rais

  1. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Rais wa Argentina akataa kwenda kuangalia mechi ya fainali ya nchi yake na Spain sababu hakwenda kuangalia mechi za mwanzoni

    Rais wa Argentina, Javier Milei, amesema hatahudhuria fainali ya Kombe la Dunia itakayozikutanisha Argentina na Uhispania, akieleza kuwa uamuzi huo unatokana na imani yake. Akizungumza kuhusu mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na mamilioni ya mashabiki duniani, Milei amesema hataki kubadili...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Rais tuma timu ichunguze Hifadhi ya Wanyamapori Uyumbu (Tabora), Mwekezaji 'amewaweka mfukoni’ watendaji, Wananchi hawanufaiki

    Ndani sintofahamu na mivutano ya kiutendaji imekuwa mingi katika Hifadhi ya Wanyamapori Uyumbu ambayo inasimamiwa na Jumuiya ya Uhifadhi wa Wanyamapori ya Uyumbu (WMA) Wilayani Urambo, Tabora. Kwa ufupi kuna matumizi mabaya ya madaraka na uingiliaji wa majukumu ya taasisi hiyo unaofanywa na...
  3. USSR

    JamiiForums Tanzania Kiluvya: vitisho na matumizi ya nguvu katika ukusanyaji pesa za ujenzi wa barabara Mh Rais Diwani wa kiluvya anakuchonganisha na wananchi wako

    YAH: OMBI LA UCHUNGUZI WA TUHUMA ZA UKUSANYAJI WA FEDHA KINYUME NA UTARATIBU KATIKA KITONGOJI CHA MAKURUNGE, KATA YA KILUVYA – WILAYA YA KISARAWE Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kwa heshima kubwa, sisi baadhi ya wananchi wa Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya, Wilaya ya...
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi atembelea Banda la GF katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea banda la kampuni ya GF katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), wakati wa hafla rasmi ya kufunga msimu wa maonesho ya mwaka 2026. Katika ziara hiyo ya heshima...
  5. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kwanini rais Samia hataki kuzifuata nyayo za Ml. Nyerere na rais Mwinyi atufafanulie.

    Barabara ya kurukia ndege haina konakona, Rais amesema atafuata nyayo za Rais Mkapa, Kikwete na Magufuli, sasa kwanini hataki kufuata nyayo za watangulizi wa mwanzo yaani Ml. Nyerere na A.H. Mwinyi!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Rais Samia Suluhu

    Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema: “Tutasaidiwa kuiharibu nchi yetu, lakini hatutasaidiwa kuijenga tena. Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kuilinda.”
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nimepita Leaders club, hivi Makonda kamshauri Rais pajengwe kitu gani?

    Hii nchi ni una mataila, Nimepita Leaders club, nmekuta kinachojengwa ni ushuzi mtupu, nauliza naambiwa ni maandalizi ya Afcon real? Rais kashauliwa na kashaulika real? Makonda Makonda kumanyokooo
  8. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wahaya, wanasemaga: Bagambila Balinsi baliguru kuurila, Rais Samia Prof Tunakiuka Sio kichaaa msikilize

    Nataka imfikie mh Raisi, wa Tanzania najua ikulu inayo wahaya, wamtafsillie ILA kwa ufupi Prof Tibaijuka Hana Deni.
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hotuba za kishujaa za Rais Dr.Samia S.H., zinahamasisha uzalendo na utayari wa kupambania taifa letu kijasiri dhidi ya maadui wa amani ya taifa letu.

    Ni hotuba ambazo ni za kipekee sana, za kizalendo na kijasiri mno, ambazo kwa kiwango cha juu sana zinahamasisha uzalendo na kufanya waTanzania wote kua tayari kulilinda taifa kwa wivu mkubwa, kwa nguvu zote na gharama yoyote ile. Asante sana Dr Samia Suluhu Hassan kwa uzalendo wako na kwa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sijawahi Kusaini Mtu Kunyongwa

    Ndugu zangu Watanzania, Hofu Iliyo ndani Ya Kifua Cha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri Muongoza njia. Imemfanya Kushindwa kabisa kuweka saini Yake ya kuidhinisha...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad ana Mawasiliano na Mossad ya Israel!!

    HABARI MPYA: Mossad ilijaribu kumgeuza mmoja wa maadui wakubwa wa Israeli kuwa mali yake kubwa zaidi. Kulingana na New York Times, Israeli ilitumia miaka mingi kujaribu kumsajili Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad kama mali ya kijasusi, ikiwa na mpango wa kusaidia kuangusha utawala wa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia na Lawama za "Mkono wa Nje": Kwanini Mchawi wa Maendeleo Yetu Yupo Ndani ya Mifumo Yetu

    Utangulizi Katika ulingo wa siasa za kimataifa na diplomasia ya kiuchumi, maneno ya viongozi wakuu wa nchi hubeba uzito mkubwa sana. Hivi karibuni, kumeibuka mjadala mpana nchini unaochochewa na hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika hotuba hiyo, Rais...
  13. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kutumia "Mama Samia" kila mahali inachosha.

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema matumizi ya jina 'Mama Samia' katika kila sekta haileti picha nzuri badala yake yatumike pia majina ya watu wengine waliofanya vizuri nchini.
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nilishamsikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja anasema sisi yoyote anayeendelea kimaendelea kwa kasi huyo ni adui yetu

    Rais Samia anasema kuwa "Nilishamsikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja anasema sisi yoyote anayeendelea kimaendelea kwa kasi huyo ni adui yetu"
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwalaghai na kuwalisha Sumu Vijana ili wahujumu Uchumi wa Nchi zao

  16. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwaaminisha vijana wa Kiafrika kuwa serikali zao hazifati haki za binadamu

    Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
  17. R

    JamiiForums Tanzania Adv. Madeleka: Hakuna Jaji anayeweza kuwa huru kama alikuwa msaidizi wa Rais. ~ 50% ya majaji walikuwa mawakili wa serikali. Hawawezi tenda haki

    Sikiliza shule ya haki with regard to our Judges. Huwezi kutenda haki kama uliteuliwa na Rais kuwa Jaji. Majaij duniani kote wanaomba kazi ya Ujaji kwa kupitia well regulated strict interview. Msikilize Peter Madeleka, Wakili
  18. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Rais wetu kipenzi mstaafu mh. Jakaya mrisho Kikwete.

    Ndugu zangu, ni wapi alipo Rais wetu wa awamu ya nne. Mh. Jakaya Mrisho Kikwete? Hakuna kipindi ambacho wapinzani waliinjoi kama kipindi cha Kikwete. Walizoa wabunge wengi sana madiwani na wenyekiti wa vijiji. Maisha ya wapinzani yalianza kuwa magumu pindi tu alipokaa pembeni Mh. Kikwete...
  19. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kipi kitatokea endapo Mh Rais Dkt. Samiah asipofanya maridhiano na mtu yoyote mpaka muda wake uishe?

    Naomba mnieleweshe, kwasababu naona kabakiza miaka minne amalize muda wake, mwaka wake wa kwanza umekaribia kuisha hajaenda ziara yoyote nothing new, licha ya kelele zote za watu miaka inazidi kwenda tu, lipo kundi la watu wachache wanaompenda na kumnyenyekea kufa, kwanini hajishughulishe na...
  20. britanicca

    JamiiForums Tanzania Hypothetically, Rais akiangalia tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva taswira yake inakua imechafuka?

    Naona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ? Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli? Britanicca
Back
Top Bottom