rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuifungua Mikumi kwa njia mpya ya Utalii

    Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kikoboga, Mikumi – Morogoro umefikia asilimia 75. Uwanja huo wenye njia ya ndege yenye urefu wa kilomita 1.8 utakuwa na jengo la abiria lenye uwezo wa kuhudumia watu 160, pamoja na jengo la Kikosi cha Zimamoto. Mradi huo unalenga kurahisisha usafiri wa watalii...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CMAG Yamfariji Rais Samia, Yapigia Debe Ushirikiano Tanzania

    Jumuiya ya Madola kupitia Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) imetuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Amir Hassan. Katika kikao chake cha 74 kilichofanyika New York, CMAG ilifanya dakika moja ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi Kibondo wamshukuru Rais Samia kwa kusaidia mwili wa mpendwa wao baada ya kushindwa kulipa gharama za hospitali

    My take Si kwa ubaya, ila nakumbuka vongozi wengi wamekuwa wakitoa matamko ambayo haijulikani kama tayari ipo kwenye kumbukumbu rasmi za utekelezwaji. Kwa namna hii basi watanzania tutakuwa tunamshukuru mama kila mwili unapotolewa bure bila gharama Soma Rais Samia: Tutapiga marufuku hospitali...
  4. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania Tuunge mkono Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, mipango na vipaumbele

    Tukiacha Mihemko, Ukiangalia Tanzania ya leo, kuna mambo mengi yanaendelea. Kuna miradi inajengwa, huduma zinaendelea kuboreshwa na mipango ya maendeleo inaendelea kuwekwa kwa ajili ya miaka ijayo. Hakuna mradi uliosinama Tukumbuke pia maendeleo ya nchi si jukumu la Serikali pekee. Sisi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Mkutano wa Kimataifa Wa Wabunge Wanawake Ukanda wa Maziwa Makuu November 2 Hadi 5 Mwaka Huu Ikiwa Atapata Nafasi

    Ndugu Zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nuru ya Wanyonge na nyota ya Matumaini. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika mkutano wa Kimataifa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wamemkumbuka Rais Samia Wanatamani Hata Kusikia Sauti Yake Ikizungumza Nao. Ni Upendo Wa Agape Unaoonyeshwa Na Watanzania Kwa Mama

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia Anapendwa na Watanzania,anakubalika na watanzania,anaishi mioyoni Mwa Watanzania,ameiteka mioyo ya watanzania,amegusa Hisia za Watanzania. Kila unapopita iwe ni mitaaani, Vijiweni,Makanisani ,mastendi,kwenye mikusanyiko mbalimbali inayowakutanisha...
  7. S

    JamiiForums Tanzania UZUSHI Protabas Katambi amesema kutumia picha ya Rais kwa namna yoyote ni kosa la jinai, ukileta jina la mtuhumiwa utalipwa?

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kutengeneza video za AI huko mitandaoni, huku wengine wakifika mbali kwa kumvua nguo rais wa nchi, sasa nataka niwakomeshe hao watu. Wakati wa Rais Nyerere, mwinyi, mkapa, na kikwete aya mambo hayakuwepo kabisa. Ila naona Rais Samia mmemfanya kama Bibi yenu...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia UNGA81: Afya Mama na Mtoto Afrika

    Tukutane New York!!!!!! Tanzania ikiendelea kuongoza juhudi za kuimarisha afya na ustawi wa mama na mtoto barani Afrika. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Bingwa wa AU wa Afya ya Mama na Mtoto, atakuwa mwenyeji wa tukio la UNGA81 kuhusu - Malengo matatu...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kama kauli hii ingetolewa na Rais Samia ingekuwaje, Walaka?

    Kuna wakati naona watanzania hawako fair kwa Rais Samia, maana yeye hajafika hata robo ya mabaya ya watangulizi wake. Hebu msikilize Rais mstaafu Mkapa hapa. https://youtu.be/a4c3MQwGD0g?si=qis68AY3vgTvu9Lj
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongoza Maadhimisho Miaka 60 ya Jeshi la Polisi

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 📌 17 Septemba 2024 — Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tarehe 17 Septemba 2024, Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Amiri Jeshi Mkuu, alihudhuria na kuongoza hafla ya kuhitimisha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, yaliyofanyika Shule ya Polisi...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Tutengeneze mabilionea Watanzania kupitia madini

    ▪︎ Awataka vijana kuchangamkia fursa ▪︎ Aagiza leseni zisizoendelezwa zipewe vijana WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka vijana wa Kitanzania wachangamkie fursa zilizopo katika sekta ya madini ili wanufaike na utajiri wa rasilimali hizo na kujenga biashara kubwa za Kitanzania. Amesema...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Laporta Atuma Rambirambi kwa Rais Samia

    Lapotra Atuma Salam za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Mwenza wa Rais Samia Na Mwandishi wetu - MAELEZO Rais wa Klabu ya Barcelona FC, Joan Lapotra amemkabidhi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda barua maalum ya rambirambi kwa ajili ya kumfikishia Rais wa Jamhuri ya...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Azindua Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini

    15 Septemba 2023 — Mtwara Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alizindua Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini, iliyopo Mikindani, Mkoani Mtwara. Hospitali hiyo ililenga kuongeza upatikanaji wa huduma za matibabu ya kibingwa kwa wananchi wa Mtwara, Lindi na Ruvuma. Katika hafla hiyo, Rais Samia...
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia Suluhu Hassan, Mwigulu Nchemba, na Mo Dewji watajwa kwenye uwekezaji wa Tembo wealthveld mtaji ni kuanzia Tsh 665000

    Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania likidai kuwa “The Financial Council has approved a new income system” inayofanya fanya kazi na NMB Bank Plc pamoja na Serikali ya Tanzania. Chapisho hilo linawataja Rais Samia Suluhu Hassan, Mohammed Dewji na Mwigulu...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Azindua Mkakati Sensa 2022

    14 Septemba 2021 — Rais Samia kuzindua mkakati wa Sensa Tarehe 14 Septemba 2021, Rais Samia alizindua Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Alieleza umuhimu wa Sensa katika kupata taarifa za idadi ya watu, makazi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wameonyesha Upendo Mkubwa sana Kwa Rais Samia .Ni Faraja Tosha Itakayomjenga na kumuimarisha Zaidi na Imeonyesha Ukweli wa Ushindi wa 98%

    Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli ukiachana na Ushindi wa kishindo alioupata katika uchaguzi mkuu wa Mwaka jana Basi hakuna kipindi na wakati wameonyesha Moyo wa Upendo walionao watanzania kwa Rais wetu. Watanzania Wameonyesha Upendo wa Agape kwa Mama Samia . Watanzania Wameonyesha wazi na...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mnufaika wa mikopo ya asilimia kumi aeleza tija ya utalii wa mikutano kwa wajasiriamali, atuma salamu za pole kwa rais samia

    Mjasiriamali kijana Ifra Ahmed, anayejishughulisha na uendeshaji wa saluni za kike na za kiume, ameeleza namna wageni kutoka mataifa mbalimbali wanaohudhuria mikutano ya kimataifa wanavyochangia kukuza biashara yake. Ifra, ambaye amepata mikopo isiyo na riba kutoka Halmashauri ya Jiji la...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Balozi Uturuki Amfariji Rais Samia Kizimkazi

    Mheshimiwa Bekir Gezer, Balozi wa Uturuki hapa nchini akimfariji, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Oman wamfariji Rais Samia kufuatia msiba

    Ujumbe wa Mawaziri kutoka Oman wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki...
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Vijana Makachu Wafariji Rais Samia Baada ya Msiba wa

    Vijana wa Makachu, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika...
Back
Top Bottom