Rais Samia nikodie 'Chopper' ikakite Kambi Anga la Pwani ( Chalinze na Bagamoyo ) ili nikague Maji ya Mto 'yaliyochepushwa' kwenda Mashambani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,697
109,125
Halafu GENTAMYCINE nawaombeni tafuteni Uongo Mpya kwani huu wa kusema kila Siku kuwa Mvua hazipo hivyo Mito haijazi Maji katika Mabwawa ya Umeme ndiyo maana sasa Tanzania ( hasa Dar es Salaam ) kuna hii Kata Washa na Washa Kata umeshapitwa na wakati sawa?

Endeleeni tu kutuona kila Siku kuwa Watanzania ni Mapopoma ( Wapumbavu ) sawa?
 
Wa

Wanatuona nyani tu. Wenyeji wa pwani ni chanzo cha matatizo ya Nchi yetu
 
Halafu GENTAMYCINE nawaombeni tafuteni Uongo Mpya kwani huu wa kusema kila Siku kuwa Mvua hazipo hivyo Mito haijazi Maji katika Mabwawa ya Umeme ndiyo maana sasa Tanzania ( hasa Dar es Salaam ) kuna hii Kata Washa na Washa Kata umeshapitwa na wakati sawa?

Endeleeni tu kutuona kila Siku kuwa Watanzania ni Mapopoma ( Wapumbavu ) sawa?
Dah, astaghafulahi, haya.
 
Mabwawa ya umeme yapo kidatu na mtela,sasa mashamba yaliyoko pwani yanadhuru vipi ujaaji wa mbwawa hayo? Au maji yanarudi kinyume nyume toka baharini na kupanda mlima kuelekea kwenye nyanda za juu?.
 
watu wa pwani ndio tuliopigania uhuru wa Tanganyika.
Mkwawa aliwatandika Wajerumani, nyinyi watu wa pwani mlipigana vita IPI?

Bara hakukuwa na ukoloni sasa watutafuta Uhuru UPI?

Nyerere katoka Zanaki ndio kaja kuwaongoza wanywa kahawa na wacheza ngoma kuanzisha TANU na kudai Uhuru ambao kimsingi watu wa bara wala hawakutawaliwa.
 
Mabwawa ya umeme yapo kidatu na mtela,sasa mashamba yaliyoko pwani yanadhuru vipi ujaaji wa mbwawa hayo? Au maji yanarudi kinyume nyume toka baharini na kupanda mlima kuelekea kwenye nyanda za juu?.
Huna IQ ya Kunielewa GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo acha kunipotezea muda Wangu sawa?

Kuna Fumbo Kubwa nimelifumba hapo na kuitumia Pwani na maemeo tajwa pamoja na Umeme na Mabwawa ila huna Akili ya Kunielewa na kamwe hutonielewa.
 
Wanatufanya manyani.

Mabwawa ya umeme yapo kidatu na mtela,sasa mashamba yaliyoko pwani yanadhuru vipi ujaaji wa mbwawa hayo? Au maji yanarudi kinyume nyume toka baharini na kupanda mlima kuelekea kwenye nyanda za juu?.
Hujui kuunga dots?

Nawe hujiulizi mabwawa yakose maji ilhali mito huelekezwa kwenye mabwawa Ili yakijaa ndo yaendelee pwani mashambani,

Kinachofanyika wakati wa ukame, hujuma hufanyika mabwawa yanafunguliwa Ili mashamba Yao yapate maji.

Ukisikia Uchawi ndo huo sasa.

Hao wamiliki lazima watakuwa ni Nusu mtu, nusu Pepo, Huwa hawana chembe ya huruma, hufurahia watu wakiteseka.
 
Halafu GENTAMYCINE nawaombeni tafuteni Uongo Mpya kwani huu wa kusema kila Siku kuwa Mvua hazipo hivyo Mito haijazi Maji katika Mabwawa ya Umeme ndiyo maana sasa Tanzania ( hasa Dar es Salaam ) kuna hii Kata Washa na Washa Kata umeshapitwa na wakati sawa?

Endeleeni tu kutuona kila Siku kuwa Watanzania ni Mapopoma ( Wapumbavu ) sawa?
Nimepita jana pale daraja la Ruvu nimeona pamewekwa kijituta mtoni kulazimisha maji kuingia intake ya DAWASA.

Maji yale kwa uchache wake nahisi mamba na viboko wstakufa kwa kiu soon
 
Back
Top Bottom