Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.
A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.
https://www.youtube.com/live/BdUex_A8m7A
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar Septemba 02, 2026.
Akizungumza baada ya kuwaapisha wakuu wa mikoa na makatibu tawala aliowateua na kuwabadilishia vituo vya kazi Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, Rais Samia Suluhu Hassan, alitaja moja ya sababu ya kuwateua kuwa ni kuwalinda na kuwapusha changamoto zilizokuwa...
LEO KATIKA KUMBUKUMBU
03 Septemba 2024 — Ziara ya China na ushiriki FOCAC
Tarehe 03 Septemba 2024, Rais Dr.Samia Suluhu Hassan aliwasili Beijing, China, kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa FOCAC (China–Africa Cooperation).
▪︎ Hili ni tukio muhimu kwa kumbukumbu...
Uwaanja wetu wa ndege uko mbioni kuuzwa kwa mwekezaji wa India 🇮🇳.
Miaka michache nyuma, serikali ya mama Samia, iliingia mkataba wa ajabu kabisa na mwekezaji wa DP WORLD kutoka Dubai.
Mama Samia sio kwamba anaipenda sana Tanganyika, aina ya mikataba anayoingia na wawekezaji haiko wazi na...
Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,akizungumza na Viongozi baada ya kuwaapisha Wakuu wa Mikoa ya Mbeya,Geita,Pwani,Mwanza pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani katika Ikulu Ndogo ya Tunguu,Zanzibar Leo Tarehe 02 Septemba,2026
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi waliopishwa hususan Wakuu wa Mikoa kwenda kutekeleza majukumu yao kwa kujiamini na kuchukulia dhamana waliyopewa kama wajibu wa kusimamia shughuli zote za Serikali katika maeneo yao.
Rais Samia amesema hayo...
Akizungumza Septemba 02, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wakuu wa mikoa na viongozi walioteuliwa kuweka pembeni raha na kuchapa kazi kwa bidii ili...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wakuu wa mikoa walioteuliwa na kubadilishwa vituo vya kazi kwenda kujirekebisha na kuwatumikia wananchi ipasavyo. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekemea hali ya uchafu uliokithiri katika miji, hususan jiji la Dar es Salaam. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Rais Samia ameeleza kuwa...
LEO KATIKA KUMBUKUMBU
2 Septemba 2023 — kuzinduliwa kwa PAPU Tower Arusha
Rais Mhe Dr. Samia Suluhu Hassan alizindua rasmi Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower), lililopo Philips, Arusha. Alifanya hafla hiyo pamoja na viongozi wa PAPU, akiwemo Katibu Mkuu Dkt. Sifundo Moyo.
"Mhe. Naibu Spika, Naomba kutumia fursa hii kumpongeza kwa dhati, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuiongoza nchi yetu kwa Umahiri, Mafanikio makubwa pamoja na Uzalendo.
"Napenda pia Niungane na Wabunge na Watanzania wote kutoa pongezi kwa...
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ahudhuria Sherehe za Uapisho wa Mhe. Hakainde Hichilema, Rais Mteule wa Jamhuri ya Zambia zilizofanyika katika Uwanja wa Taifa wa Mashujaa, Jijini Lusaka, tarehe 01 Septemba, 2026.
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda Jijini Lusaka kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Mhe. Hakainde Hichilema, Rais Mteule wa Jamhuri ya Zambia tarehe 01 Septemba, 2026.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma, Ndugu Oddo Mwisho, amesema CCM haijakurupuka kufanya maamuzi ya kumfukuza uanachama aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, na kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt...
Bei ya wastani ya tumbaku imeongezeka kutoka Dola 1.95 kwa kilo msimu wa 2025/2026 hadi Dola 2.05 kwa kilo msimu wa 2026/2027, sawa na ongezeko la takribani 5.13%. Ongezeko hilo linaongeza kipato na motisha kwa wakulima, huku bei mpya ikizingatia gharama za uzalishaji pamoja na maslahi ya mkulima.
TAARIFA KWA UMMA
RAIS SAMIA KUSHIRIKI SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS HICHILEMA WA ZAMBIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 01 Septemba, 2026, anaondoka nchini kuelekea Lusaka, Zambia kuhudhuria sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasili leo, tarehe 30 Agosti 2026, jijini Belgrade, Jamhuri ya Serbia, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano Maalum wa Ngazi ya Juu wa Kumbukumbu...
Wakati wa uhai wake mwalimu Nyerere aliwahi kusema katiba tuliyonayo inawezesha kupata rais dikteta, alimaanisha kwamba kwenye katiba kuna matobo yanayoruhusu Rais kujiamulia mambo kwa kadri aonavyo.
Cha ajabu ni kwamba watawala waliopo hawayaoni kabisa hayo matobo badala yake wanatujazia...
Hakuna shule inayofundisha kuwa Makamu wa Rais, bali sifa zako na bidii, weledi, nidhamu na utayari wako wa kujifunza kufuatilia na kusimamia shughuli mbalimbali za utekelezaji zitakusaidia kutumiza majukumu yako.
-Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.