rais

  1. britanicca

    JamiiForums Tanzania Hypothetically, Rais akiangalia tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva taswira yake inakua imechafuka?

    Naona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ? Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli? Britanicca
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Rais kila neno lake tekelezo, msipo angalia anaweza kuua nchi

    Nimesikitika pale raisi unaposema wanaokosoa kuwa ni magaidi ni kwamba hata huu utekaji ni maagizo yako kwa wanaokukosoa. Hapa neno gaidi sasa limeshakuwa wakosowaji na wanaharaki lolote la kuwatokea wewe ndio umepitisha.
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usihangaike na maridhiano, hawa hawakutaki tu kwa sababu zao

    Walikukataa hata kabla hujawa Rais. Hawakutaka uapishwe kuwa Rais baada ya kifo cha Rais Magufuli, hawakutaka ugombee nafasi ya urais, hawakutata uchaguzi ufanyike. hata baada ya uchaguzi hawakutaka uapishwe na hata baada ya kuapishwa hawataki uongoze nchi na nchi isitawalike. Maridhiano nao...
  4. Mnandi Jr

    JamiiForums Tanzania Huu ndio uhalisia, hakuna rais atakae maliza matatizo ya Tanzania

    Salam. kumekua na matumaini kwa baadhi ya watu wengi kua siku nchi yetu ikipata kiongozi mwingine(hasa kutoka chama tofauti), matatizo ya tanzania yataisha. Ukweli ni kwamba, hakuna rais atakae maliza matatizo yote kwenye taifa, iwe hapa tanzania au kwengineko ulimwenguni. kwanza, baadhi ya...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ni kweli? Kwamba rais Samia alishuhudia live akizomewa na mashabiki wa bongofleva.

    Kwamba alitaka kuongea na na Mwana FA na mashabiki wakagoma na kuzomea huku anaangalia laivu.👇
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mainstream Media za Tanzania zimepuuza kuripoti suala la Anthony Mtaka kutangazwa Rais wa TOC na IOC/ANOCA?

    Ni Bashite aliye nyuma ya hili nn??… Maana Kwa FAIDA ya Media, hii ni HABARI kubwa ambayo ingepelekea kupata Wafuatiliaji wéngi sana na Watu wangetaka kujua nn kilichotokea??. Lkn Media zimejifanya hazilioni hili
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tuzo za Rais za Walipakodi Bora, Zijenge Utamaduni wa Uaminifu, TRA Watoze Kodi Halali, Wananchi Walipe Kodi Halali, Serikali Itumie Kodi Kihalali

    Wanabodi, Hii ni makala yangu gazeti la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/uchambuzi-wa-mayala-tuzo-za-walipa-kodi-bora-nchini-zijenge-utamaduni-wa-uaminifu-5520694 Paskali
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Kipekee sana Rais Samia anaweka alama nyingine ya maendeleo nchini kwa ujenzi wa shule 103 za Amali

    Hii ni historia nyingine muhimu sana kwa Rais Samia kwa kuweza kufanyia kazi wazo la kimaendeleo katika huduma za jamii. Ukiondoa alama nyingine muhimu sana ya ujenzi wa majengo ya huduma za dharura yaani Emergency Medicine Departments katika vituo zaidi ya 100 vya huduma za afya leo hii...
  9. venchwa

    JamiiForums Tanzania Samia Hakufaa si tu kuwa Rais bali hata uwaziri hawezi

    Yote haya ni kuokota okota tu watu kushika nafasi Uzuri wangu si Mekko wala Samia amewahi niongoza nimetoka Tanzania 2015 Mwishoni , Ila kupitia watu wanaoishi Tanzania na Wengine ni wakubwa serikalini wanavyolalamika chini chini huyu Mama hafai kabisa Kataa kubaki huo ndo ukweli, Full...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Baada ya kumshukuru Mungu huwa namshukuru Rais Samia kwa kunipa fursa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast amesema; "Chama kikubwa kama CCM hata nafasi ya kuwa mjumbe wa kuandika ilani, hilo ni jambo kubwa sana. Sasa mimi sikuwa tu mjumbe, Kitila Mkumbo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wananchi hawaitaji vurugu. Kwenye Siasa za chuki na mivutano maendeleo hutoweka

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema wanahitaji amani, usalama na utulivu. Shauku ya wananchi wote bila kujali vyama vyao ni kuona serikali ikiwapa huduma bora za kijamii huku akisitiza siasa za chuki na mivutano ya kisiasahukwamisha maendeleo ya nchi. Amesema hayo leo Julai 9, 2026, wakati wa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Maridhiano baina CCM na ACT Wazalendo - Julai 9, 2026

    Hii hapa: Jambo Tv https://www.youtube.com/watch?v=44nfO46PvfU
  13. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Makonda ndiye ameamua kumchagua Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania?

    Nimeona taarifa za malalamiko toka Z'bar. Nimeona tena taarifa ya maandishi toka kwa mjumbe wa Bara. Wote wanasema Mshindi wa nafasi alikuwa Antony Mtaka, badala yake kapewa mtu aliyepata kura moja, kwa amri ya Makonda. Nasema hivi kama tumefikia hatua hii, kwamba tuna mawaziri hovyo kiasi hiki...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anaaminika Sana Kwa Watu walio Mzunguka Ikulu na Kwa Wananchi na ndio Maana hakuna Uvujaji wa Siri Kwenda Kwa Wanaharakati Na wasaliti

    Ndugu zangu Watanzania, Hakuna kipindi na wakati wanaharakati,Maadui zetu na wasaliti wa Taifa letu wanahangaika kupata habari za kweli kutoka Ikulu kama kipindi hiki. Wanahaha sana kutafuta habari ili wachapishe kwenye kurasa zao za mitandao ili kuleta taharuki na uchonganishi. Ni Katika...
  15. USSR

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Dkt Mwigulu Lameck Nchemba awasili Ufaransa kumwakilisha Rais katika siku ya Kiswahili

    WAZIRI MKUU AWASILI UFARANSA KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Paris, Ufaransa leo, Julai 6, 2026, kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awajulia hali Pacome Zouzoua wa Yanga na Mlezi wa ACT Wazalendo, Sheikh Rashid Hamad Othman

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Sheikh Rashid Hamad Othman, Mlezi wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam. Akiwa hospitalini hapo Rais Dkt...
  17. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tumempata Rais Mzuri anayejali masilahi ya watanzania lakini bado chadema wanaendekeza dysfunctional politics nchini hopeless kabisa.

    Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameonyesha dhamira ya dhati ya kuboresha maisha ya mtanzania lakini michadema Bado inaendekeza siasa chafu, Mh. Rais alipoingia madarakani alipandisha watumishi mishahara akalipa malimbikizo, wastaf wakalipwa Hela zao kwa muda mpaka sasa wanapata Hela kwa muda...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini waislamu hawalalamiki mkatoliki Magufuli kumfanya Rais Samia?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Zama za marais wakristo, waislamu walizoea kusema huu ni mfumo kristo. Ila baada ya kuingia mwenzao, hawataki tuseme huu ni mfumo islam! Washukuru mkristo Magufuli alimfanya muislam Samia tena mwanamke wa kwanza kuwa rais. Je, hili. hawalioni au ni ukosefu wa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anawaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Dar es Salaam | 01 Julai, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=k_vjhqNEwi4&pp=0gcJCU4LAYcqIYzv Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwaapisha Viongozi Wateule, 01 Julai, 2026, Ikulu Dar es Salaam.
  20. F

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea katika siku ya gawio rais apokee gawio kutoka TANESCO, TTCL, ATCL, TRC ambao hawakutoa gawio na sio yeye kupewa tuzo.

    Siku ya kutoa gawio kwa serikali ni siku ambayo rais alipaswa kuichukulia kama accountability day kwa mashirika yote ya Umma. Ni siku ambayo mbivu na mbichi zinapaswa kuanikwa na pengine watu kuchukuliwa hatua kwa kutotoa gawio lolote. Lakini katika siku hiyo mwaka huu TANESCO, TTCL, ATCL, TRC...
Back
Top Bottom