rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Burundi alaani uvumi wa Mapinduzi

    Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye ametoa kauli hiyo mara baada ya kurejea nyumbani akitokea katika ziara Nchini Cuba na kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) Jijini New York, Marekani. Tangu alipoondika Burundi, Septemba 10, 2023 kuliibuka tetesi hizo kwenye mitandao ya kijamii huku...
  2. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Samizi aungana na wanamichezo kusaidia wenye uhitaji na kumuunga mkono Rais Samia

    Jana Jumapili imekua siku nzuri kwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi kufurahi na wananchi wake wa Jimbo la Muhambwe ambapo alipata mwaliko wa uzinduzi wa tawi la Yanga SC pale Mukabuye. Uzinduzi wa tawi hilo la Yanga SC umekuwa na shangwe na umati mkubwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini umeme usimuondoshe Rais Samia madarakani?!

    Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu. Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia, wananchi wa Kakonko tunaomba barabara mpya ya Kakonko (Kigoma) kwenda Mambali (Uyui)

    Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu Philip Isdory Mpango Nawasalimu sana katika jina la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA! Baada ya Salaam hizi nachukuwa wasaa huu kuwaombea afya ya siha bora Wewe, Rais wetu kipenzi Samia Suluhu, Waziri Mkuu Majaliwa Majaliwa Kassim na viongozi wote wa nchi hii...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kati ya Waziri January Makamba na Rais Samia, nani alimteua Maharage kuwa Mkurugenzi Tanesco?

    Salam wakuu. Naomba kwanza kupandisha clip ya January Makamba akiwa Waziri wa Nishati na pia kuweka barua ya Ikulu ya teuzi. Baada ya kumsikiliza January Makamba na kurejea barua ya Ikulu, je ni nani haswa alihusika na anahusika na hizi teuzi zinazotangazwa kutoka Ikulu? Kwa sasa tumeona...
  6. JamiiForums Tanzania DAWASA yafafanua sababu ya maji kukatika mitaa ya Tabata

    Baada ya kudaiwa kuna changamoto ya huduma ya maji Mitaa ya Tabata hasa kuanzia Posta kuelekea Segerea, ikiwa ni wiki ya pili kuna uhaba wa maji huku Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ikiwa haitoi taarifa ya kinachoendelea, ufafanuzi umetolewa. Awali ilidaiwa kuwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, Spika mstaafu Job Ndugai, ana sifa ya kugombea kuwa Rais wa Tanzania 2025?

    Nimejaribu kufuatilia msimamo wa Job Ndugai ni kama wa JPM, ni mzalendo na hapendi Nchi kuombaomba misaada au kukopa sana kutoka nje, badala anapenda kujitegemea. Natafakari kama CCM itampitisha kugombea Urais 2025, je ana sifa ya kuwa Rais wa Tanzania?
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni Rais gani aliyependwa kuliko wote Tanzania?

    Tanzania imeshapitia Awamu sita kama sio tano za Marais tofauti tofauti. Je ni Rais Gani aliependwa kuliko wote Tanzania?
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia wanakuhujumu kwenye umeme na maji uonekane hufai

    Mara baada ya kumuondoa maharage wapambe wake wanazima umeme na maji hayasukumwi kwa baadhi wa wananchi. Kisimngizio pressure/msukumo mdg? Kinyerezi Kanga ipo sintofaham wanakuhujumu mh rais ili Uonekane hufai, hawasambazi maji wanayafunga makusudi wanadai msukumo mdogo. Watanzania wa ajab...
  10. JamiiForums Tanzania TLS yadaiwa kugawanyika makundi mawili, Rais Sungusia apingwa na kundi moja

    Mpasuko mkubwa unafukuta ndani ya Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), ukihusisha baadhi ya viongozi wanaounda Baraza la uongozi la chama hicho, Jambo Media inaripoti. Taarifa za mpasuko huo zimebainishwa na chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya TLS, zikionyesha wazi kama hali itaendelea hivyo...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Umekwishalipa Fadhila Kwa Waasisi wa CCM, Sasa Fanya Kazi Yako Kama Rais

    Halina ubishi teuzi zote za akina Nape Nnauye, Makongoro Nyerere, Januari Makamba, Ridhiwani Kikwette, Halima Bulembo, Maharage Chande, Vita Kawawa na wengineo wengi zilikuwa ni kulipa fadhila kwa wale wanaoitwa "waasisi wa CCM." Wateule wote hao hapo na wengine wengi lazima waepita kwa JK au...
  12. JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kwa Kumtumbua Maharage wa TANESCO. Naomba apelekwe Mahakamani

    Maharage katutesa sana Watanzania. Alikuwa anakata umeme kila anapojisikia ili biashara ya Jenereta itoke. Hii iwe fundisho. TISS na TAKUKURU hakikisheni haki inatendeka. Maharage apelekwe korokoroni au msafisheni kwamba hana Ufisadi Tanesco. Rais Samia, hapa umeupiga mwingi. Mtumbue na Januari...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatoa uamuzi - Rais hakuvunja katiba kuongeza muda wa Jaji Prof. Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania

    22 September 2023 Masijala ya Mahakama Kuu Dar es Salaam Kesi namba 7 ya 2023 ya Humphrey Simon Malenga dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali leo imetolewa hukumu yake . Humphrey Simon Malenga alifungua kesi, ili Mahakama Kuu itafsiri kama rais alivunja katiba au la kwa muuongezea muda wa...
  14. JamiiForums Tanzania Kila unaposimama Rais Samia Suluhu na CCM wanaonekana - hatumwachi

    Salaam ni jadi yetu watanzania! Mada ni kuwa hata MTU ajitoe vipi ufahamu lkn kila unaposimama au kuangaza macho kazi ya Rais Samia Suluhu kupitia CCM inaonekana bayana. Iko hivi Miundombinu ya Reli, Barabara, Viwanja vya ndege vinaonekana - CDM hamvioni? Ajira kwa vijana zimeongezeka sana...
  15. JamiiForums Tanzania Rais anapolalamika wananchi tusemeje?

    https://www.youtube.com/watch?v=gU1TYtFaOXM Japo amesifiwa sana kuwa msikivu, sijui kama ni kweli. Amesifiwa ana kifua, kweli anacho kifua kama cha wengine lakini si kifua cha chuma kama chawa na mashabiki zake wanavyotaka tuamini. Je yeye ni kama jogoo au tetea na anatetea nani na nini tena...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, mbadilishe Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu hatoshi

    Rais kwanza nikupe pole na heshima yako na nikupongeze sana Mama kwa uwajibikaji wako katika kulisaidia Taifa hili kwa kuliponya kutoka katika mazingira magumu miaka 8 iliyopita. Hakika tunaweza kusema ya kwamba mabadiliko ni makubwa sana katika sekta zote ispokua baadhi ya Watendaji wako ndio...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mshahara wa Rais ni Milioni 9 kama alivyowahi kutuambia Hayati Magufuli?

    Enzi ya uhai wake, hayati Magufuli aliwahi kutuambia kuwa analipwa shilingi milioni 9 kwa mwezi na akirudi toka mapumzikoni Chato atatuonyesha hati yake ya mshahara (salary slip). Bahati mbaya mpaka anaingia kaburini hakuwahi kutuonyesha hiyo salary slip yake. Je, ni kweli mshahara wa Rais ni...
  18. JamiiForums Tanzania Aliyemuelewa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar atusaidie na sisi kuelewa

    Mara zote wadau wa siasa wamehoji malengo na dhamira halisi ya ACT WAZALENDO kwenye siasa za Tanzania , mpaka sasa bado majibu yanatafutwa . Sasa tunaomba aliyemuelewa kiongozi wao huyu atusaidie kuelewesha wengine Mkubwa huyo amedai kwamba Wawekezaji Waje nchini Tanzania , maana hali ya...
  19. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango atoa msimamo wa Tanzania UN

    Tanzania imeunga mkono juhudi za kulinda amani ikitoa wito wa ushirikiano wa kimataifa katika kipindi ambacho mataifa mengi yameonyesha wasiwasi kuhusu kupotea kwa amani katika jumuiya ya kimataifa. Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango amelieleza Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wakati...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia nikodie 'Chopper' ikakite Kambi Anga la Pwani ( Chalinze na Bagamoyo ) ili nikague Maji ya Mto 'yaliyochepushwa' kwenda Mashambani

    Halafu GENTAMYCINE nawaombeni tafuteni Uongo Mpya kwani huu wa kusema kila Siku kuwa Mvua hazipo hivyo Mito haijazi Maji katika Mabwawa ya Umeme ndiyo maana sasa Tanzania ( hasa Dar es Salaam ) kuna hii Kata Washa na Washa Kata umeshapitwa na wakati sawa? Endeleeni tu kutuona kila Siku kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…