rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. USSR

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Dkt Mwigulu Lameck Nchemba awasili Ufaransa kumwakilisha Rais katika siku ya Kiswahili

    WAZIRI MKUU AWASILI UFARANSA KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Paris, Ufaransa leo, Julai 6, 2026, kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amefanikiwa Kugusa Maisha ya Watu Na Mahitaji ya Mioyo yao na ndio Maana Hakuna Mtanzania Mwenye Kuunga Mkono Maandamano

    Ndugu zangu Watanzania, Watanzania wa Leo chini ya Uongozi Thabiti na Madhubuti Wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan hawawezi kukuelewa wala kukuunga Mkono wala kukusikiliza wala kuwa nyuma Yako ukiwaambia habari za kuandamana...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awajulia hali Pacome Zouzoua wa Yanga na Mlezi wa ACT Wazalendo, Sheikh Rashid Hamad Othman

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Sheikh Rashid Hamad Othman, Mlezi wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam. Akiwa hospitalini hapo Rais Dkt...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Nukuu za Rais Samia akimkaribisha Rais chapo κατικα maonesho ya biashara ya kimataifa, jijini Dar es Salaam

  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akifungua maonesho ya 50 ya Sabasaba akiwa na Rais wa Msumbiji

    Wanabodi, Karibu kwenye matangazo haya Live from viwanja vya 77 Kilwa Rd jijini DSM, kuwaletea ufunguzi rasmi wa maonyesho haya ya 50 ya DITF, mgeni rasmi ni rais wa Msumbiji akiandamana na mwenyeji wake Rais Samia https://www.youtube.com/live/BwolWtk3Pic?si=0OqojeaBb40YFJad Karibuni. Paskali
  6. Etwege

    JamiiForums Tanzania Mbunge Msukuma unatuma ujumbe gani kwa Rais Samia?

    Mbunge wa Geita vijijini Kasheku Musukuma ametoboa siri kuwa kipindi cha Rais Magufuli miradi ilikuwa inaenda kwa sababu alikuwa amedhibiti pasent(%) na alikuwa mfuatiliaji kwelikweli ya kila hatua ya mradi lakini baada ya kuingia madarakani Rais Samia viongozi wameelezekeza macho kwenye 10% ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania Yaimarisha Mchango Katika Ukuaji wa Uchumi Kuelekea Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050

    Vodacom Tanzania Plc, kampuni pekee ya mawasiliano iliyoorodheshwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), imetambuliwa kama mmoja wa walipa kodi wakubwa nchini. Utambuzi huu unaonyesha dhamira ya kampuni kuendesha biashara kwa uwazi, uwajibikaji na kwa kuzingatia sheria, huku ikichangia...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini waislamu hawalalamiki mkatoliki Magufuli kumfanya Rais Samia?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Zama za marais wakristo, waislamu walizoea kusema huu ni mfumo kristo. Ila baada ya kuingia mwenzao, hawataki tuseme huu ni mfumo islam! Washukuru mkristo Magufuli alimfanya muislam Samia tena mwanamke wa kwanza kuwa rais. Je, hili. hawalioni au ni ukosefu wa...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hatuna budi kujenga uwezo wetu wa ndani kwa kuimarisha ukusanyaji wa mapato ili kujenga uchumi unaojitegemea

    Akizungumza katika maadhimisho ya miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rais Samia amesema Tunaishi katika zama za mataifa kukubaliana katika biashara na kwa kiasi kikubwa kupungua kwa misaada. "Tunaishi katika zama za mataifa kukubaliana katika biashara na kwa kiasi kikubwa kupungua...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tunahitaji mfumo wa kisasa unaotenda haki na unaoeleweka kwa walipa kodi

    Akizungumza katika maadhimisho ya miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rais Samia amesema uchumi wa nchi unaendelea kukua kwa kasi huku fursa za biashara zikizidi kufunguka, hivyo ni muhimu mfumo wa kodi uboreshwe na kuendana na mahitaji ya sasa ili kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anawaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Dar es Salaam | 01 Julai, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=k_vjhqNEwi4&pp=0gcJCU4LAYcqIYzv Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwaapisha Viongozi Wateule, 01 Julai, 2026, Ikulu Dar es Salaam.
  12. McLaren

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nilikuwa nauliza Mawaziri wangu mnataka niwafokee kama Mbwa Wa Ajibu? Nitoke moto mdomoni?

    Wakuu, Akiwa anapokea gawio kutoka taasisi mbalimbali za Serikali, Rais Samia amesema "Naipokea tunzo hii kwa unyenyekevu. Nikitambua kuwa hii ni heshima ya kazi ya pamoja. Si kazi yangu peke yangu. Ningeelekeza, ningesema hapa, mpaka... siku moja nilikuwa na baadhi ya mawaziri wangu hawa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kupokea gawio kutoka kwenye Mashirika na Taasisi za Umma, leo Juni 30, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=nH2_Oh62BAk
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania Gawio Day: Rais Samia anapokea Gawio kutoka kwa taasisi na mashirika ya umma

    Rais Samia anatarajiwa kushiriki kwenye hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Taasisi na Mashirika ya Umma Ikulu Dar es salaam, leo tarehe 30 Juni, 2026 Mashirika yanayotarajiwa kutoa gawio leo ni pamoja na: Twiga Minerals Corporation Airtel Tanzania Benki ya NMB Puma Energy TPDC Benki...
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa TCD: Zuio la mikutano ya vyama vya siasa ni halali kwa sababu CHADEMA wanamsema vibaya Rais Samia na Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba!

    https://youtu.be/6J2JmIcz8jM?si=yQX0B9XISyGvqc9L Sasa Chawa wamefumka, wanaanza kujiropokea hovyo... Kusema ukweli, hawana hoja. Wako desperate kutetea maovu na uovu wao wakidhani wataokoka. Hawataki kukosolewa. Wanatoka tuwaze na tufikiri kama wanavofikiri wao, ujinga na upumbavu. HAIWEZEKANI...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ataongoza Kikao Maalumu Cha Kamati Kuu. Muda wowote Kuanzia Sasa CCM Kuisimamisha Dunia na Kutoa Muelekeo Wa Masuala Mbalimbali

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Ameongoza Kikao Maalumu Cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa jijini Dar es salaam. Ambapo Masuala mbalimbali Nyeti yamejadiliwa yenye Kugusa na kuzingatia Maslahi ya Taifa na...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angalia sana, hawa CHADEMA watakulipa malipo waliyomlipa Dr. Kikwete, Rais Mstaafu

    Rais Kikwete alikula pamoja na wapinzani Rais Kikwete alicheka pamoja na wapinzani. Rais Kikwete aliifanya CHADEMA ijulikane. Rais Kikwete aliifanya bunge la Tanzania kuwa bunge haswa kwa kulifanya bunge mseto . Rais Kikwete ndiye aliyefanya Kambi ya upinzani bungeni kupata heshima Lakini leo...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ametoa Tsh Milioni 100 na Waziri Katambi amechangia mifuko 50 ya simenti Ujenzi wa Shule ya Msingi na Awali ya Kanisa La KKKT

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 100 kuchangia ujenzi wa Shule ya Msingi na Awali inayojengwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria, Usharika wa Ebeneza, Kanisa Kuu, mkoani Shinyanga. Akizungumza katika hafla hiyo...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kumsifia Samia kumepungua sana au mshaona mbele kutokavyokuwa

    Kabla ya October 29 2025 yani sifa na ngonjera zilikuwa nyingi mpaka na nyimbo. Ila tokea hapo naona idadi kila kukicha inazidi kupungua. Hivi mshajiuliza mpaka anaamua kutumia pesa walazimishe kuwa anapendwa. Kila kukicha kama anaanza kushtuka au wao ndo shaanza kushtuka.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Alhaji Aliko Dangote, Ikulu na timu yake Ikulu ya Dar, leo Juni 28, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
Back
Top Bottom