Itakuwa poa sanaUtasemaje hayo yakitokea!?
Mara paaap Nchimbi yuko na Lissu kwenye madai ya Katiba Mpya!
Thubutuuu...! Hawataki hata kuusikia uzao wa mwambaMara paaap Dotto Magari ndiye Makamu wa Rais
Kuna watu watatu amboa naona watafaa: ama mboye ama wassial au bashiteUtasemaje hayo yakitokea!?
Mara paaap Nchimbi yuko na Lissu kwenye madai ya Katiba Mpya!
Mara paaah Shilole aka Shishi Baby kaukwaa umakamuMara paaap Dotto Magari ndiye Makamu wa Rais
Mara Paa TAL ndiye no2!Utasemaje hayo yakitokea!?
Mara paaap Nchimbi yuko na Lissu kwenye madai ya Katiba Mpya!
Mara Paa Yule wa kigoma mjini🤸Mara paaaaap Yeriko Nyerere makumu wa raisi
Watu wataimbia Yesu ni moto...Utasemaje hayo yakitokea!?
Mara paaap Nchimbi yuko na Lissu kwenye madai ya Katiba Mpya!
Na kwa Katiba hii na uzombie wa maccm akiamua hivyo mwenyekiti wao ambaye pia ndiye rais(haramu) hakuna atakayepinga.Mara paaah Shilole aka Shishi Baby kaukwaa umakamu
UtopiaUtasemaje hayo yakitokea!?
Mara paaap Nchimbi yuko na Lissu kwenye madai ya Katiba Mpya!
Ndio yatakuwa maridhiano hayo.. ila hilo likitokea, TAL inabidi ajiunge na MbogambogaMara Paa TAL ndiye no2!
Tunaenda kupata makamu wa Rais wa kwanza Mwanamama.
Kamwe TAL kujiunga na mashetani haiwezekaniNdio yatakuwa maridhiano hayo.. ila hilo likitokea, TAL inabidi ajiunge na Mbogamboga