rais

  1. M

    Hivi ni kweli hawa mawaziri wanakuwa wameagizwa na Rais au wanatudanganya!

    Kama siyo wote baadhi ya mawaziri na hata wakuu wa mikoa na WA wilaya utawasikia wanapotekeleza majukumu Yao hujinasibu kwamba mheshimiwa Rais amewapa agizo la kutekeleza jambo Fulani. Waziri wa ardhi mheshimiwa Silaa alipokuwa mkoani Katavi katika ziara ya katibu mkuu wa CCM Chongolo alisema...
  2. Ikiwa Rais ndiye anatoa pesa zake kwa maendeleo ya nchi, Serikali inapeleka wapi kodi zetu?

    Tumesikia kila mdomo wa Waziri na viongozi waandamizi wanaposimama kuhutubia ama kuzungumza wanamshukuru Rais kwa kutoa hela ambazo zimwtekeleza miradi ya maendeleo na miundombinu. Hivyo wanatuaminisha kuwa fedha zote za miradi na maendeleo zinatolewa na rais. Na anayetoa hela hufanya hivyo kwa...
  3. Rais Biden amehojiwa kuhusiana na faili za siri zilizopatikana nyumbani kwake na ofisini

    Rais Joe Biden kwa muda wa siku mbili zilizopita alishiriki katika mahojiano ya hiari na wakili maalum Robert Hur kama sehemu ya uchunguzi wake wa nyaraka za siri, Ikulu ya White House ilitangaza Jumatatu. "Rais amehojiwa kama sehemu ya uchunguzi unaoongozwa na Wakili Maalum Robert Hur,"...
  4. Rais wasaidie wananchi wako Viziwaziwa mkoa wa Pwani

    Tunajua kuna Nguvu kubwa sawa na ile kanuni ya Newton 3rd law of motion maana kila hili likiwekwa hapa wahusika wanajitahidi nao kulizima, moderator mnapaswa kuwa sauti ya wasio na sauti kwa kweli maana hili jukwaa ni huru. Hoja ni hii, wakazi ndani ya mtaa wa Viziwa ziwa (VIMISA) Kibaha mjini...
  5. Mwana JamiiForums anayehoji kwanini Rais wa Tanzania akiwa ni Mkristo lazima awe ni Mkatoliki anatuaibisha 'Lake Zone Geniuses' wote

    Hili linajulikana tokea nchi hii inapata Uhuru na lipo katika Makubaliano ya Siri yenye Kiapo Kikali tena chenye Laana Kubwa kama likikiukwa / kikikiukwa ( ukibisha hili Huna Akili ) Inasikitisha sana na GENTAMYCINE nimesikitika kumuona Mtu ambaye amezaliwa katika Familia ya Mfumo ( System ) na...
  6. Rais Samia tafadhali sana…..

    Anzia dakika ya 9:25 mpaka 9:40. https://www.youtube.com/live/PEzgcxu_A50?si=AFWVhAKOGy8b_VG7 Akiwa kwenye ikulu ya Rashtrapati Bhavan huko New Delhi, India, baada ya kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake kwenye ziara yake nchini humo, Rais Samia alipewa wasaa wa kusema...
  7. Rais Samia akiwa ziara ya kitaifa nchini India, leo Oktoba 9, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ziara ya kitaifa nchini India tarehe 9 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/4CCyGB0ET68?si=SxgeV7L3rZnjBpLi === Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na India zimekubaliana kukuza uhusiano wao wa kihistoria baina...
  8. B

    Wakili Msomi Boniface Mwabukusi; Rais mtarajiwa toka Busokelo

    Leo katika kufuatilia habari, nimeshangzwa sana na mapokezi ya Wakili Msomi Boniface Mwabukusi huko kwao Busokelo. Pamoja na Mkutano wake kupigwa "stop" na jeshi Polisi, bado wananchi wengi walikuwa na hamu kubwa ya kumsikiliza shujaa huyu wa Taifa letu kwa sasa huku wakimshangilia na kumwita...
  9. Rais Samia alivyowasili nchini India kwa ziara ya Kikazi ya siku 4

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili jijini New Delhi, India leo tarehe 08 Oktoba, 2023 kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa ya siku nne nchini humo. Mapokezi rasmi ya Rais Samia yatafanyika tarehe 09 Oktoba, 2023 ambapo atapokelewa na mwenyeji wake Rais wa...
  10. Ipo haja ya serekali yetu kuanzisha chombo cha kifedha kwa ajili ya wanyonge.

    Ipo haja ya serekali kuanzisha chombo rafiki cha kifedha kama ilivyokuwa pride, (kimfumo) ili kiweze kusaidia kukopesha wananchi wanyonge mikopo chini ya million 10, Pia ipo haja ya fedha zote zile za wanyonge zitokazo katika halmashauri zetu zikawa zinapelekwa kwenye chombo hicho ili kuepusha...
  11. Maadhimisho ya Siku ya Walimu Duniani: Rais Samia aahidi kutatua changamoto za walimu ili kuleta ufanisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kushughulikia changamoto za Walimu nchini hatua kwa hatua ikiwa ni pamoja na kuwapandisha Madaraja na kutoa malipo ya stahiki mbalimbali. Rais, Dkt. Samia ameyasema hayo tarehe 6 Oktoba 2023, alipokuwa...
  12. S

    Rais Yanga: Ni kipimo kizuri kupangwa na Al Ahly

    ''Ni kipimo kizuri kwetu [Yanga] kupata nafasi ya kucheza na Al Ahly, bingwa mtetezi. Ni kipimo kizuri pia kwetu kuona jinsi gani tumekuwa kama klabu ya mpira, naona ni moja katika makundi magumu lakini Young Africans tunatakiwa sasa tuweke jitihada kuwa katika timu mbili za juu zitakazokwenda...
  13. Naibu Rais Gachagua: Tunajua China inatudai Pesa nyingi lakini tutakopa tena

    Akizungumza na Kituo cha Redio cha Inooro FM, Rigathi Gachagua amesema Rais William Ruto anatarajia kusafiri kwenda China kwaajili ya kuomba mkopo wa Tsh. Trilioni 2.5 kwaajili ya kukamilisha miradi ya Barabara iliyokwama Ameongeza kuwa miradi mingi ilisimama kutokana na Wakandarasi kutolipwa...
  14. L

    Rais Samia aendelea kuifungua Tanzania, kuanza ziara ya kikazi Nchini India

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha Watanzania, Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi nchini India kuanzia Tarehe 6-11 mwezi huu wa October kwa mualiko maalumu wa Rais wa nchi hiyo. Katika ziara hiyo, Mheshimiwa Rais ameambatana na...
  15. Kwa mara ya kwanza nimefika Mwanza nimekutana na stand Mpya ya Nyegezi. Hayati Magufuli CCM ilipoteza Rais!

    Ninarudia kusema CCM kumpoteza Magufuli ili pata hasara ya Karne moja. Nyegezi kulikuwa Bondeni na eneo lisilofaa leo nimekuta kifaa kama airport. Magufuli Ulifanya kazi nzuri tutakukumbuka. Bado ninasikia kuna stand nyingine Huku Mwanza imejengwa na Magufuli Ndio ninaelekea huko kuangalia...
  16. Mhe. Rais Dkt. Samia akiendelea kufungua nchi!

  17. Mtaalamu wa mipango na mikakati aonekana Doha kwenye ziara ya Rais Samia

    Watanzania mchangamkie fulsa za mbogamboga na matunda. https://twitter.com/DIONIZKIPANYA25/status/1709048646375805055?t=HyUFD88LmFNZDr0eAmNBSQ&s=19
  18. Q

    Rais hamuamini Makamu wake?

    Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi. Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama...
  19. Mageuzi anayofanya Rais Samia Suluhu kwenye kilimo hayakuwahi kutokea

    Idadi ya watu Duniani inatarajiwa kufikia watu bilioni 10 kufikia mwaka 2050,wakati nchini Tanzania idadi ya watu inatarajiwa kufikia 137 milioni.Idadi hii kubwa ya watu itahitaji chakula kingi ukilinganisha na chakula kinachozalishwa kwa sasa. Idadi kubwa ya watu inahitaji fursa za ajira pamoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…