rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Seif Gulamali azungumzia mafanikio ndani ya miaka miwili ya Rais Samia katika Jimbo la Manonga

    Mbunge wa Jimbo la Manonga Wilaya ya Igunga, Mhe. Seif Khamis Gulamali ameainisha miradi ya Elimu na Afya ambayo imefanyika jimboni kwake huku akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupeleka fedha. Jimbo la MANONGA Wilaya ya Igunga lilipokea Jumla Shilingi 543,400,000/= fedha...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Tunamuomba Rais Samia awe anafanya ziara za kushitukiza kwenye maeneo haya

    Kufuatia ripoti ya CAG 2021/2022 kubaini upotevu, udanganyifu, uzembe na hata wizi wa mapato/fedha za Serikali, tunamuomba Mhe. Rais awe anafanya ziara za kushitukiza maeneo yafuatayo: 1. BANDARI (haswa ya DSM) 2. HAZINA 3. TRA 4. JKN INTERNATIONAL AIRPORT 5. BWAWA LA NYERERE na maeneo mengine...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Tumsaidie Rais Samia kupata wasaidizi waadilifu

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi na waumini waliohudhuria mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Quran tukufu yaliyoandaliwa na taasisi ya Aisha Sururu Foundation (ASF) jijini Dar es Salaam amesema Rais Samia Suluhu Hassan anaguswa na suala la maadili hasa kwa vijana...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyokimbiza mradi wa mwendokasi ili kuondoa foleni Dar es Salaam

    Na Bwanku M Bwanku. Kwenye Gazeti la Tanzania Leo nimefanya uchambuzi wangu kuhusu mradi mkubwa wa magari yaendayo haraka (DART) unavyokimbia kwenye awamu zingine Jijini Dar es Salaam. Wote tunajua namna Dar ilivyo na foleni kubwa, Sasa Serikali ya Rais Samia inaendelea kukimbiza mradi huu wa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Dira ya Taifa ya maendeleo ya 2025-2050 na Katiba mpya kama njia za kujenga upya( Rebuilding). Hakika Rais Samia anastahili pongezi kubwa

    Serikali ikiwa ipo katika mchakato wa matayarisho ya dira mpya ya Taifa ya maendeleo ya miaka 25 ijayo kuanzia 2025-2050 na hapo hapo kukiwa na mkakati wa kuendeleza mchakato wa katiba mpya, kwa hakika nauona mwanzo mpya chini ya Rais Samia. Rais Samia akiwa anaongozwa na falsafa za 4R zikiwa...
  6. John120

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, achana na majina ya magarasa unayoletewa

    Mhe. Rais, mawaziri wengi na watendaji wako unaowateua kukusaidia ni mizigo mikubwa, wamekuwa na uwezo mdogo wa kutatua changamoto zinazowakabili wananchi. Sikufundishi kazi, ila unaeona hatoshi katika wizara au katika nafasi uliyompa mpumzishe kuna watu wako very smart tofauti na hao...
  7. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Familia aliyegongwa na mwendokasi yahaha kumtibia akisubiri kulipwa

    Unalikumbuka tukio la basi la mwendokasi lililoacha njia na kugonga ukuta wa jengo lililopo Kisutu jijini Dar es Salaam huku likimkosa mwenda kwa miguu aliyekuwa akikatisha mtaani hapo? Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (Tira) imesema anastahili kulipwa fidia. Wakati Tira ikisema hivyo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu pendekezo la kufuta Mashirika yasiyoleta tija, Rais Samia anapigia mstari tu alichosema Hayati Magufuli

    "Naamini mwaka huu tutakuwa na ongezeko la Mashirika yanayotoa gawio, Mashirika yasiotoa gawio lazima tutumie sheria kuhakikisha yanatoa au yanaondoka, Msajili wa Hazina simamia hili. Taasisi zote zinazotakiwa kutoa gawio, zifanye hivyo kabla ya mwezi wa saba, haiwezekani hadi Jeshi limetoa...
  9. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaapisha Mawaziri Mhagama na Simbachawene, Ikulu Dar es salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jenista Mhagama kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Aprili, 2023. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera...
  10. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene ahamishiwa Utumishi na Utawala Bora, Jenista arejeshwa Sera, Bunge na Uratibu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kama ifuatavyo: Amemteua Mhe. Jenista Joakim Mhagama (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu). Mhe. Mhagama anachukua nafasi ya Mhe. George Boniface...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kikao Kamati Kuu ya CCM Kimeitaka Serikali Kuwachukulia Hatua Haraka Waliotajwa ripoti ya CAG na TAKUKURU

    Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo: 1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi 2. Serikali...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewezesha wasichana zaidi ya 6,000 kurejea shuleni

    Mradi wa kuimarisha ubora wa elimu ya sekondari kwa njia mbadala (SEQUIP) umefanikiwa kusajili wasichana 3,616 kwa mwaka 2023 na 3,333 kwa mwaka 2022 wenye umri kati ya miaka 13 hadi 21. Wasichana hawa wanatarajia kurudi shule kuendelea na elimu ya sekondari baada ya Rais Samia Suluhu Hassan...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nani atazikwa na hela?

    Ni kauli fupi sana lakini nzito kwelikweli. Akionyesha kukerwa na majizi Rais Samia aliitoa kauli hii. Majizi yote hakuna linalolala kwenye vitanda viwili, vyumba viwili wala kula sahani mbili za ugali kwa wakati mmoja, wanaiba na kurundika pesa ambazo wataziacha wakati wakifa. Pesa hizo mara...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Samia na viongozi mbalimbali wakati wa futari leo Machi 30, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris wakati akiwasili kwa ajili ya Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia asiitake Wizara za Mambo ya Nje na Ndani zihakikishe zinamrejesha aliyekopa Mabilioni?

    Kila siku nawaambia, Rais Samia, hafai kua Rais, Nchi hii inahitaji mtu anayejitoa Maisha yake Kwa ajili ya kupigania Taifa lake Kama alivyofanya Hayati John Joseph Pombe Magufuli !! ... Hivi Kwa JPM ungeanzia wapi kukopa na kutokomea? Mbona Huu Uhuni Kwa JPM haukwepo? Rais analalamika, yaan...
  16. Kasanzu The Great

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi sana kumuona Rais Samia akiwa amekasirika

    Jana nilifarijika Sana kuona Rais wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hassan akiwa amesarika na kuona hadharani wale wote wanaotafuna Mali za nchi. Alilazimika mpaka kutumia neno '' Stupid'' katika hotuba yake. Siku za nyuma nilikuwa naingia na wasiwasi juu ya kauli zake za ' 'sitafoka" sitaki...
  17. Bams

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ili kuondokana na huu uchafu, harakisha Katiba Mpya

    Katiba pendekezwa ya Warioba, ilisema kuwa mawaziri wasiwe wabunge ili Rais awe na uwanja mpana wa kuwapata wasaidizi kwenye nafasi za uwaziri. Siku za nyuma, wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere, kabla ya mabadiliko ya katiba, mawaziri hawakuwa wabunge. Leo katiba yetu hii mbovu inamlazimisha...
  18. Michael Uledi

    JamiiForums Tanzania Inasemekana Rais kajifungia usiku mzima akichekecha wapigaji. Tutarajie mkeka wakati wowote kuanzia leo

    Usipomwelewa Rais Samia anaposema "mimi sio vical" utakuwa unakosa vitu vingi sana!Jiulize tu kwamba,mtu asiye na nia njema na Nchi hii,angeweza kudislose ishu ya "over invoicing?" Kwa mara ya kwanza tangu nimjue Mama jana ndio katamka maneno magumu ever"Pumbavu".Kwa mara ya kwanza bold kabisa...
  19. JackisonDubai

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Mbowe, Lissu hamuioni ripoti ya CAG?

    Ni masaa sSasa yamepita toka report ya CAG isomwe mbele ya Rais na kuibua madudu kibao lakini mpaka Sasa wanaojiita wachambuzi na wapinga ufisadi wa Serikali ya awamu ya tano wako kimya. Twitter Zitto Kabwe yuko kimya kabisa au ndiyo kusema asali tamu sana?
  20. Chipoku

    JamiiForums Tanzania Machozi ya Mwita Waitara (Mb) Vs Ubabe wa RC Mzee: Hitajio la Busara za Rais Samia Suhuhu

    Machozi ya waitara,ubabe wa Julius Marwa Tarime - Mara Bila shaka yanayoendelea mkoani mara wilayani tarime kata ya nanyungu si ya kuachwa na kutazamwa yapite bali busara za mama zinahitajika haraka Labda niwakumbushe kidogo watanzania wenzangu eneo hili lenye...
Back
Top Bottom