Nchi hii, pamoja na mapungufu mengi, hatujawahi kuwa na ugomvi au uhasama wa kidini. Ndiyo maana kuna watu utasikia anaitwa Abel Abdalah, wengine utamsikia akiitwa Petro mume wake Khadija, au Abdallah mumewe Rozaria. Nilipoenda kumtembelea rafiki yangu bruda Peramiho, nilishuhudia shekhe...
Kumbe adabu inaweza kuletwa kabisa,
Nitafutie nyuzi Tano (5) au Press Za watu wa 5 machawa tofauti tofauti ambazo wamezungumza hivi karibuni after kile kitimu timu cha Mo29 halaf nionyeshe kama wanaita tena lile jina la Mama, Mama, Mama.
Jana tu Masheikh wamesema sana ila Title iliyokua...
Ni dhahiri watanzania kwa sasa ni yatima ni wapweke hawana msaizidizi wa kuwasemea wala kuwasaidia ni bora tujipambanie wenyewe maana sisi ndio wakazi wa nchi hii ni yetu hii wengine hao wanajiandalia makazi nje ya nchi hivyo hata wakiharibu hawajali
19 November 2025
Lusaka, Zambia
Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi awasili Zambia
Kushiriki utiaji saini wa makubaliano ya ufufuaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania – Zambia (TAZARA)
Makamu wa Rais wa Tanzania, John Nchimbi, amewasili nchini Zambia kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
Vyombo vya...
Kuna watu wamejaliwa kipaji Cha utambuzi kwa kutumia jicho la tatu katika kufahamu nia na dhumuni la mtu wakati anapozungumza au anapotenda na kipaji hiki mara nyingi unakuwa ni uwezo wa ndani alionao mtu na mara nyingine mwenye uwezo wa namna hii anapoyasema ya namna hii anaonekana ni kichaa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 amesema kuwa Uchaguzi wa Rais Samia ni matusi kwa watanzania akilinganisha na chaguzi zilizopita 2015 kati ya Hayati Rais John Pombe Magufuli na Hayati edward Lowassa na chaguzi ya 2020...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 ameituhumu Serikali iliyopo madarakani ya Rais Samia kuwa ndio iliyo ratibu na kuasisi Mauaji, utekaji na ubakaji kwa matukio yaliyotokea na yanayotokea nchini
Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa Lissu alishambuliwa Dodoma, lakini TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika...
hata chatgp imekataa kwa nguvu zote
mimi pia naungana na CHATGPT kukataa,
nchi ya Tanzania imejaaliwa rasilimali nyingi sana mpaka baadhi ya nchi wanatamani wawe kama sisi
tumejaaliwa kila aina ya utajiri baadhi naorodhesha hapa chini
Tukianza na rasilimali tulizojaariwa hifadhi na mbuga...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 18, 2025 akiwa katika hafla ya uapisho wa baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma ameshindwa kujua idadi ya wabunge ambao wapo katika Serikali yake
Rais Samia akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Chamwino - Novemba 17, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara 27 na kuteua mawaziri 27 na naibu mawaziri 29 aliowatangaza leo tarehe 17 Novemba, 2025 kama ifuatavyo:-
1. Ofisi ya Rais -...
Baada ya uchaguzi ulioangaliwa kwa karibu na kukosolewa na wengi,.. ambapo "tume huru" ya uchaguzi ilimtangaza na kumrudisha madarakani Rais Samia kwa kura takribani asilimia 98, Watanzania wengi wamekuwa wakijiuliza jambo moja: Ni lini kiongozi mkuu wa nchi atarejea mikoani kuwashukuru...
Nimeiona video ya kada huyu wa CCM mfukuzwa ikidai kuwa watanzania wataandamana mpaka Samia aachie urais.
Je, anamaanisha kweli? Kuwa kitendo cha kikwete kumpitisha rais Samia kwenye mkutano mkuu bila endorsement ya wanachama kimeleta mpasuko ndani ya CCM?
Kwa Maslahi mapana ya nchi na utulivu uliopo uendelee japo kwa mbinu, ingawa wote tunajua amani ni matokeo ya HAKI
Wito wangu kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan jioni ya tarehe 8 December hutubia nchi mama tuna watoto wazee na wake zetu
Mbona Jacob Zuma aliwah kufanya hivyo akawasuprise wasouth...
Rais wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa nchini Comoro (Chambre anti-corruption) Bi Fahamoue Youssouf akiambatana na maafisa wake amewasili Dar es salaam kwa ziara ya kikazi kwa mwaliko wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) Ndugu Crispin Chalamila.
Ziara...
Wakuu vyombo vyetu vya habari ni vimepigwa ganzi! Wasomi wamepigwa ganzi! Nawaelewa maana nchi hii kupotea ni dakika.
Juzi rais anasema amewasamehe walioshtakiwa! Kimsingi rais hana mamlaka ya kusamehe washtakiwa/watuhumiwa.
Prerogative of mercy ambayo rais anayo ni kwa watu...
Kwanza niwapongeze watanzania majasiri waliofichua siri zilizofichwa ili kumlinda Samia na genge lake.
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataona haya mambo halafu aendelee kumuheshimu Samia. NIKIWEMO MIMI!
Nimeona videos namna watanzania wenzetu walivyouawa na kulundikwa kama magunia ya...
Solution to this ni kidai Katiba pendekezwa ya Warioba. Short of that kuna mauaji mengine yanakuja.
TEC wameliweka vema kabisa katika waraka wao, la Katiba mpya na watawala kuwasililiza wananchi. Hatuna haja ya D9, "Rais" Samia tekeleza yakupasayo, na kweli itakuweka HURU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.