rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia kukaa mapumziko ya Eda siku 90

    Kumekuwepo na picha inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuwa ni taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi. Picha hiyo inadai kuwa, kufuatia msiba wa mume wake, Mzee Hafidh Ameir Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahirisha...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Viongozi wamfariji Rais Samia Kizimkazi

    Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afarijiwa na Mwamposa, Kapola

    Mtume Boniface Mwamposa pamoja na Mchungaji Tony Kapola wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kaseya amfariji Rais Samia baada ya msiba

    Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Afrika CDC) Dkt. Jean Kaseya akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Eda ni nini? Je, Rais Samia kuendelea kuongoza akiwa eda?

    Kifo cha Hafidh Ameir, mume wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kimeibua maswali kuhusu kipindi ambacho mwanamke Mwislamu huingia baada ya kufiwa na mume wake. Kipindi hicho kinachojulikana kama eda kina masharti gani, huchukua muda gani na kinatofautianaje na maombolezo ya kawaida? Soma...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Asimikwa Mkuu wa Machifu Tanzania

    • 8,Septemba 2021 — Rais Dr. Samia Suluhu Hassan Asimikwa kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania ▪︎ Tarehe 8 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alisimikwa kuwa Mkuu wa Machifu wote Tanzania katika Tamasha la Utamaduni lililofanyika Kisesa, Magu, Mwanza. ▪︎ Katika tukio hilo, Machifu walimtawaza...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Viongozi wamfariji Rais Samia msiba wa mumewe

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba pamona na Viongozi mbali mbali wa Vyama na Serikali na Wananchi, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kwa majibu ya uislam: Rais Samia kukaa nje ya ofisi na kutokuoneka hadharani Kwa miezi minne na masiku 10

    Binafsi natoa pole za dhati Kwa msiba mzito wa Mme wa Rais Mzee Hafidh Uislam unaekeza baada ya mwanamke kufiwa na mmewe akae Idda' Kwa muda wa miezi minne na masiku 10 1. Mwanamke aliyefiwa na mmewe akae kwenye nyumba aliyeishi na mmewe na alale kitanda hiko bila kuhama Kwa miezi minne na...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mume wa Rais Samia azikwa Kizimkazi, Zanzibar

    Marehemu Hafidh Ameir Hassan, Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezikwa jioni ya leo, Septemba 7, 2026, Kizimkazi, Zanzibar. Watu mbalimbali, wakiwemo Viongozi wa Serikali, Viongozi wa Dini, Wafanyabiashara pamoja na Waombolezaji wengine, wamejitokeza...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Majonzi: Kifo cha Mume wa Rais Samia na Machungu ya Mauaji ya Tarehe 29 Oktoba

    Mbingu, Ifakara, TANZANIA – Leo Septemba 7, 2026, Makamu wa Rais wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ametangaza kifo cha mume wa Rais Samia Suluhu Hassan, Mzee Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena mjini Zanzibar akipatiwa matibabu ya...
  11. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mume wa Rais Samia kuzikwa leo kizimkazi

    Mwili wa Hafidh Ameir Hassan, mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, unatarajiwa kuzikwa leo, Septemba 7, 2026, Kizimkazi, Zanzibar. Hafidh Ameir amefariki dunia leo katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Zanzibar, ambako alikuwa akipatiwa matibabu. Kifo...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Atangaza Msiba wa Mwenza wa Rais Samia

    TAARIFA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  13. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Rais Samia ametoa Shilingi trilioni moja ili kuwakopesha wakulima kwa riba ya 9% zipo NMB na CRDB nia kukuza Kilimo walau kwa 8-10%

    https://www.instagram.com/reel/Dc-fV2YAgEN/?stkn=MTI3M3czY3cyajR1NA==
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania “Kumtetea Rais Samia Mbele ya Wananchi Si Kazi Rahisi: Wingi wa Malalamiko ya Utekaji, Mauaji, Dhuluma na Ukosefu wa Haki Wazua Maswali Mazito”

    Kulingana na wingi wa matukio ya watu kupotea, kutekwa, kuuawa, kudhulumiwa, pamoja na malalamiko ya wananchi kuhusu mahakama kutotenda haki, kumtetea au kumsemea Rais Samia mbele ya wananchi ni kazi kubwa sana! Kwa sababu huwezi kumtetea kiongozi kwa maneno pekee wakati wananchi wanapaza sauti...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ninaunga mkono kwa 100% operation ya kuwatoa wamachinga barabarani. Rais Samia umepiga mahali sahihi

    Mji wa Dar es salaam unanuka mavi , au niseme unanuka harufu mbaya, na hii ni matokeo ya wamachinga kuweka biashara juu ya mitaro yote hapa Dar es salaam. Unakuta sehemu juu kuna biashara ya vyakula au biashara zingine ukichungulia uvunguni kwenye mtaro kulivyo plus harufu inayotoka hapo mpaka...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anastahili Pongezi Na Heshima Kubwa Sana Kwa Hapa Alipolifikisha Taifa Letu. Amelivusha Nyakati Zote Ngumu Na Za Giza

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anastahili Pongezi,anastahili heshima na kuheshimiwa, anastahili kuungwa Mkono kwa kazi kubwa na njema aliyoifanya ya kulivusha Taifa letu katika nyakati Nguma na za...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia, nchi imetulia tuli vizuri sana

    Wananchi wameridhika na hali ya amani na usalama wao, wanafurahia sana na kwakweli wanaona, wanafaidika na kunufaika pakubwa na mipango na kazi kubwa na nzuri sana ya maendeleo unayoifanya kupitia serikali sikivu ya CCM. Kwa hakika, nchi imetulia vizuri sana na hali ya umoja, amani na usalama...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Tunamuomba Rais SAMIA SULUHU HASSAN auende Kamati ndogo ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Jaji CHANDE

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa,tunapendekeza na kushauri kwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN kuunda Kmati au Timu ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Jji CHANDE.Kamati au Timu hii iuendwe na watu toka Serikalini,Taasisi za...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Xi Jinping Beijing

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 4 Septemba 2024: Rais Samia Mkutano na Xi Jinping, China Tarehe 4 Septemba 2024, Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Beijing, China, alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Xi Jinping wa China katika ukumbi wa Great Hall of the People. Mkutano huo ulifanyika wakati Rais...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Chama kinachokubalika ni Chadema maana kinaonekana kama chama cha ukombozi kwa sasa

    Angekuwa ni kiongozi mwenye aibu asingekuwa anatoa hotuba za kujionyesha kama mkuu wa nchi anayekubalika. Watumishi wa umma maofisini hawampendi na hawamtamki vizuri Chama kinachokubalika ni Chadema maana kinaonekana kama chama cha ukombozi kwa sasa. Samia na genge la wanaCCM mtandao ni...
Back
Top Bottom