rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Balozi Uturuki Amfariji Rais Samia Kizimkazi

    Mheshimiwa Bekir Gezer, Balozi wa Uturuki hapa nchini akimfariji, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Oman wamfariji Rais Samia kufuatia msiba

    Ujumbe wa Mawaziri kutoka Oman wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Vijana Makachu Wafariji Rais Samia Baada ya Msiba wa

    Vijana wa Makachu, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mawaziri SMZ Wafariji Rais Samia Kizimkazi

    Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Pole kwa Rais Samia: Viongozi wa Dini Wafika Nyumbani

    Viongozi wa Dini, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa wamfariji Rais Samia

    Wakuu wa Mikoa, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nimeumizwa sana na Kifo cha Mume wa Rais Samia hadi kushindwa kutulia Wiki nzima. Watanzania Tumuombee Rais wetu katika kipindi hiki kigumu

    Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli Nimeumizwa Sana na Kifo cha Mume wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Hii ni Kwa Sababu Natambua Maumivu aliyobeba Rais wetu ndani ya Moyo wake . Najua Rais wetu kama ilivyo kwa Binadamu...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutanana Amina J. Mohammed Dodoma

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 11 Septemba 2021: Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alikutana na kufanya mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Amina J. Mohammed, Ikulu Chamwino, Dodoma. Mazungumzo yalihusu ushirikiano wa UN na Tanzania, maendeleo endelevu, afya ya mama na mtoto, maji safi na...
  9. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Je, mahakama kukataa kuwa summon Rais Samia, VP Mstaafu Philip Mpango na PM Mstaafu Kassimu Majaliwa inaathiri "Fair trial" ya kesi ya Lissu?

    By Advocate Paul Boniventure; Jibu la moja kwa moja ni NDIYO inaweza, lakini kwa upande mmoja pia ni HAPANA kwa sbb ni discretion ya kawaida ya kisheria ya mahakama kuchukua uamuzi huo kwa kuzingatia relevance ya shahidi na ushahidi. Nitaeleza... Yes, uamuzi huu ni mgumu na mzito sana kwa...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kinana na Makamba wamtembelea na kumfariji Rais Samia

    Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 10 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan...
  11. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Huu ndio Uamuzi wa mahakama wa aidha Rais Samia, Philip Mpango (VP mstaafu) na Kassimu Majaliwa (PM mstaafu) waitwe kumtetea Lissu au la..

    HUU👇👇 NDIO UAMUZI ULIOSOMWA NA KIONGOZI WA JOPO LA MAJAJI WATATU WANAOSIKILIZA SHAURI HILI, MH. DANSTUN NDUNGURU ".....Mtakumbuka kuwa tarehe 21/08/2025 baada ya Mahakama kutoa uamuzi kuwa mshtakiwa ana kesi ya kujibu, mshtakiwa aliwataja mashahidi 11 na shahidi wa kwanza ni Samia Suluhu...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu amfariji Rais Samia kufuatia kifo cha mume wake

    Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja Mawaziri, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 10 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Balozi wa China amfariji Rais Samia Kizimkazi

    Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian, akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 10 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Diamond amfariji Rais Samia baada ya msiba

    Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 09 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim...
  15. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Samia: Kutoka kufungulia vyombo vya habari hadi udhibiti mkali

    Mjadala kuhusu uhuru wa habari nchini Tanzania umeingia katika sura nyingine baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, kusema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ndiye aliyerejesha uhuru wa habari baada ya kuingia madarakani Machi 19, 2021, huku akilituhumu gazeti la...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere awageukia Wasanii ambao hawakwenda kumfariji Rais Samia

    Steve Nyerere ambaye ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama ongea na Mwanao, amewageukia wasanii kutoenda Zanzibar kumfariji Rais Samia ilhali ndiyo kundi kubwa ambalo hushiriki kwenye kampeni na mikutano mbalimbali za Serikali "Nilitamani kuona pale wasanii nguli wameenda pale Zanzibar kumpa mama...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Asaini Kitabu cha Maombolezo Malkia Elizabeth II

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 9 Septemba 2022 — Kusaini Kitabu cha Maombolezo cha Malkia Elizabeth II Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alisaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, katika Makazi ya Balozi wa Uingereza, Oysterbay, Dar es Salaam. Malkia Elizabeth II...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa Rais Samia Elimu ya Juu Walipa!

    Uwekezaji wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan katika elimu ya juu walipa. ■Wanaodahiliwa vyuo vikuu waongezeka zaidi ya mara one ■Alikuta wadahiliwa 51,489 leo nafasi zimefika 227,000 ■Ni wakati uwekezaji mkubwa kihistoria ukiendelea mikoani
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wasanii wamfariji Rais Samia baada ya msiba

    Wasanii mbalimbali wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia katika...
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Ndayishimiye amfariji Rais Samia Kizimkazi

    Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye, Rais wa Jamhuri ya Burundi akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim...
Back
Top Bottom