Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa nyaraka za kazi kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka mara baada ya kuwasili katika Ofisi yake Ikulu Chamwino, akiwa tayari kuanza rasmi majukumu yake baada ya kuapishwa.
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwahakikishieni ya kuwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya...
Kama anathubutu kusema walio andamana ni watu kutoka nje ya nchi kwa maana hiyo kazi ya kulinda taifa imemshinda, kama watu zaidi ya millions walio andamana mikoa yote sio watanzania je wameingia kwa njia gani hapa tanzania
Pia ametumia njia gani kugundua kuwa sio watanzania na anchukua hatua...
Tangazo kwa umma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Hamza Saidi Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Bw. Hamza Saidi Johari ataapishwa kesho kutwa Jumatano tarehe 5 Novemba, 2025 saa 4:00 asubuhi Ikulu Chamwino, Dodoma.
Imetolewa na...
Mochwari zimejaa maiti za Watanzania ambao wamekufa kutokana na uchaguzi ambao wao waliamini hufai kuwa kiongozi wao.
Wanalalamika mitaani kuwa wewe na Familia ya Kikwete na wenzako Kama Angela Kiziga ndio mnanufaika na kodi za taifa hili.
Utawahudumia nini hawa Watanzania ambao ndugu zao...
1. Waziri wa Elimu anastahili kuendelea.
2. Waziri wa Maji anastahili kuendelea.
3. Waziri wa Kilimo anastahili kuendelea.
4. Waziri wa Tamisemi anastahili kuendelea.
5. Waziri wa Jinsia anastahili kuendelea.
6. Waziri wa Fedha anastahili kuendelea.
7. Waziri wa Mambo ya ndani anastahili...
Huyu rais wa Zambia aliyeingia madarakani kama mwanademokrasia wa mfano kwa nini sasa hivi amebadilika sana na kuwa mtu asiyejali tena demokrasia wala haki?!
Kuna wakati alikataa hata kwenda kwenye uapisho wa Mugabe kwa sababu uchaguzi uliibwa na haukuwa wa demokrasia ila kwa sasa anawaona...
Ndiyo, wewe hapo kwenye hiyo picha.
Wewe siyo rais.
Hujashinda uchaguzi wowote ule na unalijua hilo na kila mtu analijua hilo.
Hujapigiwa kura na watu milioni 31.
Hujapata 97.6% ya kura zilizopigwa kwa sababu hakuna kura zilizopigwa.
Hilo unalijua kabisa hata ujikaushe namna gani.
Huna...
Wanabodi
Hebu msikilizeni huyu jamaa, Mkenya anaitwa Rodgers Kaka Sungura
https://youtu.be/FFVNsTEI690?si=g-1g15frbAOn6yYz
Anatema uongo kumhusu Rais Samia, Anamtukana na kumuita Dikteta Iddi Amini Mama, amemtukana Rais wake Ruto kuwa ni Dikiteta Iddi Amini Baba, na kusema Uganda kulikuwa na...
Katika siasa za Tanzania, msemo maarufu wa Jakaya Kikwete, Rais mstaafu wa nchi hii, "Akili ya kuambiwa changanya na zako" unatoa tafsiri ya kina kuhusu umuhimu wa kusikiliza na kujenga maelewano. Hii ni msemo inayosisitiza kuwa ni muhimu kutafuta ushauri na mawazo mengine kwa lengo la kuboresha...
30 October 2025 | Unguja, Zanzibar
Dr. Hussein Ali Mwinyi azoa kura 448,892 uchaguzi wa 2025
Huku mpinzani wake mkuu Othman Masoud Othman almaarufu OMO wa ACT Wazalendo akipata kura
139,399
ZEC imemtangaza Dk Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Braza la Mapinduzi ya...
Mgombea wa Urais UDP anasema ameshamaliza kuoiga kura na anaamini kutokana na uhamasishaji waliofanya basi mapema kabisa anaingia Ikulu. Anatoka mwanamke Samuya, anakuja yeye Saumu.
Haya yote yanaendelea wakati maandamano yanazidi kushika kasi na mtandao ukiwa umekatwa nchini Tanzania.
Huyu na...
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Hapa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge akizungumza na...
Ndugu zangu nawasalimu nikitokea kupiga Kura kwa Kitambulisho changu cha NIDA. Hapa nawaletea orodha ya viongozi na Watu Maarufu watakaouhudhuria Uapisho wa Rais (Mteule) hapo November 2025.
1. Dr William Ruto (PhD),
2. Yoweri Museveni,
3. Paul Kagame,
4. Paul Biya,
5. Felix Tshisekedi,
6...
Mwanza imejitokeza kumpokea mgombea Urais Samia Suluhu Hassan ikiwa ni nembo ya kukubalika nchini.
Wapinzani wengi wa Samia walipambana kuitenganisha Kanda ya ziwa na Samia lakini imekuwa tofauti na kila la kheri kesho asubuhi na mapema kazi itakuwa imeisha.
Watangazaji waandamazi wa Clouds Redio wakijibu swali linalouliza Je, ukipata nafasi ya kuwa rais kwa saa 24 ungetamani kufanya nini au ungebadilisha kitu gani? binafsi nimependa REFORMS na katiba mpya.
Imepangwa kwa makusudi kwamba siku ya uichaguzi rais atakuwa Zanzibar. Kama ni kweli ni kuogopa usalama wa Bara, hili nalo ni jambo la ajabu kwa sababu majeshi yanayolinda nchi, bara na visiwani yako chini ya mkuu mmoja.
Yawezekana ni kuogopa maandamo, lakini ni hakika kwamba visiwani wao...
Rais wa Cameroon, Paul Biya mwenye umri wa miaka 92, ambaye ni mkuu wa nchi mzee zaidi duniani, ameshinda tena uchaguzi wa urais kwa muhula wa nane, kwa mujibu wa matokeo rasmi yaliyotangazwa leo Oktoba 27, 2025 na Baraza la Katiba
Soma pia Rais Paul Biya anaongoza kwa 53% Matokeo ya awali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.