rais

  1. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango atoa msimamo wa Tanzania UN

    Tanzania imeunga mkono juhudi za kulinda amani ikitoa wito wa ushirikiano wa kimataifa katika kipindi ambacho mataifa mengi yameonyesha wasiwasi kuhusu kupotea kwa amani katika jumuiya ya kimataifa. Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango amelieleza Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wakati...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia nikodie 'Chopper' ikakite Kambi Anga la Pwani ( Chalinze na Bagamoyo ) ili nikague Maji ya Mto 'yaliyochepushwa' kwenda Mashambani

    Halafu GENTAMYCINE nawaombeni tafuteni Uongo Mpya kwani huu wa kusema kila Siku kuwa Mvua hazipo hivyo Mito haijazi Maji katika Mabwawa ya Umeme ndiyo maana sasa Tanzania ( hasa Dar es Salaam ) kuna hii Kata Washa na Washa Kata umeshapitwa na wakati sawa? Endeleeni tu kutuona kila Siku kuwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kipi kilichomvutia Rais Samia kumpa Biteko Unaibu Waziri Mkuu?

    Kihistoria watu wote waliowahi kupata Unaibu Waziri Mkuu cheo ambacho si cha kikatiba bali huja tu kwa utashi wa raisi aliyepo madalakani, ukiwaona na kuwatathimini unagundua kwamba walikuwa na kitu cha ziada, ambacho kinaleta kishindo kikubwa Kwa kiwango cha kutikisa baraza zima la mawaziri...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia athibitisha uhusiano wake na Waziri Mchengerwa

    Kama ulikuwa unasikia tu basi leo Rais Samia Suluhu Hassan amethibitisha uhusiano wake na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mohamed Mchengerwa. Mara kadhaa imekuwa ikizungumzwa kuwa wawili hao ni mtu na mkwewe lakini hakuna kati yao aliyewahi kuzungumzia hilo. Akiwa safarini leo Septemba...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge asema mbele ya Rais Samia kuwa Umeme umekatika mara 21 ndani ya siku mbili

    Rais samia akiwasalimia Wananchi wa Somanga akiwa njiani kuelekea Jijini Dar es Salaam https://www.youtube.com/watch?v=3F82U8xtIb4 MBUNGE: UMEME UMEKATIKA MARA 21 NDANI YA SIKU MBILI Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Francis Ndulane akielezea changamoto ya umeme kukatika katika Jimbo hilo na...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Rais Samia unawaonesha kwa vitendo wasemaji wa ovyo ovyo, vizabi zabina

    Akiwa kwenye sherehe ya uzinduzi bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko, Waziri wa Uvuvi amerusha mawe kwa raia wote waliokuwa wanapinga uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam wakidai kwamba kwa uwekezaji ule basi nchi haitoweza kuendeleza bandari nyingine yoyote.Amewaita raia hao vizabina Nanukuu "Wako...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kipande cha neno la shukrani kwa Rais Samia kutoka kwa mnufaika wa boti za uvuvi Lindi, atakuwa anajua hata mwani ukoje kweli?

    Mmoja ya wananchi aliyechaguliwa kutoa neno la shukrani kwa Rais Samia, baada ya Rais kukabidhi boti za uvuvi, ikiwemo boti za mwani mkoani wa Lindi leo tarehe 19/9/2023.
  8. JamiiForums Tanzania Kufutwa kwa leseni ya utafiti wa madini pl/6973/2011 iliyokwisha muda mwaka 2020, baada ya agizo la Doto Biteko kupuuzwa

    Wananachi wa Kijiji cha Itumbi, Kata ya Matundasi, kwa ujumla wao, wakishirikiana na wachimbaji wa madini wadogo wanaomba Mh Waziri wa Madini kupitia Tume ya Madini , kuifuta leseni ya utafiti PL 6973/2011 inayomilikiwa na kampuni ya Dondoro Minerals Limited. Leseni hiyo ya utafiti...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa yupo kwenye "Mchezo wa kutunzwa" maendeleo, tutamtunza

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ‘Mcheza kwao hutunzwa’ hivyo ni lazima Serikali ipeleke maendeleo Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi ili kumtunza kwa maendeleo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo hilo kwakuwa kazi yake ya kuwatumikia Watanzania ni kubwa hivyo...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu anazo sifa za kuwa Rais wa Tanzania?

    Rais wa nchi yetu awe na sifa zipi? Je, ni nani anazo sifa nyingi za kuwa Rais ajae? Je, Tundu Lissu anazo sifa hizo pia?
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia arudisha matumaini Mbarali

    Ni kuhusu mgogoro wa ardhi katika eneo la Bonde la Mto Usangu. Akubali Wananchi kuendelea kulima Na MWANDISHI WETU, Mbarali MAKAMU Makamu Mwenyekti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahaman Kinana amewaambia wananchi wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kuwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Edgar Lungu aishtaki Serikali kwa kumzuia kusafiri

    Rais Mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu amefungua mashtaka hayo akidai Mamlaka za Nchi hiyo zilimzuia kwenda Nchini Korea Kusini kwaajili ya kuhudhuria Mkutano wa Amani. Amesema alikutana na pingamizi la safari yake na kushushwa kutoka ndani ya Ndege huku akitajiwa sababu ni kutaka kusafiri bila...
  13. JamiiForums Tanzania Kigoma: Shule ya Mvinza Kagerankanda haina Madarasa na Madawati. Waandikia Majivu

    Shule ya Msingi Muvinza iliyopo Kata ya Kagerankanda, Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma ina changamoto ya upungufu mkubwa wa madarasa na madawati hali nayowafanya wanafunzi wengi kusoma nje na wengine kusoma wakiwa wamekaa chini katika madarasa machache yaliyopo. Wanafunzi ambao wameanza elimu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Wilaya ya Ruangwa wamwambia Rais Samia hakuna changamoto yoyote ya kufanyia kazi

    Rais Samia Suluhu amesema amekuta Ruangwa hali ni tofauti na maeneo mengine ambapo kote alikopita amepokea changamoto nyingi za kwenda kufanyia kazi, lakini Ruangwa wamemwambia hawana changamoto yoyote, Ruangwa wametaja mazuri waliyofanyiwa na Serikali. Rais Samia amewapongeza mkoa wa Lindi na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Leo Waziri Mkuu Majaliwa ni kusifia tu, kila mara utamsikia "Piga makofi mengi kwa Rais"!

    Leo 18/9/2023 Rais Samia anafanya mkutano Ruangwa Lindi, jimboni kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Majaliwa kila akiongea leo kidogo tu piga makofi mengi kwa Rais, Mh Rais umeleta maji piga makofi kwa Rais, kuna barabara piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake Ruangwa wagalagala chini kufurahia ujio wa Rais Samia, wasema hawakutegemea ujio wake hususani kwa Waziri Mkuu!

    Jana 17/9/2023 Rais Samia alivyofika Ruangwa baadhi ya wanawake walimpokea kwa kugaladala chini, wakisema hawakutegemea kama Rais Samia anaweza kufika Ruangwa na kwamba wanashukuru sana.
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Kutangaza nafasi za ajira kwa watu "Wa ndani ya NSSF" ni Ubaguzi, Rais Samia ingilia kati, unachonganishwa na wananchi!

    Haiingii akilini NSSF wamepata wapi huu ujeuri wa kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote ili kuajiri wateule wao tu waliopewa nafasi kinyemela ya mikataba na kwa gia ya "kujitolea". Lazima nyuma yake kuna vigogo vinasukuma hii agenda nyuma ya pazia! Haishangazi yalishaanza...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi: Unaibu Waziri Mkuu haupo kwenye Katiba yetu

    Nimenukuu maneno ya rais Mstaafu kutoka kwenye kitabu chake ambapo alikua akizungumzia suala la yeye kunteua Lyatonga Mrema kama Naibu Waziri Mkuu. Mwinyi amekiri bayana kua cheo hicho hakipo kwenye katiba. Kwa muktadha huo,je Rais Samia hana washauri wazuri ama haoni kua amevunja katiba...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni jasiri mpambanaji

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati wenzetu Wakenya kwa sasa wanakabiliwa na Tatizo la Bei kubwa ya Nishati ya mafuta kuwahi kutokea na kushuhudiwa katika Taifa lao, wakati kukiwa na Tishio la mfumuko wa bei ya bidhaa nchini Kenya, wakati Nauli zikipanda nchini kenya,wakati wakenya wakikabiliwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Hii picha inatuambia nini? Kwamba Tanzania is full of nepotism? Rais na mkwe wake wanaweka jiwe la msingi!

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi wa Ofisi za Halmashauri ya Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…