 24 Mei, 2023 ikiwa ni Kikao cha kwanza kufanyika kwenye Ofisi mpya ya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tangu kuzinduliwa kwa Jengo hilo Jumamosi tarehe 20 Mei, 2023.
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa hili la Rais Mstaafu wa Marekani kushitakiwa halina ukweli unatupotosha

  15. JamiiForums Tanzania Wizara ya Mifugo na Uvuvi na SUA Kutekeleza Maagizo ya Rais Samia

    WIZARA YA MIFUGO & UVUVI, SUA ZATEKELEZA MAAGIZO YA RAIS SAMIA Kufuatia maelekezo aliyoyatoa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuitaka Wizara ya Mifugo na Uvuvi ishirikiane na Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) kuwawezesha vijana kujiajiri yaanza kutekelezwa baada ya pande hizo mbili...
  16. JamiiForums Tanzania Teuzi za Rais Samia zinavyoakisi dhamira njema aliyonayo kwa Watanzania

    Teuzi za raisi samia zinavyoakisi dhamira njema aliyonayo kwa Watanzania. Kassim mpingi Rufiji -pwani Duniani kote teuzi za kisiasa huwa na kazi kuu mbili, kazi ya kwanza ni shukran kwa kiongozi kwa waliomsaidia ushindi na kazi ya pili kudhibiti mamlaka ya...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia Adai Mahakama Ina Matatizo: Je Ni Nani wa Kuyatatua

    Jana akiapisha Majaji aliowateua kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani, Rais Samia alisema "Kuna Tatizo Mahakama" Jaji Prof Ibrahim Juma, kiukweli kazi ya u-CJ ni kubwa kuliko uwezo wake. Haya yalikuwa ndiyo mauteuzi ya Magufuli. Huyu CJ ukimfuatilia siku zote ni mtu wa kulalamika kama mtuhumiwa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usipoangalia mambo mengi ktk Serikali yako kwa jicho la tatu njia itakuwa na miiba mingi sana...

    Mh Rais Samia Shikamoo. Hongera kwa kazi ya ujenzi wa Taifa la Tanzania. Pia Hongera kwa kuwa Rais wa kwanza Mwanamke sisi kama watanzania tunajivunia kwa kuwa hii inadhihirisha Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama pamoja na katiba yetu vipo imara. Rais sijasomea kutoa ushauri kwa viongozi...
  19. JamiiForums Tanzania Tumwombee heri Hayati Rais Magufuli ili apumzike vema dhidi ya haya majitu yanayolitafutia laana Taifa

    Karma is real and her other name is a bitch, nawaza hivi hawq vichwa maji wenye Imani za Freemasons ni wapumbavu kiasi kwamba pamoja na uzee wao hawaoni umuhimu wa utengamano na mshikamano wa kitaifa. Magufuli alihimiza sana maombi, akazikwa kwa kejeli, maiti ilizungushwa kwa kusherehekea, sasa...
  20. JamiiForums Tanzania Mnaomshauri Rais juu ya Ikulu mpya Chamwino muogopeni Mungu

    Katika nchi yoyote, Ikulu is one of the most, if not the most secure premise. Maana hapo ndio ofisi za madaraka ya juu kabisa. Pamoja na kupongeza ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino, nimeshangazwa sana na mapendekezo mapya ya majengo ya huduma. Pengine kama sijaelewa maana yake. -Kutakuwepo na jengo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…