CCM Haiwezi Kulala: Rais Ashuka Shina

CCM Haiwezi Kulala: Rais Ashuka Shina

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
524
Reaction score
498
CCM haiwezi kulala, Rais wa nchi asingekuwa anakaa kwenye vikao vya kawaida vya shina kusikiliza wanachama. Chama kinatuma ujumbe mkubwa kwa wanaodhani chama kimepoteza mwelekeo.
IMG-20260508-WA0094.jpg
 
Cccm hii ya samuya inaishi kisanii sana...jana nilikuwa dom naona boda2 wamekusanywa jirani na airport wamevishwa tshirt 'never again' samuya akaja kuwahutubia hahahaa

Naye akasema vijana wamempa ujasiri sana kwa kauli mbiu yao hiyo...yaani igizo lilikuwa vijana wamejioganize kuja kumuona mama kabla hajasepa kupanda ndege!

Futuhi!
 
Steve Nyerere na Angela kizigha ndiyo washauri wa RAISI etiii..
Huyu maza amechoka Akili
 
Cccm hii ya samuya inaishi kisanii sana...jana nilikuwa dom naona boda2 wamekusanywa jirani na airport wamevishwa tshirt 'never again' samuya akaja kuwahutubia hahahaa

Naye akasema vijana wamempa ujasiri sana kwa kauli mbiu yao hiyo...yaani igizo lilikuwa vijana wamejioganize kuja kumuona mama kabla hajasepa kupanda ndege!

Futuhi!
Hivi unakwenda kuzungumza na vijana, eti kwa kusema "never again ". Wakati huo huo kuna kijana anazikwa kiwiliwili. Ameuawa kikatili kwa kukatwa kichwa kisha kutokomea nacho kusikojulikana. Upumbavu uliopitiliza.
 
Ww kuwa na bando tuu, tamthilia unazipata mtandaoni
 
Wengine tunaona mfumo wenu ndio umeshuka huko kutafuta legitimacy upya.
 
Damu sa Watanganyika zinamlilia huyu Samuya.
 
Back
Top Bottom