Rais hajazungumza na Lissu huko Segerea!?

Yupo Jela Ukonga ila Chuo cha Magareza Ukonga hakiko ndani ya Jela ndiyo maana hajaonana na Mahabusu yoyote. Kwa mujibu wa wajerumani Gerezani ni Rahisi kumtoa mfungwa na kwenda naye kokote kuliko mahabusu! Wafungwa wa Maisha, Condemn na Mahabusu wanatolewa kama kuna summons ya Mahakama au kwenda hospitali.

By the Who is Lissu?

Hivi Rais hajaweza kupata fursa ya kuzungumza na Tundu Lissu aliotembelea gereza la ukonga!?
Rais Samia mwema sana , alimtembelea Nairobi, alikutana naye Ubelgiji wakati wasaidizi wa ikulu walimwambia ampotezeee akagoma, mwishoni Lisu akamtenda ubaya kwa kumtukana balaa

2. Rais samia aliamua kuwaruhusu warudi na aliwaliapa malipo yote ya Lisu na wapapmbe wote wa chadema laini cha ajabu shukran yao ni matusi

3. Aliwalipa hela ya ruzuku hadi wakapata jengo la ofisi lakini wameishia kumtukana

4.
 
Aliwalipa hela za ruzuku toka kwenye mshahara wake?
 
Back
Top Bottom