rais magufuli

John Pombe Magufuli
John Pombe Joseph Magufuli (29 October 1959 – 17 March 2021) was the fifth president of Tanzania, serving from 2015 until his death in 2021. He served as Minister of Works, Transport and Communications from 2000 to 2005 and 2010 to 2015 and was chairman of the Southern African Development Community from 2019 to 2020.

First elected as a Member of Parliament in 1995, he served in the Cabinet of Tanzania as Deputy Minister of Works from 1995 to 2000, Minister of Works from 2000 to 2005, Minister of Lands and Human Settlement from 2006 to 2008, Minister of Livestock and Fisheries from 2008 to 2010, and as Minister of Works for a second time from 2010 to 2015.Running as the candidate of Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant party, Magufuli won the October 2015 presidential election and was sworn in on 5 November 2015; he was re-elected in 2020.

He ran on a platform of reducing government corruption and spending while also investing in Tanzania's industries, but his rule had autocratic tendencies, as seen in restrictions on freedom of speech, restrictions on LGBT rights, and a crackdown on members of the political opposition and civil society groups.

Magufuli was known for promoting misinformation about COVID-19 during his leadership over the pandemic in Tanzania. After a lengthy absence from public appearances, unconfirmed rumours circulated that he, himself, had been hospitalized with the disease.

His death on 17 March 2021 was attributed by the government to a long-standing heart issue. He was succeeded by his Vice-President, Samia Suluhu.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Kitaifa la Kiongozi wa Dini kuombea Uchaguzi kufanyika 24/08/2020, mgeni rasmi atakuwa Rais Magufuli

    Shehe wa mkoa wa DSM Alhad Mussa Salum ametangaza kuwepo kwa kongamano kubwa la viongozi wa dini jijini Dodoma kwa ajili ya kuombea uchaguzi na kutoa mwelekeo kwa waumini kuhusu mazingatio wakati wa uchaguzi. Kongamano hilo litafanyika katika uwanja wa Jamhuri na mgeni rasmi atakuwa Rais...
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu ahusisha kauli ya Rais Magufuli na kupigwa kwake risasi

    Mgombea Urais wa Chadema katika uchaguzi mkuu ujao mwishoni mwa mwaka huu, Tundu Lissu, ametoa madai mazito mjini Njombe jana katika ziara zake za kutafuta wadhamini, akimuhususisha Rais, kuhusu jaribio la kuuawa kwake, lililofanyika September 7 mwaka 2017. Akihutubia umati wa wananchi...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Vyama vya upinzani nchini Tanzania subirini dawa aliyonayo Kiiza Besigye katika kumtoa Rais Museveni, ili nanyi pia muiige na mumtoe Rais Magufuli

    Kiongozi mkongwe wa Upinzani nchini Uganda Dkt. Kizza Besigye ametangaza kwamba atatumia mbinu tofauti kumuondoa madarakani Rais wa sasa Yoweri Museveni na sio kupitia uchaguzi kwa madai mazingira ya sasa hayawezi kuhakikisha uchaguzi ulio huru na haki. ITV Tanzania Mpaka Dkt. Kiiza Besigye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu amwambia Rais Magufuli afungulie Vyombo vya Habari ili asisumbuke kuweka bando kuwaangalia wapinzani kwenye WhatsApp

    Akiwa mjini Tunduma, Tundu Lissu katika harakati zake za kutafuta wadhamini, ameongea na maelfu ya wananchi. Amezungumza kuhusu hali ya uminywaji wa Vyombo vya Habari nchini, watumishi wa umma kutopewa maslahi yao ipasavyo, kero za wafanyabiashara ndogondogo hususan vitambulisho vya wamachinga...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Utendaji wa Rais Magufuli angevishwa Kikwete angekuwa Rais mzuri mno kuwahi kutokea Afrika

    Kusema ukweli Rais Jakaya Kikwete aliwafanya watanzania wawe na furaha sana. Kusema ukweli Rais Magufuli amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake. Sasa chukua kolabo ya hulka na tabia ya JK halafu upendo wake tabasamu lake faraja zake wakati wa shida changanya na utendaji...
  6. Malick M. Malick

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli apite bila kupingwa

    Ukweli wa Mambo Magufuli anashinda Kwa kishindo ..itoshe kusema kwamba Hana Mpinzani Kwa Tanzania,Afrika na Dunia Uwezo wake wa kufanya kazi kila mmoja anaujua jinsi alivyo mtekelezaji kuliko maneno watanzania wanavutiwa nae WATANZANIA, BILA KUJALI VYAMA VYETU MAGUFULI TUMUACHE APITE BILA...
  7. Mchambuzi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na dhana ya "Maendeleo Hayana Vyama": Tafiti zinatueleza nini?

    Tangia aingie madarakani November 2015, Rais John Magufuli amekuwa akinukuliwa mara kwa mara akitamka kwamba “Maendeleo hayana Vyama”. Kauli hii imeendelea kuleta mjadala mkubwa katika siasa za nchi. Lengo letu leo ni kudadisi kwa undani kupata ukweli juu ya suala hili. Ili kufikia lengo letu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkutano wa Viongozi wa Dini wa kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu!

    Karibu. Mkutano uko mubashara kupitia Channel ten kutoka ukumbi wa JNICC na mgeni rasmi ni waziri mkuu mh Majaliwa. Up dates; Kwa sasa mh Majaliwa anahutubia na anajaribu kuelezea kwa kirefu mafanikio ya serikali ya awamu ya 5 Waziri mkuu anawashukuru viongozi wa dini kwa dua zao zilipelekea...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Adam Mchomvu aomba radhi, asema alikwazika

    “Dear #WashkajiZangu, kwanza nimuombe radhi Rais wetu wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Pili kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuniamini na kunipa nafasi ambayo bahati mbaya ilitokea tukapishana kauli jukwaani na Bwana ndugu Msanii mwenzangu, nimepokea simu mbalimbali za Viongozi wa Serikali...
  10. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Anachokifanya Rais Magufuli kingefanywa na Rais muislam basi angekosolewa vikali

    Nianze kwa na declaration of interest, ili kama kuna eneo nitakua 'biased' basi wajumbe mniuie radhi. Mimi ni Mtanzania muumuni wa dini ya kikristo. Nimekua mkristo kwa maisha yangu yote. Lakini pia ni muumini mkubwa wa haki, demokrasia na falsafa ya 'secular state'. Ni ukweli ulio wazi kabisa...
  11. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampa maagizo Mmarekani: Kawaambie wenzako Tanzania imeweza kwa nguvu ya Mungu

    Mapema leo Rais Magufuli akizungumza na TAG, alimwaga kimombo kwa Mmarekani aliyekuwepo ukumbini akimpa ujumbe wa kuupeleka kwao huko Marekani. Siku za hivi karibuni wale waliokuwa wanayatumia hayo mafua ya Corona kama silaha ya kisiasa dhidi ya Rais Magufuli, siku hizi wamekuwa wapole sana...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Msichague wanasiasa wanaohubiri chuki, vurugu zikitokea wao watakimbia kwenda kuishi kwingine

    RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewataka Watanzania kutochagua wanasiasa wanaohubiri chuki na kutoa maneno ya vitisho. Kiongozi huyo wa nchi ametoa kauli hiyo leo Ijumaa tarehe 14 Agosti 2020, katika maadhimisho ya miaka 13 ya moto kwenye Mkutano Mkuu wa Kanisa la Assembly of God (TAG)...
  13. dubu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kutembea na kipaza sauti chake kwenye Madhabahu yetu ni kutukosea Heshima, sisi TAG si Wauaji

    Salaam Wakuu. Leo Rais Magufuli amekuja hapa Miyuji mjini Dodoma na kutoa Hotuba kwa baraza kuu la kanisa la TAG leo ikiwa ni kilele cha mkutano mkuu wa kanisa ambalo limetimiza miaka 81 tangu kuingia nchini Tanzania. Kilichonisikitisha ni Kitendo cha Rais wetu kukataa kutumia Kipaza Sauti...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Baraza kuu la TAG lamtunuku Rais Magufuli tuzo kwa namna alivyoongoza Taifa kukabiliana na Korona

    Punde Rais Magufuli atakuwa hapa Miyuji mjini Dodoma na kunatarajiwa kuwa na mazungumzo baina yake na baraza kuu la kanisa la TAG leo ikiwa ni kilele cha mkutano mkuu wa kanisa ambalo limetimiza miaka 81 tangu kuingia nchini. Nini kutaenda kuzunguzwa? Kaa nami nitakujuza. ======= 10:20 AM: Kwa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nataka kumpigia kura Mheshimiwa Rais Magufuli

    Ninataka kumpigia kura mheshimiwa Rias wetu. Lakini, nahitaji majibu ya kina kwa haya maswali yangu; 1. Miili ya ndugu zetu iliyokuwa ikiokotwa ufukweni mwa bahari. Ili jambo ni jipya. Watanzania hatukuwahi kuona wenzetu wakiuawa kama kuku. Hawa watu walikosa nini mpaka kuondolewa haki yao ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, akiharibu kwa Lissu na Zanzibar basi Serikali yake itapata tabu sana

    Kuna hofu kubwa huko Lumumba kuhusu upepo wa Lissu. Hawakuutegemea, walijua Lissu ataufyata kama walivyoufyata wapinzani wengine kutokana na kashkash waliyowatia ndani ya miaka hii mitano, lakini wamekuta ndiyo kwanza Lissu hapepesi macho, ndiyo kwanza anakamua tu bila wasiwasi wowote. Imefikia...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Wateule wa Rais Magufuli waliotokea CHADEMA wameongoza kwenye kura za maoni isipokuwa Patrobas Katambi

    Bado natafakari tetemeko la ardhi lililotokea jana katika eneo kubwa la nchi yetu huku nikisubiri orodha ya wagombea ubunge wa CCM itangazwe. Wateule wa Rais Magufuli waliotokea CHADEMA akina Juliana Shonza, Prof Kitila Mkumbo, Dr Mollel na Mwita Waitara wameongoza kwenye kura za maoni...
  18. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wabeba maboksi wawaasa Watanzania wamchague tena Rais Magufuli

    Hawa ni wabeba maboksi wa huko Copenhagen, Denmark.
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyemshauri Rais Magufuli alipatia, Kama asingezuia shughuli za kisiasa kwa muda wa miaka 5, uchaguzi huu angeshindwa vibaya sana

    Najaribu kuwaza Kama tokea 2015 Rais Magufuli angeruhusu shughuli za kisiasa kuendelea Kama ilivyokuwa kipindi Cha nyuma, na hivyo Wapinzani kupata fursa ya kufanya mikutano ya kisiasa Mara kwa Mara ili kuwaambia wananchi juu ya madudu ambayo yamefanyika ndani ya miaka 5, Basi uchaguzi wa mwaka...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsamehe Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Rufiji aliyetoa taarifa ya uongo kuhusu ubovu wa gari la wagonjwa!

    Rais Magufuli amemsamehe kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Rufiji bwana Kilimba aliyetoa taarifa za uwongo kwa mheshimiwa Rais kwamba gari la wagonjwa ni bovu. RPC wa Pwani amesema utaratibu wa kumfikisha mahakamani mkurugenzi huyo ulishakamilika ila bwana Kilimba amepata bahati ya mtende ya...
Back
Top Bottom