Salamu za upendo zimetolewa kwa wananchi kutoka kwa Magufuli badala ya Rais Samia!

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993
Nyuki wa mama mpo?

Mwenezi Makonda amatoa alikuwa anatoa salamu kwa wananchi kwa nguvu zote, badala ya kusema Samia akasema Magufuli... halafu aaah zimetika kwa nani Dk. Samia.... amekuwa kama yule mbunge alisema nani anataka korona impate, au yule Profesa aliyemfanisha jiwe na Mungu.

Mioyo haijandaganyi jamani, utafurukuta wee lakini mwisho wa siku dhamira yako itajitokeza tu siku siku moja. Mwamba huyu hapa


Nawakumbusha tu, tusisahau mambo muhimu yanayoendelea nchini, ripoti ya CAG, wamekuja na mpya nyingine ya mafao ya wenza wa viongozi. Amkeni, wananchi wanategema kufanya maamuzi kutokana na tunavyowalisha!
 
Unakumbuka wale vijana wa YouTube walioandikaga Mwendazake atoroka freemason na kusimulia kila kitu🤣🤣🤣 Labda salamu za kutoka freemason huko.....nilicheka sana Jana🤣
😥🤣🤣 Watanzania akili zetu ziko race muda woteee
 
Back
Top Bottom