rais

  1. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ya Rais Mwinyi na tuhuma za ufisadi unaoanzia juu kabisa

    Asubuhi ya leo nikikatiza maeneo ya mbuyuni huku Mbezi Beach wakati naelekea mjini tulipofika maeneo ya Kwa Mwinyi, pale ilipo nyumba yake ya miaka mingi rafiki yangu akanionyesha kiwanja kikubwa chenye heka kadhaa. Akaniambia ni kwa sababu ya mvua tu lakini kuna michakato ya ujenzi wa Mall...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia aipongeza Yanga kwa ushindi mkubwa

    Baaada ya Derby ya Leo Mheshimiwa Rais wa Nchi Samia suluhu hassan ametoa pongezi zake kwa Team ya Yanga kwa ushindi Mkubwa. Hii ni kupitia Account yake ya Mtandao wa (x) Alikua Mbowe siku ya Kule Rwanda Leo Samia.
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia Akabidhi Nyumba Kwa Mjane wa Dkt Magufuli (Mama Janeth Magufuli)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mjane wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Mama Janeth Magufuli wakati wa hafla fupi ya kukabidhi nyumba ya kuishi iliyopo wilaya ya Kinondoni ambayo imejengwa na Serikali...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Ampa Pole Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa Kufiwa na Kaka Yake

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa alimpotembelea nyumbani kwake kumpa pole ya kufiwa na kaka yake Issa Juma Nangalapa aliyefariki alfajiri ya leo Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia kuwadhibiti Mahakimu na Majaji pesa nyingi za umma zitaibiwa na watumishi mafisadi watashinda kesi kirahisi

    Mahakama ni chombo huru lakini hakitakiwi kuwa huru. Mahakimu na majaji wengi wanautumia uhuru wa mahakama vibaya. Fikiria jinsi pesa za halmashauri zinavyoibwa kila siku. Ushahidi hata wa kimazingira upo wazi. Majengo yanajengwa chini ya ubora. Kinachofuata ni mtumishi kusimamishwa kazi na...
  6. JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia Ashiriki Mkutano Maalum wa Dharura SADC

    Picha mbalimbali Rais Samia Suluhu akishiriki mkutano wa dharura kuhusu Ulinzi na Usalama (Troika) wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC, Luanda nchini Angola leo Novemba 4, 2023. Pamoja na mambo mengine, mkutano huo unajadili juhudi za SADC katika kuimarisha amani, ulinzi na usalama Mashariki...
  7. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Kijeshi na Rais wa zamani wa Guinea atoroshwa Gerezani

    Waziri wa Sheria, Charles Wright, amesema Moussa Dadis Camara akiwa na Wanajeshi wengine wa ngazi za juu wametoroshwa katika Gereza la Central House walilokuwa wamefungwa ikiwa ni baada ya kutokea majibizano ya Risasi kati ya Jeshi na waliofika kumchukua. Camara na wenzake walifikishwa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Kagame: Ni Ruksa wa Raia wa Nchi yoyote ya Afrika kuingia Rwanda bila Viza

    Siku chache baada ya Rais William Ruto kutangaza kuwa Kenya itafuta utaratibu unawalazimu Raia wa Nchi zote Afrika kuingia nchini humo kwa kutumia Viza hadi kufikia mwishoni mwaka 2023, Rais Paul Kagame wa Rwanda ametangaza kuwa Raia wa Nchi zote za Afrika hawahitaji tena kuwa na Viza kuingia...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu umemtuma Makonda kuwavuruga watendaji wa serikali au kueneza siasa?

    Niliposikia Makonda Kateuliwa kuwa mwenezi wa CCM nilisema wamepata mtu wa kazi na mwenye sauti ya kukisemea cha chama cha Mapinduzi ,ila ninayoyaona Makonda anakwenda kuvuruga weledi wa watendaji wa Kazi seriaklini kwa kofia ya kumsemea Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi. Tujiulize maswali...
  10. JamiiForums Tanzania Dotto Biteko: Tumsaidie Rais Samia kujenga Nchi

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewashukuru marafiki na wanafunzi aliosoma nao katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine Mwanza (SAUT) na kuwataka kufanya kazi kwa bidii ili kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan kutimiza azma ya kujenga uchumi wa nchi na Watanzania. Ujumbe...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Ujumbe Maalum toka kwa Mfalme wa Saudi Arabia

    Rais wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo maalum na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya Ahmed Okesh baada ya kuwasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Mfalme wa Saudi Arabia Salman bin Abdulazizi Al Saud Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Novemba...
  12. JamiiForums Tanzania Je, mimi kama mlipa Kodi naweza kumuagiza kiongozi kufanya jambo lenye manufaa kwa wananchi?

    Naomba niulize, mimi kama mlipa Kodi siwezi kumuagiza Kiongozi yoyote afanye jambo ambalo ni faida kwa wananchi? Kama atafanya au kutofanya hilo ni suala jingine. Sasa kama jamii ni vema kutumia rasilimali muda kujiuliza kwanini fulani amemuagiza Mtumishi wa Umma afanye hiki au kile au...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Salamu za upendo zimetolewa kwa wananchi kutoka kwa Magufuli badala ya Rais Samia!

    Nyuki wa mama mpo? Mwenezi Makonda amatoa alikuwa anatoa salamu kwa wananchi kwa nguvu zote, badala ya kusema Samia akasema Magufuli... halafu aaah zimetika kwa nani Dk. Samia.... amekuwa kama yule mbunge alisema nani anataka korona impate, au yule Profesa aliyemfanisha jiwe na Mungu. Mioyo...
  14. JamiiForums Tanzania Bunge la Nigeria lakataa kuidhinisha Bajeti ya Tsh. Bilioni 6 kununua 'Boti' ya Rais

    Wabunge hao wamesema Bunge haliwezi kuidhinisha kiasi hicho cha Fedha kwasababu ni matumizi mbaya ya Kodi za Wananchi hasa kwa kipindi ambacho Nchi inakabiliwa na mdororo mkubwa wa Uchumi. Serikali ya Rais Bola Tinubu imeanza kukumbana na changamoto tangu kuingia kwake madarakani ambapo mwezi...
  15. JamiiForums Tanzania Leo katika historia: Mzee Tibakweitira akiwa Headmaster wa Same Sekondari alimwadhibu mtoto wa Nyerere na kupandishwa cheo

    ๐‹๐ž๐จ ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐ก๐ข๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐ข๐š. ๐Œ๐ณ๐ž๐ž ๐“๐ข๐›๐š๐ค๐ฐ๐ž๐ข๐ญ๐ข๐ซ๐š ๐š๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ก๐ž๐š๐๐ฆ๐š๐ฌ๐ญ๐ž๐ซ S๐š๐ฆ๐ž Sec ๐ฆ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐ฐ๐š ๐‘๐š๐ข๐ฌ ๐๐ฒ๐ž๐ซ๐ž๐ซ๐ž ๐š๐ฅ๐ข๐ค๐จ๐ฌ๐š ๐ง๐š ๐ค๐ฎ๐ซ๐ฎ๐๐ข๐ฌ๐ก๐ฐ๐š nyumbani ๐š๐ฆ๐ฅ๐ž๐ญ๐ž ๐ฆ๐ณ๐š๐ณ๐ข ๐ฐ๐š๐ค๐ž. ๐Œ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐š๐ค๐š๐ฆ๐ฅ๐ž๐ญ๐š ๐ƒ๐‚. M๐ณ๐ž๐ž ๐“๐ข๐›๐š ๐š๐ค๐š๐ฌ๐ž๐ฆ๐š ๐ฐ๐ž๐ฐ๐ž ๐ƒ๐‚ ๐ฌ๐ข๐จ ๐›๐š๐›๐š ๐ฒ๐š๐ค๐ž. ๐Œ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐š๐ค๐š๐ฆ๐ฅ๐ž๐ญ๐š ๐‘๐‚, ๐Œ๐ณ๐ž๐ž ๐“๐ข๐›๐š ๐š๐ค๐š๐ฌ๐ž๐ฆ๐š ๐ฐ๐ž๐ฐ๐ž ๐‘๐‚ ๐ฌ๐ข๐จ ๐›๐š๐›๐š ๐ฐ๐š ๐ฆ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐ก๐ฎ๐ฒ๐ฎ. B๐š๐›๐š ๐ฒ๐š๐ค๐ž ๐ง๐š๐ฆ๐Ÿ๐š๐ก๐š๐ฆ๐ฎ ๐ฌ๐š๐ง๐š...
  16. JamiiForums Tanzania Secretariat ya CCM ni kubwa kimamlaka kuliko kiongozi yeyote kasoro Rais tu. Acheni kelele Makonda alikuwa sahihi

    Katibu mwenezi wa CCM ndugu Paul Makonda hajafanya kosa lolote kumpa maagizo Waziri Mkuu kutatua changamoto za ardhi, Serikali ipo kwa niaba ya CCM na hao mawaziri wote ni wanachama wa CCM na boss wao ni hio secretariat ya CCM. Mazombi mnapanic kama vibwengo acheni hizo. Tanzania mmezidi kuwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Zambia: Rais Mstaafu Edgar Chagwa Lungu asitishiwa marupurupu yake ya kustaafu

    01 November 2023 Lusaka, Zambia RAIS MSTAAFU APOTEZA HAKI YA MARUPURUPU KWA KUJIHUSISHA NA SIASA Picha: Rais mstaafu Edgar Lungu wa Zambia Rais mstaafu marupurupu yake ni pamoja walinzi 3, pasipoti ya kibalozi, magari 3 ya serikali, nyumba iliyosheheni samani, bima ya afya na gharama za...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Nikilinganisha mapokezi ya Rais wa shirikisho la Ujerumani na Mfalme wa Uingereza, viongozi wetu hawajiamini. Tatizo ni nini?

    Juzi alikuja rais wa shirikisho la Ujerumani Frank-Walter Steinmeier kutembelea nchi yetu kwa siku 3, wakati huo huo mfalme wa Uingereza Charles wa III aliitembelea nchi ya Kenya. Ukilinganisha mapokezi unaona Rais wetu kama ni mwoga hana muda hata wa kuchat na mgeni wake, vile vikundi vya...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani, leo Novemba 2, 2023 Rwanda Convection Centre (KCC) - Kigali, Rwanda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan atashiriki Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani leo tarehe 02 Novemba, 2023 Rwanda Convection Centre (KCC) - Kigali, Rwanda. https://www.youtube.com/live/0hpKdPc8ajI?si=ljU2SQWILAiEI3gQ === Mhe. Rais Samia...
  20. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Ndugu wa Rais Mnangagwa akutwa na hatia ya kutorosha Dhahabu ya Tsh. Milioni 749

    Mfanyabiashara Henrietta Rushwaya, ambaye ni Mpwa wa Rais Emmerson Mnangagwa amekutwa na hatia ya kujaribu kusafirisha Dhahabu yenye thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni 749 kinyume na Sheria Henrietta, ambaye ni Rais wa Shirikisho la Wachimba Madini, alikamatwa Uwanja wa Ndege akisafirisha Vipande...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ