Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 527
- 498
HUYU MAMA(RAIS SAMIA)NI MTU HATARI SANA!
George Michael Uledi.
May 6,2026.12:10AM.
(ON EMBARGO)
Mara nyingi nyota ya mtu inabeba tabia zake za ndani za "kiungu" ambazo umtofautisha na mtu/binadamu mwingine katika dunia hii.Biblia inasema kwenye KITABU cha Zaburi👇🏽👇🏽
Zaburi 147:4 na Ayubu 9:9)
"Mungu aliumba nyota,akazihesabu na kuziiita majina...".
Zipo tabia za siri/za ndani sana ambazo Mungu anazitengeneza ndani ya watu kwa ajili ya utukufu wake mwenyewe na katu watu/wanadamu wasijue wala wasizione.
Ukiwa na "Jicho la tatu" au mlango wa sita wa fahamu/utambuzi ndio unaweza kunielewa otherwise somo hili☝🏽☝🏽ni gumu sana kuhusu Mh Rais Samia Suluhu Hassan.
NINI NATAKA KUSEMA?
Baada ya ziara za Marais Majirani wawili ndani ya wiki moja(Rwanda na Kenya),matabiri ujio wa marais wengine majirani ndani ya mwaka huu huu wa 2026 ndani ya Tz.
Waswahili wanasema "mwenye bahati habahatishi..",ndio ilivyo kwa Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kabla hata ya Forum ya Nairobi kenya wiki mbili nyuma,mimi binafsi nilikuwa nafahamu kuwa Mh Rais Samia tayari alishakuwa AMETEKA mradi wa Dangote wa Oil Refinery kuja Tanga Tanzania.
Wakati Rais wa Kenya,Mh Rutto akitangaza ujio wa mradi mkubwa pale Jijini Nairobi kwenye Forum ile wiki mbili nyuma,Rais wa Tanzania alikuwa anajua kila kitu.Inawezekana Watanzania kwa mara ya kwanza ndio wanamsikia Mh Rutto leo Bungeni Dodoma kwamba wameamua kuleta mradi ule Nchini Tanzania lakini ukweli ni kwamba Mh Rais Samia Suluhu Hassan ndio MASTERMINDER MKUU wa mradi ule kuja Tanzania.Yaani by 2030 Nchi yangu Tz itakuwa inauka wese wese wese.
Ni vzr tukaelewana hapo kwanza.☝🏽☝🏽
Kwa kifupi sana,ziara hizi mbili kwa jicho la tatu ni kwamba watu wamekuja na "Mbelile Mbelile thatha" kwa Kinyakyusa.Kila mtu mwenye akili kwa sasa ni kwamba OIL REFINERY NDIO HABARI YA MJINI KIUCHUMI KWA SASA.
Yaani Jiji la Tanga kufikia mwaka 2030 linaenda kuwa miongoni mwa majiji makubwa ndani ya ukanda wa Afrika mashariki kwani litakuwa linalisha mafuta Nchi za Kenya,Uganda,Malawi,Rwanda,DRC,Zambia na nyingine nyingi ndani ya Afrika Mashariki na kati.
Nenda kaangalie sekta ya Madini,juzi Pale Mkoani Songwe kulikuwa na mradi mkubwa wa Helium unasainiwa.Yaani mwezi Jana April,2026 Mh Waziri wa Madini Mavunde alikuwa Mkoani SONGWE huko huko kuzindua mradi mwingine wa Madini adhimu.
Juzi Tanzania imesaini mkataba wa kupatiwa fedha kwa ajili ya mradi wa SGR loti 4 & 5,yaani kila kitu kinaenda bila kirahisi sana.Mh Paul Kagame kaomba kuuziwa UMEME kutoka Tanesco kwenda Rwanda,AISEEE.
UKIWA NA FREE MIND unaweza kuona haya lakini ukiwa na TAKATAKA kichwani hauwezi kuona haya kama wale majamaa.
USHAURI SASA👇🏽👇🏽
I.Ujio wa Dangote Oil Refinery pale Jiji Tanga ni lazima sasa kwa haraka uwende na maandalizi ya ujenzi wa MATANKI YA KUIFADHI MAFUTA Kwenye Mikoa yetu strategic kama Mwanza, Mbeya,Ruvuma,Dodoma na Kigoma.TPDC lazima waanze kazi hiyo sasa.
Nchi serious lazima iwe na akiba ya mafuta(Banki ya mafuta) katika mikoa yote strategic hasa mikoa ya kiulinzi-mkakati kwa ajili ya Usalama na Ulinzi wa Taifa.
II.Hatua ya pili lazima Idara yetu(Ecomimic Intel) ituongoze kama Taifa katika mpango mkakati wetu wa kuzitengenezea Nchi jirani "forcefull Economic Dependency".
ECONOMIC Intel nzuri sio tu ni ile ambayo inaweza "kuwin" miradi mikubwa kama Nchi kama hii ya OIL REFINERY,HOIMA PIPELINE pekee bali ni Ile Intel ambayo inaweza pia KUMTENGENEZEA ADUI/JIRANI DEPENDENCE kutoka kwako.
Je,tumewahi kuwaza jinsi ya kuifanya Tsh iwe COIN/CURRENCY dominant ndani ya soko la EAC?lazima tuwaze hivyo na tujipe deadline.Nchi jeuri lazima ITEKE kwa kificho chumi za Nchi zingine bila Nchi(mateka) kujua.
Kama tutawaza vizuri,hii Nchi(Tanzamia)inaweza kuwa Giant mpaka watu wakashangaa by 2035 tu.
#RipotiYaHistoria
#TumeYaUchunguziReport
Jaji Chande